Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa ninavyojua hiyo ni kampuni hawaja ainisha which model exactly ndio italetwa maana wana model nyingi za trains
Kama ilivyo Toyota or any other company View attachment 1849362
View attachment 1849364
View attachment 1849365
Garama za miundombinu ndio kubwa , tumeweza tutashindwaje kununua gari la kisasa?Tunataka Bentley wakati tuna hela ya Bajaj.
Amandla...
Hapo ng'ombe akijichanganya sijui itakuwaje.....Hao Japan wana miundombinu ya Magnetic Levitation trains zinaelea kwenye magnetic fields zinakimbia balaa
Ngoma inakata kama kisu maana inakimbia kwa speed ya 350km/h mpaka 600km/h yani hapo kwa kweli hamtoona kitu zaidi ya masalia ya ng’ombe tu! Labda wawekee wavu pembeni mdudu asikatizeHapo ng'ombe akijichanganya sijui itakuwaje.....
Hiyo tuachane nayo kwanza tunusuru hawa ng'ombe wetu.....Ngoma inakata kama kisu maana inakimbia kwa speed ya 350km/h mpaka 600km/h yani hapo kwa kweli hamtoona kitu zaidi ya masalia ya ng’ombe tu! Labda wawekee wavu pembeni mdudu asikatize
Kwa nini hii tender hawakushinda wachina ili hali hawa jamaa huwa wana bid katika lowest with same specificationsHyundai magari yenyewe yamewashinda itakuwa treni?
Hata mabasi ya mwendo kasi siyo ya mwendo kasi kweli. Watu mnataka bullet trains wakati hata reli yenyewe haikidhi vigezo vya bullet trains achilia mbali kuwa ni nchi chache zenye bullet trains.Tuliahidiwa hivyo kuwa tutapata High speed trains. Hayati Magufuli na Mh Kadogosa wakati ule walikuwa wakiimba hivyo.
Mkuu yani watu wanashangaza sasa, wanataka train ya bullet iwekwe kwenye kireli chetu, pia zile train technolojia yake ni ghali sana na ziko sehemu chache duniani. Hiyo train mimi naona nzuri sana na zinatumiaka sehemu kibaoMkuu utamudu kununua treni toleo la kisasa inayoenda kwa supersonic speed iliyotengenezwa na majapan au mkorea? Je, kwa namna miundombinu yetu ya SGR ilivyojengwa inamudu kweli ku operate toleo la kisasa la hizi treni ambazo zinakwenda kasi ya ajabu. Nafikiri pamoja na ubora na kasi lazima wazingatie gharama au bei ya hizo treni, ili angalau kukidhi mahitaji. Huko mbeleni baada ya kukusanya pesa ya kutosha ndo unaweza kuingiza mdogo mdogo matoleo ya kisasa zaidi.......mwanzo mgumu.
Sihitaji kubishana na wewe unajua zaidi. Huo utumbo kama utapika ndizi utakufaa. Siku njema[emoji3][emoji3][emoji3] Ungejua Material Science ni nini? Usinge andika utumbo kama huo. Lakini kwa kwa vile hujui nini maana yake aplivation yake iko vipi, ngoja nikuache kama ulivyo.
Ulaya hasa Ujerumani kuna baadhi ya Railway Station kama ya Munich au Frankfurt wanaziita Sackbahnhof, wakimaanisha kuwa Railway stations ambazo treni hazipiti moja kwa moja. Kwenye Stations kama hizi treni inaingia kwa mbele na kutokea kwa nyuma na kuendelea na safari. Mbele na nyuma kwote ni sawa.Mkuu.zina nyuma.sasa unaposema hakuna nyuma ni kwamba dereva yuko mbele na nyuma ?.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kusema kweli leo nimesikitika sana kuona aina ya muundo wa treni ambayo serikali yetu imeweka mkataba na kampuni ya Hyundai-Rotem ni treni zenye mwonekano wa ki-Hitler!
Mimi nilifikiri tunaondokana na treni zenye muundo wa kutisha za enzi za George and Robert Stephenson na kuingia kwenye era ya treni za umeme zenye kuburudisha macho kwa design kama za wenzetu wajerumani.
Mama samia Suluhu Hassan Rais wetu nani kakupa ushauri wa kutua saini ya makubaliano ya kununua treni za aina hiyo? Mimi sitaki kuamini na sikutegema kama aina ya treni ambazo zitatereza kwenye reli yetu zingekuwa na mwonekano huo kwenye hiyo picha ya taarifa tuliyoipata kwenye Website ya hiyo kampuni iliyo shinda zabuni ya Hyndai-Rotem. Mbona inatisha?
Nitashangaa sana kama upande mmoja tumejitahidi kutengeneza Stations nzuri, za kisasa na zenye mwonekano mzuri na wa kupendeza na kupata system yenye technology mpya, alafu leo tunaambiwa kuwa tunapata treni zenye vichwa na mabehewa ya enzi za Hitler? Ama kweli Tanzania tunawatu ambao kweli hawajui kwenda na na wakati. Watu wasiokuwa na test ya biashara. Mnategemea nani mtampata kwenye kwenye hayo ma-wreck yenu?
Mkurugenzi Kadogosa hii sio treni ambazo models zake mtangazaji wako Beni Mwanantala amekuwa akituonyesha kwenye maonyesho uwanja wa sabasaba kurasini.
That's awful! Are you really serious with this mkurugenzi?
Sasa naomba niambie kuna tofauti gani na SGR ya kenya kimwonekano? Inamaana mnatufanya sisi ni masokwe mpaka mnatuletea matakataka kama haya ambayo hakuna mtu anaye yataka?
Waziri wa Ujenzi na uchukuzi hivi ni sahihi kweli sisi watanzania mtusweke kwenye ma-wagon yanayo onekana kama treni za kusafirisha mizigo na wanyama kama haya ambayo hata hayavutii? Mmepewa bure nini? Ama ndiyo tuseme mmedhamiria nini kutuletea? Tuambieni?
Nilipokuwa kwenye jengo lenu la maonyesho ya sabasaba mwaka jana na kujionea mwenyewe models za treni na mabehewa ambayo Mr. Mwanantala alitupa maelezo yake, aisee, nilifarijika sana sana moyoni na niliwaombea baraka nyingi kwa muumba wetu za kuwaongoza vizuri katika shughuli zenu za kuwatumikia Watanzania.
Sikutegemea kabisa kuwa leo ingekuwa siku ya majonzi makubwa kwa kuona au kusikia mashine zitakazo tereza kwenye reli yetu ya kisasa ya SGR kumbe ni madudu ambayo yamepitwa na wakati na yasiyo na mvuto hata lidogo. ES IST SCHRECKLICH!
![]()
Hyundai Rotem wins contract to deliver trains to Tanzania - Fuentitech
The 97 cars operate at a top speed of 160km / hr. Credit: HYUNDAI ROTEM COMPANY. South Korean-based company Hyundai Rotem has won a $ 295.65 million (335.4 billion won) contract from the Tanzania Railways Limited (TRC) to deliver eco-friendly rail vehicles. Under the contract, TRC will receive $...fuentitech.com