Maonevu na uvunjaji wa haki za binadamu unaoendelea nchini, Manyanyaso ya wananchi huko Loliondo, Uvamiaji wa maeneo ya wananchi huko Tarime, Ukatili wa kutisha dhidi ya wananchi huko Mbarali. Waziri Mkuu anawezaje kuendelea kubaki ofisini?.
Luhaga Mpina alikuwa sahihi bungeni aliposema kuwa maagizo ya waziri mkuu yanalegalega , sasa mtu kama huyu aendelee vipi kukalia ofisi?