Rais Samia na mitihani migumu

Rais Samia na mitihani migumu

Anna Nkya

Member
Joined
Oct 21, 2021
Posts
69
Reaction score
341
Sijui sana kuhusu awamu nyingine za uongozi, lakini nimemuona Kikwete, nimemuona Magufuli, na sasa namuona Samia.

Kati ya Marais hao, siajona aliyepitia mambo mazito ndani ya muda mfupi kumzidi Samia:

1. Kuchukua uongozi kufuatia kifo cha mtangulizi wake.

2. Suala la Corona. Huu umekuwa mtihani mzito hasa kwa kuangalia mtazamo wa Magufuli hususan kwenye Chanjo. Imekuwa ngumu sana kwa Samia kushawishi watu kukubali chanjo kutoka kwenye nyungu, lakini sasa wanakubali.

3. Machinga. Huu ndio mfupa mgumu zaidi. Machinga wamejazana kila kona huku wakitetewa na wanasiasa wenye nia ya kuwatumia kama mtaji wa kisiasa. Samia anapambana kuhakikisha wanakaa kwenye utaratibu.

Haya ya kelele nyingi za wapinzani hasa kuhusu kesi ya Mbowe na Katiba Mpya sio mageni, ni vitu vya kawaida sana na vitaendelea kuwepo.

Hapana shaka Samia atatuvusha salama katika haya yote, na 2025 atakapogombea tena tutampima kwa haki.

210319060018-01-samia-suluhu-hassan-tanzania-0319-super-tease.jpg
 
Mama Samia anaonekana ni weak. Mimi niwe rais, mteule wangu atangaze machinga waondoke kwenye hifadhi za barabara alafu atokee mtu anaitwa Polepole aanze ubishi? Kwani nani aliapishwa, nikiharibu si akagombee yeye aruhusu machinga mpaka wodini na airport.

Ugonjwa umetokea unaua watu. Mwanzoni tulikaza shingo likavunjika, sasa tumepewa chanjo milioni 1 za msaada. Zimesambazwa wanaopenda wachanje, hakuna aliyelazimishwa. Atokee mchungaji mmoja mwenye degree ya Theolojia kutoka Omega University adai Ile chanjo inageuza watu mazombi. Mbaya zaidi aseme nilihongwa ili nikubali na nikachanja maji au drip wala sio chanjo halisi. Kwanza nampa kazi ndogo tu, aende kokote duniani aniletee zombi.

Hiyo ya kufiwa mbona simple kabisa. Watu wamefiwa na waume/wake zao, wazazi wao, watoto wao na wameishi na kuendeleza kilichokuwepo. Sembuse rais kufa na katiba imefuatwa hapo kuna ugumu gani. Si ni sawa tumefanya uchaguzi
 
Jina lake ni HANGAYA....

Ni NYOTA ING'ARAYO 😍😍

HAKIKA ATATUVUSHA 🙏

Siempre JMT
 
Mkuze kichwa ukifahamu unampotosha.
 
Ana uvumilivu wa ajabu sana kwa kile kimbaumbau polepole
 
Back
Top Bottom