Rais Samia nakushauri unda upya serikali yako!

Tumemshauri sana aunde upya serikali yake, lakini anajivutavuta na kufanya cosmetic changes. Hali ya maisha mtaani inazidi kuwa mbaya.
 
Maonevu na uvunjaji wa haki za binadamu unaoendelea nchini, Manyanyaso ya wananchi huko Loliondo, Uvamiaji wa maeneo ya wananchi huko Tarime, Ukatili wa kutisha dhidi ya wananchi huko Mbarali. Waziri Mkuu anawezaje kuendelea kubaki ofisini?.

Luhaga Mpina alikuwa sahihi bungeni aliposema kuwa maagizo ya waziri mkuu yanalegalega , sasa mtu kama huyu aendelee vipi kukalia ofisi?
 
Uporaji wa viwanja, unyang'anyi wa mali za wananchi, mauaji ya mifugo ya wananchi nk adhabu yao hao wote ni kuzimu tu
 
Back
Top Bottom