Rais Samia, na pesa ya ukarabati Uwanja wa Taifa imepigwa we upo tu?

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,718
Reaction score
58,893
Kama tu pesa za ujenzi na ukarabati wa uwanja wa taifa zimeliwa anaweza kitu gani Samia kusimamia?

Kama hapa ambapo ni kilometer 10 tu kutoka magogoni pesa zinaliwa je pesa za miradi uko kigoma na katavi zitafanywaje?

Aise nimelia baada ya kuiona pitch ya uwanja wa benjamini Mkapa .!!

Nimekumbuka kauli ya Magufuli kwamba Viongozi hata makaburi yenu yanatakiwa kuchwapwa viboko!!

Ukarabati wa billion zaidi ya 50 pesa yote imepigwa na kitumbo mavi na wakina Msigwa wapo wanaimba mapambie!!
 
acha upotoshaji kivivu namna hiyo gentleman,

Lupaso iko kwenye ukarabati mkubwa,
na kazi nzuri sana inaendelea maeneo mengine ya uwanja huo,

eneo la pitch ni eneo la mwisho katika maboresho hayo makubwa ambayo yanatarajiwa kukamilika mwanzoni mwa mwaka ujao.

ni muhimu ukamwambia na wenzako gentleman bila upotoshaji
 
Tuliruhusiwa kula kwa urefu wa kamba zetu
 
kwa ushahidi gani?
 
Sikuamini macho yangu nilichokiona kwa mkapa Leo, kweli ccm wanatuibia Kwa fujo na jeuri
 
We faza unaboa km nyaa ya aliyekula mayai na maharage
 
Wacha uongo wewe kibuzi marika
 
[emoji706][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndiyo hizo hizo zinatumika kuwapumbuza kwaajili ya magoli
 
Ndio maana wanamsifia na kumwimbia mapambio na kusema mitano tena kama hushtuki utaungana nao kusema mam anaupiga mwingi. Huyu mama hafai kabisa katika taifa hili.
 
Chawa kama chawa😂😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…