Rais Samia, nani kakushauri kununua Treni zenye muundo mbovu namna hii?

Toka awali kwenye tenda walishaonyesha sample ya injini zitakazotumika, kulinganisha na bajeti , kwa hiyo wewe unachofahamu zenye kutumia umeme ni zile tu zenye kichwa kama cha nyoka?!!!hahaaa, inayokwenda km 320 kwa saa!!kazi kweli kweli, toka SGR, ina dizainiwa walijua ni mabehewa ya aina gani na injini zake, sasa leo mnataka kama zile za ulayaaaa?!!jamani jamani!!ndio maana wameshakuambia hiyo itakimbia km 160/saa!! Sasa hayo mambo ya eti mizania ni mtazamo wako na sio wa kihandisi.
 
Angalia hizi clips za chini. Ni treni za kisasa kabisa ujerumani. Wenyewe wanaziita ICE4 na ICE3 ambazo zinaweza kwenda na speed ya mpaka 300km/h. Ni very confortable utafikiri una paa kwenye ndege. ICE stands for Intercity Express. Hizi ni treni za masafa marefu.

Kwa ndani treni zote za series hii za DB (DEUTSCHE BAHN) za wajerumani are allmost the same. Tofauti ni ndogo sana. Kwa nje kuna tofaut kati ya ICE 3 na ICE 4.

Models za treni ambazo TRC walituonyesha saba saba mwaka jana zilikuwa za muundo wa ICE 3. Sasa kama wamebadilisha hiyo sijui.
 
Huyu mama tayari washamshika, sasa wanamchezea vilivyo mafisi wanapiga nje ndani usikute ni mtumba huo.

Mkuu 'stroke', kicheko chako hakieleweki, mimi nimekisia tu kwamba ni kuhusu haya aliyoandika mkuu 'Prisonerx'!

Sasa Stateman kapotelea wapi? Yeye alikuwa anatwanga tu, hacheki na nyani.
 
Hivyo viwili vya picha za chini ndiyo vitu tunavyo vitegemea kuviona na kusafiri navyo.
Hahaaaaa!!!hicho kitu kwa hii SGR yenu ni sawa gari aina ya limozini kuitumia ktk barabara za DRC!!hasa za mashariki mwa congo!!haitaweza kutembea hata hatua moja!!!weeee usilete utanii na hilo dude kichwa tu kama MJUSI KAFIRI!!!!
 
Tunataka yale kama nyoka ya ulaya kwa sababu tuliaminishwa ni yale.
 
Nimeziona mkuu. Ahsante sana.

TRC wana wajibu wa kutueleza kwa nini tusiwe na aina hii na badala yake tuwe na aina ile wanayotuonyesha wamenunua toka Korea Kusini.
 
Masanja atuletee ya dizain hii. Hata kama ni kwa kupanda dau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…