technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,718
- 58,893
Nimsikiliza Samia kwa umakini mkubwa lakini naomba nimwambie kuwa amemwaga petrol kwenye Moto.
Tanzania sio kisiwa
Tanzania haina uwezo wa kuzalisha na kujiuzia na kujitegemea Kama ilivyo Urusi na uchina
Tanzania sio kisiwa utalii peke yake unatengeneza trion 10 kwa mwaka.
Tuna import karibu kila kitu
Kibaya zaidi sisi uwa tuna export raw material sio final goods.
Hatuna Cha kuzalisha kuuza kupata pesa za kigeni
Wazungu sio LISSU,GWAJIMA AU POLEPOLE.
ZANZIBAR ndiye atakuwa muhanga namba moja maana watalii ndio kwaheri.
Pia hakuna mtalii wa kichina au waarabu ukoko
Nakupa miezi 6 Kama utakuwa hapo kwenye icho kiti!