Rais Samia: Nakwenda kufungua Nchi, mmekuwa mkinitukana sana mitandaoni

Rais Samia: Nakwenda kufungua Nchi, mmekuwa mkinitukana sana mitandaoni

ujinga ni kuamini ccm imetoka madarakani[emoji1787][emoji1787]
Wewe bado unaweweseka.Nani kakwambia watu wanawaza mambo ya vyama.nchi ni zaidi ya vyama vya siasa.kama mama anafanya mambo ya msingi kwa ajili ya taifa ataungwa mkono na kila mwananchi mwenye akili timamu aijalishi anatokea chama gani.
 
... wazee wa legacy fake Mkuu! Hawaamini mambo muhimu Mama aliyoyafanya ndani ya muda mfupi tangu akalie kiti. At least furaha imerejea nchini kwao ni uchungu kweli kweli wazee wa visasi!
Mwendazake alifanya mambo mazuri mengi lakini na mabaya pia yalikuwepo. Muda wake umepita ni fursa sasa ya Mama SSH na yeye kufanya yake hasa kuondoa yale mabaya na kuendeleza mazuri aliyoyaacha Mwendazake. Moja ni hilo la furaha lakini kuna mengine mengi. Washabiki wa Mwendazake watulie tu kama walivyotulia washabiki wa JK wakati akiambiwa kuwa nchi ilikuwa imepinda na ilitakiwa kunyooshwa. "Hapa ndiyo walipotufikisha" Nanukuu maneno ya busara ya Mwendazake.
 
Na kasema anaenda kurekebisha bunge maana kuna mambo yanazungumzwa kule hayajamfurahisha[emoji1787][emoji1787][emoji1787],nikashangaa kumbe yeye bado ni mhimili uliojichimbia
 
Tunaenda kuwa watumwa wa wawekezaji maana tutashindwa kufungua biashara zetu vijana wengi watakimbilia kwenye ajira
Maana kwa JPm .akili zilishaanza kukomaa kuanza kujiajiri ...mawazo ya vijana wengi walikuwa wanafikiria kujiajiri tu yaani nawambia baada ua miaka 10 tungepata wafanyabiashara wengi tena hao wangeajiri wezao
 
Umebalance sana,wewe utakuwa na miakili mengi sana
Haya mambo hayataki jazba wala ushabiki uliopitiliza NYAMATARE 1987. Hakuna binadamu asiye na kasoro na wakristo tunaamini kuwa unapopinga ukweli huo unakufuru mbele za Mwenyezi Mungu kwani ni yeye peke yake ndiye aliyekamilika.
 
samia akifeli ni taifa zima limefeli,sawa kijana!!!

usione watu wanapiga kelele ukafungwa na hisia zako za chuki tu kwa jpm wakati wote.
kule kwenye ule uzi nimekuuliza sababu ya mahindi kuzuiwa ilikuwa nini,hujajibu mpaka sasa.kwanini mmeamua kiwa wazembe tu kufikiri???
Na hapa hatakujibu,watu wa pwani wengi akili zero ndo maana tunawanyang'anya ardhi wanakimbilia vijijini zaidi
 
She is hopeless and one term president!Badala ya kujishughulisha na kufuta zile sheria kandamizi za uwekezaji za mambo ya task force na kadhalika ambazo alizitunga yeye pamoja na Magufuli anaongea vitu ambavyo ni non-sense.

Hakuna mwekezaji ambae atarudi kuwekeza Tanzania kwa sheria zile!Nchi ilifungwa kwa sheria kandamizi za uwekezaji kwa hiyo inapaswa kufunguliwa kwa kufutwa sheria hizo kandamizi.
Chief...one thing after the other. Ngoja kwanza akae na private sector asikilize kero zao zote...iki afanye amendment za sheria kwa mara moja. Wewe unataka akimbize amendment wakati bado hajafanya consultation na wadau? Hiyo ndio ilikua method ya shujaa na ndio iliyotufikisha hapa
 
Ndio maana nikasema hivyo vitu vinaenda kwa pamoja, na focus yangu au yako isiangalie tu ni kundi lipi linafaidika zaidi.
Mfano tufuate cha wengi wetu kufaidika, lakini tunachopeleka huko ndio hilo Tenga la vitunguu, nyanya ni na mboga mboga zingine, kwanza cost za Usafiri zitakuwa kubwa dhidi ya kila kg ya mzigo unaopeleka, pili safari zitakuwa nyingi , hivyo muda wa kufanya biashara unapungua, baadae huyu mtu ataona bora umuuzie Mtani wa Jadi pale Arusha, au Singida, na Mtani wa jadi ana chukua huo mzigo na kwenda kuuza huko kwao. Na sasa yeye anapata faida marudufu, kwani wakipunguza gharama zako za kusafirisha tena au gunia moja, za malazi, na za kuwa na genge au sehemu ya kuuzia huko kwa mtani.
 
Hapa suala sio kuzifuta , bali kushiriki mkazo, sheria za kodi dunia yote na adhabu zake zipo sawa.
Tatizo Bongo kulikuwa na ukwepaji kodi mkubwa, hivyo ulikuwa unahitaji hatua za dharura kukabiliana nalo na ikiwezekana kuwaadhibu kidogo wakosaji.
Unatakiwa ujue historia ya mapungufu yetu kwenye kodi toka enzi za Mwl, Mzee Ruksa, Che Nkapa, JK n.k
 
Ndio ujiulize kwanini watu wanakwepa kodi?
Ni kwasababu ziko juu sana. Tanzania kama una biashara yako.... corporate tax ni 30%! Hiyo ni mbali na matozo mengine. Unaachaje kukwepa kodi? Ndio maana mama inabidi akae na sekta binafsi ayasikie haya
 
Ndio maana nikasema hivyo vitu vinaenda kwa pamoja, na focus yangu au yako isiangalie tu ni kundi lipi linafaidika zaidi.
Mfano tufuate cha wengi wetu kufaidika, lakini tunachopeleka huko ndio hilo Tenga la vitunguu, nyanya ni na mboga mboga zingine, kwanza cost za Usafiri zitakuwa kubwa dhidi ya kila kg ya mzigo unaopeleka, pili safari zitakuwa nyingi , hivyo muda wa kufanya biashara unapungua, baadae huyu mtu ataona bora umuuzie Mtani wa Jadi pale Arusha, au Singida, na Mtani wa jadi ana chukua huo mzigo na kwenda kuuza huko kwao. Na sasa yeye anapata faida marudufu, kwani wakipunguza gharama zako za kusafirisha tena au gunia moja, za malazi, na za kuwa na genge au sehemu ya kuuzia huko kwa mtani.
August ume-assume kuwa wafanyabiashara wote wanatoka mbali na kusafirisha bidhaa zao kwenda Kenya. Tafakari pia wale wananchi wa kawaida wanaoishi mipakani na kwa maana hiyo hawahitaji nauli zaidi ya kubeba mizigo kichwani, kwa baiskeli au pikipiki na wanahitaji pesa kwa ajili ya mahitaji yao ya msingi ya kila siku. Hawa ukiwazuia kuuza Kenya unakuwa umewaua kabisa kwani hawana vyanzo vingine vya uhakika vya pesa zaidi ya kulima na kuuza bidhaa zao upande wa pili ambapo wanapata bei kubwa zaidi kukidhi mahitaji yao. Na hao ni wengi sana ukianzia mpaka wa Horohoro/Lungalunga mpaka Sirari/Isebania.
 
Ndio maana nikasema hivyo vitu vinaenda kwa pamoja, na focus yangu au yako isiangalie tu ni kundi lipi linafaidika zaidi.
Mfano tufuate cha wengi wetu kufaidika, lakini tunachopeleka huko ndio hilo Tenga la vitunguu, nyanya ni na mboga mboga zingine, kwanza cost za Usafiri zitakuwa kubwa dhidi ya kila kg ya mzigo unaopeleka, pili safari zitakuwa nyingi , hivyo muda wa kufanya biashara unapungua, baadae huyu mtu ataona bora umuuzie Mtani wa Jadi pale Arusha, au Singida, nk
Unaongea kama vile wote wanaishi maili nyingiiiiiii kutoka mpakani !!!!

Kuna Kagera mfano mpaka upande huu wa Tanzania kahawa iko kibao mtu aweza ivusha kwa baiskeli tu kuuza uganda

Kuna wamasai Longido akitaka kuuza hata ngombe wawili kenya anawaswaga tu kuuza kenya masaa machache tu hahitaji hata gari

Waweza uza ndio vitunguu vyao,nyanya zao nk mchi nyingine biila shida

Naona kwenye hii argument yako umechukulie as if watu wetu wa mipakani hawako duniani na hawana economic activity yeyote ya kuuza nchi yao jirani!!!! Utakuwa unaishi DAR .Ndio maana watu wa mipakani kwako ni out of the equation!!! Fikiria mfano wewe ndie mshauri wa Mama Samia halafu uktoa huo ushauri kuwa ni mbali kuuza na cost za kuuza zitakuwa juu kwa mtu ambaye na mpaka unaoongea wanaishi majirani hata kwa miguu anaenda!!!

Jipime mwenyewe .Make your self assesment ya hicho ulichoandika

Ndio maana tunasema baadhi ya wasomi wetu kuna vitu kichwani hamna kitu
 
Back
Top Bottom