Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akiwa KenyaKasema hayo akiwa wapi eti?,???!!!
A task force is a group of people who come together from diverse branches, positions, and points of view to facilitate the development of ideas, create new opportunities, answer questions, or solve a problem.
A task force is a unit or formation established to work on a single defined task or activity. Originally introduced by the United States Navy, the term has now caught on for general usage and is a standard part of NATO terminology.
Ni mawazo yako kwamba ziko juu, mfano Vat kwetu ni 18 sijui kenya at UG nk lakini hata EU vat ipo kwenye rate hiyo.Ndio ujiulize kwanini watu wanakwepa kodi?
Ni kwasababu ziko juu sana. Tanzania kama una biashara yako.... corporate tax ni 30%! Hiyo ni mbali na matozo mengine. Unaachaje kukwepa kodi? Ndio maana mama inabidi akae na sekta binafsi ayasikie haya
| Standard rate | 20% | Most goods and services |
Forex gani unayofanya zaidi ya kupiga tarumbeta LumumbaKabisa mkuu, hasa sisi wana forex mama atakuwa ametupa zawadi murua kabisa
Kulipa kodi wapi? Uki export unalipa kodi wapi? Mfano umepeleka bidhaa kuuza Marekani kodi unalipa wapi? Kahawa ikipelekwa Uganda kodi inatakiwa kulipwa wapi?Kwani hizo biashara za mipakani hazipo? Kinacho gomba hapa ni kodi, wewe mahitaji yako ya barabara, hospital, shule yapo Tz lakini hutaki kulipa kodi kwa kuuza kwako huyo ngombe au kahawa sasa hapa naona unataka kuchanganya issue ya biashara as biashara na issue ya kodi na nchi kupata forex na ukichanganya vitu vingi naona utapoteza muelekeo . Ya nini hasa unataka.
Unaijuwa sheria ya kumiliki ardhi ya Tanzania?Ni kwamba akiifungua nchi na mwekezaji akamilikishwa ardhi na kutokana na economic strength yake , itakuwa shida sana kuipata ardhi hiyo au kwa gharama mara mia ya bei aliyonunulia. Angalia matatizo ya ardhi yalio pelekea mapigano ya kikabila, ambapo Uhuru aliahidi kutoa kiasi lakini sijasikia kutekeleza ahadi hiyo
Toka lini mmewahi kunyanyuka?Huyu atatupeleka sehemu ambayo hatutakaa tuinuke tena.
Hujui kodi ya Mapato na zaidi ya hapo unajua kwanini issue hii ilikuwa ni jambo kubwa ktk brexit to EU ?? Halafu unalauma watu hawajui nini kinatokea mipakani au export inakatazwakulipa kodi wapi? uki export unalipa kodi wapi? mfano umepeleka bidhaa kuuza marekani kodi unalipa wapi? Kahawa ikipelekwa Uganda kodi inatakiwa kulipwa wapi?
Na kenya wakileta bidhaa zao kwetu kodi wanalipa wapi?
Hivyo kama kawaida kilichobadilika ni huhitaji visa wala permit .Leseni na vibali vya mkaa je?
YES/NO?!
Umesikiliza vizuri alichoongea kuhusu mabadiliko ya sheria kandamizi? Sikiliza kwanza hiyo video?She is hopeless and one term president!Badala ya kujishughulisha na kufuta zile sheria kandamizi za uwekezaji za mambo ya task force na kadhalika ambazo alizitunga yeye pamoja na Magufuli anaongea vitu ambavyo ni non-sense.
Hakuna mwekezaji ambae atarudi kuwekeza Tanzania kwa sheria zile!Nchi ilifungwa kwa sheria kandamizi za uwekezaji kwa hiyo inapaswa kufunguliwa kwa kufutwa sheria hizo kandamizi.
Ingekuwa kama unavyofikiria Bank zisingekuwa zinatoa mikopo, au watu wangekuwa hawalipwi fidia hiyo ardhi ikichukuliwaUnaijuwa sheria ya kumiliki ardhi ya Tanzania?
utawala wa mwendazake hatakama yangekuwepo na wahusika kukamatwa au kuachwa,hakuna ambae angesubutu kusema.Na madawa ya kulevya yameshafunguliwa!
Wauza ngada wataneemeka mno!
Riziwani anakenua sasa hivi....
NAJUA nikiuza kenya kodi ya mapato nalipa kenya au ulitaka nilipe mara mbili kenya na Tanzania? Double Taxation hairuhusiwi,Nikiuza Marekni nitalipa kule,Nifungue biashara ya kuuza kahawa uganda halafu nije kukulipa wewe kodi ya mapato?Hujui kodi ya Mapato
Kwahiyo tulikuwa tumefungwa?Mama anatufungulia dunia tuwe tunachotaka.....
Kikubwa ni kufuata taratibu na sheria na kuweka maslahi ya taifa mbele
Ungeweka hicho kitu ambacho hukielewi wazi ili tusaidiane mawazo.Hadi sasa kuna kitu sijakielewa kwa huyu mama, hebu labda muda utakuwa na majibu sahihi
Sent using Jamii Forums mobile app