kt the irreplaceable
JF-Expert Member
- Oct 12, 2017
- 2,375
- 4,893
Mama yako kama yupo hai unajua atakufa kwa ugonjwa gani?Hiki kizazi kimejaa watu wapumbavu sana. Hiyo tender ilipita wakati wa Magufuli na mnataka kumlaumu Rais wa sasa ili mfiche madhambi ya mungu wenu aliyekufa kwa Covid.
Tafuteni lini hiyo tender ilikuwa awarded kwa hao Hyundai ndio muelewe.