Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mkulu anaongea sana kuliko utekelezaji.Rais Samia: Ndani ya Serikali tuna matumizi makubwa sana ya Mafuta, kwenye msafara wangu wengine nitawaweka kwenye basi
Kama Trump? Na wafuasi wake humu jf wenye akili Ai?Mkulu anaongea sana kuliko utekelezaji.
Wacha tuona hizo Buses anazosema atapandisha watu wake.
Hatupaswi kumuamini muongo, hata kama akisema ukweli.
Time will tell.
Hizi akili zimekuja leo kama ufunuo kwa Yohana?Rais Samia amesema "Ndani ya Serikali tuna matumizi makubwa sana ya Mafuta, magari ni mengi, safari zetu ni nyingi, niwaombe sana tuanze kupunguza matumizi ya mafututa na nina anza na ofisi kwangu, kuanzia sasa kwenye msafara wangu wengine nitawaweka kwenye kibasi kimoja kukataka matumizi ya Mafuta"
“Tunaanza kupunguza matumizi ya mafuta… ninaanza na ofisi yangu. Kuanzia sasa, ninapokwenda popote, maafisa wote nitawaingiza kwenye kibasi kimoja. Msafara utakuwa na eskoti yangu, polisi na gari ya akiba nyuma. Wanaobakia wote wataingia kwenye kibasi ili kupunguza matumizi ya mafuta,” Rais Samia Suluhu Hassan akitangaza kuanza kubana matumizi ya mafuta serikalini, akianza na ofisi yake.
Rais Samia ameyasema hayo wakati akiwaapisha viongozi mbalimbali katika Ikulu ya Chamwino Dodoma.
Yale mayai ya samaki na maji toka Amerca vipi ataacha pia? aache usanii Samia hana mapenzi na Tanganyika everyone knows!!! unless you are blindRais Samia amesema "Ndani ya Serikali tuna matumizi makubwa sana ya Mafuta, magari ni mengi, safari zetu ni nyingi, niwaombe sana tuanze kupunguza matumizi ya mafututa na nina anza na ofisi kwangu, kuanzia sasa kwenye msafara wangu wengine nitawaweka kwenye kibasi kimoja kukataka matumizi ya Mafuta"