Kusemwa mmeiba Tanzania mchunguzwe ndio mnaanza kumsingizia mchengerwaKwa kuongea tu inawezekana ila kwa vitendo haiwezekani.
Waziri wake mchengerwa ni bingwa wa ru..... Na analijua hilo mbona hamuwajibishi
Mchengerwa amekula rushwa gani mkuu. Iweke hapa jamvini.Kwa kuongea tu inawezekana ila kwa vitendo haiwezekani. Waziri wake mchengerwa ni bingwa wa ru..... Na analijua hilo mbona hamuwajibishi
Binafsi nadhani ni kwa pande zote, viongozi nao watuunge mkono katika mapambano haya dhidi ya rushwa! Pia KAKUKURU iwe huru kufanya kazi yake bila kuingiliwa na viongozi.Mkono Viongozi wetu katika vita hii. Sote tutimize wajibu wetu".
Kuna ushahidi wowote ili hoja ikamilike?Kwa kuongea tu inawezekana ila kwa vitendo haiwezekani. Waziri wake mchengerwa ni bingwa wa ru..... Na analijua hilo mbona hamuwajibishi
Asante Ndugu.Kwa kuongea tu inawezekana ila kwa vitendo haiwezekani. Waziri wake mchengerwa ni bingwa wa ru..... Na analijua hilo mbona hamuwajibishi
Hata ugaidi inawezekana usiwepo ikiwa tutakubali kukosolewa.Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema Maendeleo ya Nchi huletwa na Wananchi wake. Amesema hayo akiwa kwenye Mkutano wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Zanzibar.
Amesema Sheria za Tanzania Bara na Zanzibar zimetoa Uhuru (usiovunja Sheria) kwa watu kufanya kazi. Ameongeza kuwa ataendelea kushirikiana na Rais Hussein Mwinyi kwa maslahi ya Watanzania wote.
Ameeleza, "Ninaamini Tanzania bila Rushwa inawezekana iwapo tutawaunga Mkono Viongozi wetu katika vita hii. Sote tutimize wajibu wetu".
Mbowe sio gaidi, muogope MunguAmeeleza, "Ninaamini Tanzania bila Rushwa inawezekana iwapo tutawaunga Mkono Viongozi wetu katika vita hii. Sote tutimize wajibu wetu".
LABDA CCM IONDOKE MADARAKANI NDIO NA RUSHWA ITAONDOKARais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema Maendeleo ya Nchi huletwa na Wananchi wake. Amesema hayo akiwa kwenye Mkutano wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Zanzibar.
Amesema Sheria za Tanzania Bara na Zanzibar zimetoa Uhuru (usiovunja Sheria) kwa watu kufanya kazi. Ameongeza kuwa ataendelea kushirikiana na Rais Hussein Mwinyi kwa maslahi ya Watanzania wote.
Ameeleza, "Ninaamini Tanzania bila Rushwa inawezekana iwapo tutawaunga Mkono Viongozi wetu katika vita hii. Sote tutimize wajibu wetu".
Daah Tanzania hii hivi visasi sijui vitatufikisha wapi...Kusemwa mmeiba Tanzania mchunguzwe ndio mnaanza kumsingizia mchengerwa
Huyu alikuwa exceptional...Let him rest in eternal peaceila kati ya vitu magufuli aliweza, ni kupoteza rushwa kwa watumishi wa umma. hicho aliweza na sijui nani mwingine ataweza.watu walikuwa wanapelekewa pesa wanazikimbia kwasababu hawajui kama ni pesa kweli au ndoana ya kuwakamatisha.
Hakuna kipindi wafanyakazi wa uma walikuwa na adabu kama kipindi chake, mtu masikini ametoka kijijini huko akifika ofisini wanamgombania kumhudumia kwasababu hawajui asije kuwa amejivalisha nguo chafu kuwakamata toka tiss...hahaha, miungu watu utumishi wa umma hawatakuja kumsahau.Huyu alikuwa exceptional...Let him rest in eternal peace