rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 18,360
- 26,244
Anasahau kuna mtu slimteka kisa amepiga picha msafara wake
Angekuja na mpango kazi wa kupunguza au kufuta utitiri wa kodi za mafuta ili kupunguza bei yake na kuepusha mfumuko wa bei (inflation)Msafara utakuwa na eskoti yangu, polisi na gari ya akiba nyuma. Wanaobakia wote wataingia kwenye kibasi ili kupunguza matumizi ya mafuta."
Sawa na Tsh 18 million kwa lita moja 😄Unaambiwa huko kwa wazungu lita ya mafuta ni euro 6000, huyu mama kichwa sana ana akili mingi
Sasa ilikuwaje ccm wakampitisha, wakaiba uchaguzi na kumkabidhi usukani?ANA D YA KISWAHILI TU, MENGNE NI FA FA FA
Rais wa kugandishaRais Samia ametangaza hatua mpya ya kubana matumizi ya mafuta ndani ya serikali, akieleza kuwa matumizi hayo yamekuwa makubwa kutokana na wingi wa magari na safari za kikazi.
Akizungumza wakati wa hafla ya kuwaapisha viongozi katika Ikulu ya Chamwino, amesisitiza umuhimu wa taasisi za umma kuanza kuchukua hatua za makusudi kupunguza gharama zisizo za lazima.
"Ndani ya Serikali tuna matumizi makubwa sana ya Mafuta, magari ni mengi, safari zetu ni nyingi, niwaombe sana tuanze kupunguza matumizi ya mafututa na ninaanza na ofisi yangu. Kuanzia sasa, ninapokwenda popote, maafisa wote nitawaingiza kwenye kibasi kimoja. Msafara utakuwa na eskoti yangu, polisi na gari ya akiba nyuma. Wanaobakia wote wataingia kwenye kibasi ili kupunguza matumizi ya mafuta." - Rais Samia Suluhu Hassan akitangaza kuanza kubana matumizi ya mafuta serikalini, akianza na ofisi yake.
Rais Samia ameyasema hayo Aprili 8, 2026 wakati akiwaapisha viongozi mbalimbali katika Ikulu ya Chamwino Dodoma.
Hormuz imefunguliwa yatashuka tuMafuta euro elfu sita na dollar elfu nane kwa lita!
ili wamtumie. fa fa fa haziwezi kutoa hoja mkuu, zinatoa vihojaSasa ilikuwaje ccm wakampitisha, wakaiba uchaguzi na kumkabidhi usukani?
System mbovu ndio imetufanya tupate watu wa hovyoANA D YA KISWAHILI TU, MENGNE NI FA FA FA
Kibasi ndiyo kinini hicho?Rais Samia ametangaza hatua mpya ya kubana matumizi ya mafuta ndani ya serikali, akieleza kuwa matumizi hayo yamekuwa makubwa kutokana na wingi wa magari na safari za kikazi.
Akizungumza wakati wa hafla ya kuwaapisha viongozi katika Ikulu ya Chamwino, amesisitiza umuhimu wa taasisi za umma kuanza kuchukua hatua za makusudi kupunguza gharama zisizo za lazima.
"Ndani ya Serikali tuna matumizi makubwa sana ya Mafuta, magari ni mengi, safari zetu ni nyingi, niwaombe sana tuanze kupunguza matumizi ya mafututa na ninaanza na ofisi yangu. Kuanzia sasa, ninapokwenda popote, maafisa wote nitawaingiza kwenye kibasi kimoja. Msafara utakuwa na eskoti yangu, polisi na gari ya akiba nyuma. Wanaobakia wote wataingia kwenye kibasi ili kupunguza matumizi ya mafuta." - Rais Samia Suluhu Hassan akitangaza kuanza kubana matumizi ya mafuta serikalini, akianza na ofisi yake.
Rais Samia ameyasema hayo Aprili 8, 2026 wakati akiwaapisha viongozi mbalimbali katika Ikulu ya Chamwino Dodoma.
Acha tu mkuu, kama nchi ni janga kwel kwel, ila kuna wachache wananufaika na huu uhovyo, kuna wakat unajikuta unatamani uwe sehemu ya wanufaika ukijiangalia jns unavomwaga jasho kusaka mkate, huku cag akifumua madudu ya kutosha na hakuna anayejali.System mbovu ndio imetufanya tupate watu wa hovyo
Hata hvo katulia sana. hv kashasafiri nje tangia achinje watu? maana hata ziara za ndani ni kama zimepungua sana, nadhani safari zikikuwa zinamfanya anenepe maana kapungua, au macho yangu?Msafara akienda wapi na kufanya nini? Hebu atulie.
Hao viongozi wazalendo na wenye akili tutawapata wapi?Hii nchi ingebahatika kupata viongozi wazalaendo, na wenye akili kubwa na maono ya mbali! Hakika ingekuwa mbali sana kimaendeleo.