Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uporaji wa viwanja, unyang'anyi wa mali za wananchi, mauaji ya mifugo ya wananchi nk adhabu yao hao wote ni kuzimu tuMaonevu na uvunjaji wa haki za binadamu unaoendelea nchini, Manyanyaso ya wananchi huko Loliondo, Uvamiaji wa maeneo ya wananchi huko Tarime, Ukatili wa kutisha dhidi ya wananchi huko Mbarali. Waziri Mkuu anawezaje kuendelea kubaki ofisini?.
Luhaga Mpina alikuwa sahihi bungeni aliposema kuwa maagizo ya waziri mkuu yanalegalega , sasa mtu kama huyu aendelee vipi kukalia ofisi?
Kumbe ni chuki zako za kishamba Tu kimeshakujua.Majaliwa lazima amalize muda wake taka usitakeMajaliwa is the worst prime minister this country has ever had. Mi msanii ajabu.