Rais Samia, nani kakushauri kununua Treni zenye muundo mbovu namna hii?

Hukumbuki jinsi mlivyo mnanga na zile ndege zake za panga boi!
 
Mimi nilifikiri tunaondokana na treni zenye muundo wa kutisha za enzi za George and Robert Stephenson na kuingia kwenye era ya treni za umeme zenye kuburudisha macho kwa design kama za wenzetu wajerumani.
Mkuu 'Maneno Meier', mimi ninakuunga mkono kwamba mwonekano wa gari hilo haupendezi, lakini ningefurahi kuona muundo wa hizo zinazokufurahisha macho ukizitazama.

Mimi sijui mambo haya, lakini huenda treni hizi za spidi hizi ndogo, ndivyo zilivyo, tofauti na zile za spidi kubwa, wenyewe wanaziita 'bullet train'?

Ninaomba, yeyote mwenye miundo tofauti na hizi tunazoziona zikitumika kwenye SGR za kawaida, asaidie kuweka picha hizo hapa ili tuone hawa TRC walivyoshindwa kuchagua zenye muundo wa kuvutia.
 
Lkn Mzee alizinunua bombardier akina Zito walimkosoa kuwa ni ndege ambazo zishapitwa na wakati sana na kweli naskia zilikuwa zinakorofisha kila siku...

Ok let us say mama ndo kanunua basi awe makini isiwe ikawa amewatuma wahuni tu watu wa dili wamechikichia hela ndo kutuletea hili kontena na reli ya kisasa!!![emoji3525][emoji3525][emoji3525]
 
Hapa umenikumbsha zile 'expansion joints'
 
Eti km 160/hour yaani wakati zipo za 250 km/hour

Hapa kuna upigaji hapa yatakuwa kama Yale ya mwendokasi siku moja kazi siku ya pili garage!!
 
Shida wa Tz mna viherehere mnoooo nani kwan kawaambia izi ndio zenyewe ?
 
Muanzisha mada ni sawa na baba yako kasema anataka kunua gari . Mshahara wa dingi unajua ni lakin nane kwa mwezi. Halafu unaonyeshwa gari anayotaka kununua ni IST, wewe unaanza unalalamika kwanini hakununua Royce Royce Phantom. 😃. Pengine hiyo dizaini wewe unadhani ni bora ina gharama zaidi, lazima ujipime kwa saizi yako. Huwezi kujenga nyumba ya milioni 200 na ukaweka fenicha za m 200 halafu ukaanza ukapangisha hiyo nyumba kwa laki sita kwa mwezi, wakati ungetumia m 100 na bado ukapata hiyo laki sita.
 
Hiki kizazi kimejaa watu wapumbavu sana. Hiyo tender ilipita wakati wa Magufuli na mnataka kumlaumu Rais wa sasa ili mfiche madhambi ya mungu wenu aliyekufa kwa Covid.

Tafuteni lini hiyo tender ilikuwa awarded kwa hao Hyundai ndio muelewe.
Hakuna mtu anauhakika kuwa huo mkataba ulifanyika lini? Lakini kitu ambacho kimejitokeza hivi sasa ni kwamba hatujui kitu ambacho kimeisukuma kampuni ya Hyundai-Rotem kutangaze leo kwenye Website yake kuwa wameshinda sabuni ya kuiuzia Tanzania idadi ya treni zilizo orodheshwa na kiasi cha pesa kitakacho igharimu nchi yetu kwenye zabuni hiyo.

Swalinlankujiuliza ni kwanini sasa haya yajitokeze na kwanini sio huko nyuma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…