technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,718
- 58,893
Mbele ya kitanzi cha aicc, lazima ajitutumue, ndio silaa yake ya mwisho kutumia, ina onyeshe kakosa wa kumbebesha mzigo wa Mo29Kwani anajali basi?. Ni kama vile ameamua liwalo na liwe
samia mwenyeweNimsikiliza Samia kwa umakini mkubwa lakini naomba nimwambie kuwa amemwaga petrol kwenye Moto.
Tanzania sio kisiwa
Tanzania haina uwezo wa kuzalisha na kujiuzia na kujitegemea Kama ilivyo Urusi na uchina
Tanzania sio kisiwa utalii peke yake unatengeneza trion 10 kwa mwaka.
Tuna import karibu kila kitu
Kibaya zaidi sisi uwa tuna export raw material sio final goods.
Hatuna Cha kuzalisha kuuza kupata pesa za kigeni
Wazungu sio LISSU,GWAJIMA AU POLEPOLE.
ZANZIBAR ndiye atakuwa muhanga namba moja maana watalii ndio kwaheri.
Pia hakuna mtalii wa kichina au waarabu ukoko
Nakupa miezi 6 Kama utakuwa hapo kwenye icho kiti!
Amina.Nimsikiliza Samia kwa umakini mkubwa lakini naomba nimwambie kuwa amemwaga petrol kwenye Moto.
Tanzania sio kisiwa
Tanzania haina uwezo wa kuzalisha na kujiuzia na kujitegemea Kama ilivyo Urusi na uchina
Tanzania sio kisiwa utalii peke yake unatengeneza trion 10 kwa mwaka.
Tuna import karibu kila kitu
Kibaya zaidi sisi uwa tuna export raw material sio final goods.
Hatuna Cha kuzalisha kuuza kupata pesa za kigeni
Wazungu sio LISSU,GWAJIMA AU POLEPOLE.
ZANZIBAR ndiye atakuwa muhanga namba moja maana watalii ndio kwaheri.
Pia hakuna mtalii wa kichina au waarabu ukoko
Nakupa miezi 6 Kama utakuwa hapo kwenye icho kiti!
TANZANIA WILL ALWAYS BE A PEACEFUL COUNTRY. WELL SAID MADAM PRESIDENT. #tanzania #siasaNimsikiliza Samia kwa umakini mkubwa lakini naomba nimwambie kuwa amemwaga petrol kwenye Moto.
Tanzania sio kisiwa
Tanzania haina uwezo wa kuzalisha na kujiuzia na kujitegemea Kama ilivyo Urusi na uchina
Tanzania sio kisiwa utalii peke yake unatengeneza trion 10 kwa mwaka.
Tuna import karibu kila kitu
Kibaya zaidi sisi uwa tuna export raw material sio final goods.
Hatuna Cha kuzalisha kuuza kupata pesa za kigeni
Wazungu sio LISSU,GWAJIMA AU POLEPOLE.
ZANZIBAR ndiye atakuwa muhanga namba moja maana watalii ndio kwaheri.
Pia hakuna mtalii wa kichina au waarabu ukoko
Nakupa miezi 6 Kama utakuwa hapo kwenye icho kiti!
Unabisha wakati huna taarifa kuhusu utalii. Kwa sasa mapato ya utalii ni kati ya dola 3.9- 4 billion.Trioni 10 haifiki kwenye Utalii kwa mwaka
Samia ni 🚮🚮🚮🚮Nimsikiliza Samia kwa umakini mkubwa lakini naomba nimwambie kuwa amemwaga petrol kwenye Moto.
Tanzania sio kisiwa
Tanzania haina uwezo wa kuzalisha na kujiuzia na kujitegemea Kama ilivyo Urusi na uchina
Tanzania sio kisiwa utalii peke yake unatengeneza trion 10 kwa mwaka.
Tuna import karibu kila kitu
Kibaya zaidi sisi uwa tuna export raw material sio final goods.
Hatuna Cha kuzalisha kuuza kupata pesa za kigeni
Wazungu sio LISSU,GWAJIMA AU POLEPOLE.
ZANZIBAR ndiye atakuwa muhanga namba moja maana watalii ndio kwaheri.
Pia hakuna mtalii wa kichina au waarabu ukoko
Nakupa miezi 6 Kama utakuwa hapo kwenye icho kiti!
Anaonekana hajali chochote!. Kwamba liwalo na liwe!Yeye sikamua kushindana na wananchi wake haina shida.
Hivi visirani vyake vya kike vina mwisho wake