Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Nimeshamjibu mwehu huyo na mwenye chuki binafsi kwa mh Rais kutokana na akili yake kupofushwa na kuteswa na mawazo ya kibaguzi kwa misingi ya ukabila na ukanda. Hana akili kabisa ,ni kubwa kinga aliyekosa malezi ya mama yake.Ni toto lililokulia mazingira ya kitukutu
Jinsia yake haihusiki. Dini yake haihusiki. Sehemu ya Kijiografia anayotokea nayo haihusiki.
Kinachohusika hapa ni uwezo wake mdogo alionao.
Uwezo mdogo wa kiuongozi. Uwezo mdogo wa kuchanganua mambo. Na uwezo mdogo wa kujenga hoja.
Mara kadhaa sasa nimeona ona humu baadhi ya watu wakisema kwamba Rais Samia kaonyesha na kuthibitisha kuwa wanawake hawafai katika nafasi kiuongozi.
Mimi hilo nalikataa. Mtu mmoja mwenye uwezo mdogo si mwakilishi wa wanawake wote nchini wala duniani, kwa ujumla.
Uwezo wake mdogo alionao ni wa kwake yeye tu, Rais Samia.
Kilichonisukuma kuileta hii mada hapa ni yale maoni yake aliyoyatoa hapo jana.
View: https://youtu.be/O8SVrOeYtck?si=zAtsS1VP_q_B5Hmo
Rais anahoji kuwa kwani katiba ndo inaleta maendeleo?
Hivi huyu Rais hajui kuwa katiba ya nchi ndo framework ya uongozi na utawala ulio bora?
Bila uongozi na utawala ulio bora, kuna maendeleo gani yaliyo ya maana yanayoweza kupatikana?
Huo ni uwezo mdogo sana wa kufikiri ambao siutegemei utoke kwa kiongozi aliye wa juu kabisa nchini.
Au labda yeye anadhani maendeleo yanatoka wapi au yanakujaje?
Jingine la ajabu alilolizungumzia ni suala la elimu. Kwamba eti watu walio wengi hawajui hata katiba ni kitu gani. Hivyo ni lazima kwanza watu wapewe elimu kabla ya kuiandika hiyo katiba mpya.
Nilichoking’amua hapo ni ‘projection’ yake yeye kuhusu katiba.
Kulingana na kauli zake kuhusu katiba, nadhani yeye ndo hajui katiba ni kitu gani na hivyo anadhani hata wengine nao hawajui katiba ni nini!
Kenya waliandika katiba mpya mwaka 2010 [kama sijakosea].
Afrika Kusini waliandika katiba mpya baada ya kuachana na sheria za ubaguzi wa rangi kwenye miaka ya 90.
Marekani waliandika katiba yao miaka zaidi ya 200 iliyopita na ambayo wameifanyia marekebisho mara 27.
Sehemu nyingi tu duniani zimeandika katiba mpya na zingine kuzifanyia marekebisho katiba zilizopo.
Ni wapi ambako waliielimisha jamii kwanza kabla ya kuandika mpya?
Afrika Kusini walifanya elimu gani kwa wananchi kabla ya kuandika katiba yao mpya?
Waliwakalisha watu madarasani na kuanza kuwafundisha somo la katiba?
Katiba iliyopo sasa hivi wakati inaandikwa elimu ya katiba ilitolewa na nani? Lini? Wapi?
Naona sasa suala la kwamba wananchi hawana elimu ya katiba ndo litakuwa ‘narrative’ ya CCM kukwepa kujadili hoja za katiba mpya.
Kwa nilichokisikia jana, ni dhahiri shahiri kwamba anayehitaji elimu ya kujua katiba ni nini, ni Rais Samia.
Samia hafai kuwa Rais. Alichaguliwa kuwa mgombea mwenza kwa sababu zingine na si kwa sababu alikuwa ni mtu mwenye uwezo unaofaa.
Tuna Rais bomu ambaye hafai kuwepo madarakani hata kwa sekunde moja.
Nadiriki kusema kuwa Samia ndo Rais bomu kushinda marais wote tuliowahi kuwa nao Tanzania.
Mmbwa ty wwAliongea pumba tupu!
Uliziona nyuso za Mwamakula na Warioba kamera zilipowaonyesha?
Samia hana hata uwezo wa kujistukia kuwa anachoongea ni pumba.
Mimi sina akili nyingi. Ila nina akili za kutosha walau kujistukia kuwa ninachokiongea ni pumba na hivyo ni bora kunyamaza tu.
Samia hata uwezo huo hana.
Kama ingelikuwa hiari yangu hapa duniani....Siku hizi sipo active sana humu.
Lakini baada ya kusizikia zile pumba jana, nikasema haiwezekani nikae tu kimya.
Yaani Rais mzima anasimama mbele ya hadhira na kuongea pumba tupu!
Hivi hii katiba iliyomfanya yeye awepo hapo alipo kwenye hiyo nafasi, wakati inaandikwa watu walipewa elimu gani? Nani aliwapa hiyo elimu? Na ulitumika utaratibu gani kutathmini watu wameipata hiyo elimu vya kutosha?
Na walimu wa hiyo elimu walikuwa akina nani?
Tuna Rais mwenye akili ambayo haitoshi kwenye hiyo nafasi….
Matusi siyo hoja! Jenga hoja.Jjiwe alikuwa shetan na muuji,wakristo 80% mna chuki na rais muislam ,wapuuzi kama wewe ni wakupigwa shaba ,huna adabu klkenge wewe
"Hata vitabu vya dini tumevikuta" hapa anakazia kuwa katiba si lolote, si chochote.Hujamsikiliza vizuri Mheshimiwa Raisi, unachomoa tu kaneno kamoja kisha unakimbia nacho kama kuku aliuekatwa kichwa.
Haters Kila wakati mnatafuta Cha kuzusha. So pathetic.
Hakuna mwenye ubavu wala uwezo wa kushindana na Rais samia katika sanduku la kura.Unganeni lakini hamtashinda na hamuwezi kumshinda Rais samia katika uchaguzi.Mama anahisi Katiba Mpya itamfutilia mbali kwenye uongozi. Hiyo hotuba uliyopachika anaongea kwa hasira sana na kapanic
Una hoja gani ya kujibiwa wewe usiyejitambua na mkabila mkubwa wewe uliyekosa adabu na akiliMatusi siyo hoja! Jenga hoja.
Mbwa kama hawa niwakuwaua,yana chuki za kidini manguruwe haya,serikal isicheke na matahira hayaDah matumizi mabaya Sana ya Uhuru wa kutoa maoni
Huna akili hata kidogo na unastahili kufundwa adabuTuna rais dhaifu kuwahi tokea
Alitakiwa kumsikiliza kwa namna ipi?Hujamsikiliza vizuri Mheshimiwa Raisi, unachomoa tu kaneno kamoja kisha unakimbia nacho kama kuku aliuekatwa kichwa.
Haters Kila wakati mnatafuta Cha kuzusha. So pathetic.
"Biashara bila daftari huisha bila habari." ni rhyme .Daftari siyo Kitabu
Tecc ndio wanawatuma mtukane viongoziHatari nikuwa watendaji wakuu wote sio big and smart brains... Golden boys/girls huwa excellent toka ngazi za chini mpaka vyuo vikuu!!
Sasa tizama,
R sa100 - alifeli fomfoo akaenda somea ukarani baadae akaunga unga kiujanjajanja vyuo vyajuu
W/M kasim - alifeli fomfoo akaenda ualimu wa praimari baadae akaungaunga kiujanja ujanja vyuo vyajuu
NW/M doto - alifeli fomfoo akaenda ualimu praimari badae akaunga unga kiujanja vyuo vyajuu.
Tena huyu ashtakiwe maana alikuwa hafanyi kazi anabeba mshahara alafu anaunganisha tuu vyuoni wakati kisheria inapaswa kukaa kituoni miaka mitatu ndiyo ukaongeze elimu!!!
Kazi tunayooo, wataacha kugawa mabandar hawa bila kikomo!!
Dah,jana nimeona aibu,Rais anaropoka mambo ya ajabu alafu mbele ya Mabalozi.Yule Bibi uwezo wa kuongoza nchi hana,amejaa mipasho sana!Jinsia yake haihusiki. Dini yake haihusiki. Sehemu ya Kijiografia anayotokea nayo haihusiki.
Kinachohusika hapa ni uwezo wake mdogo alionao.
Uwezo mdogo wa kiuongozi. Uwezo mdogo wa kuchanganua mambo. Na uwezo mdogo wa kujenga hoja.
Mara kadhaa sasa nimeona ona humu baadhi ya watu wakisema kwamba Rais Samia kaonyesha na kuthibitisha kuwa wanawake hawafai katika nafasi kiuongozi.
Mimi hilo nalikataa. Mtu mmoja mwenye uwezo mdogo si mwakilishi wa wanawake wote nchini wala duniani, kwa ujumla.
Uwezo wake mdogo alionao ni wa kwake yeye tu, Rais Samia.
Kilichonisukuma kuileta hii mada hapa ni yale maoni yake aliyoyatoa hapo jana.
View: https://youtu.be/O8SVrOeYtck?si=zAtsS1VP_q_B5Hmo
Rais anahoji kuwa kwani katiba ndo inaleta maendeleo?
Hivi huyu Rais hajui kuwa katiba ya nchi ndo framework ya uongozi na utawala ulio bora?
Bila uongozi na utawala ulio bora, kuna maendeleo gani yaliyo ya maana yanayoweza kupatikana?
Huo ni uwezo mdogo sana wa kufikiri ambao siutegemei utoke kwa kiongozi aliye wa juu kabisa nchini.
Au labda yeye anadhani maendeleo yanatoka wapi au yanakujaje?
Jingine la ajabu alilolizungumzia ni suala la elimu. Kwamba eti watu walio wengi hawajui hata katiba ni kitu gani. Hivyo ni lazima kwanza watu wapewe elimu kabla ya kuiandika hiyo katiba mpya.
Nilichoking’amua hapo ni ‘projection’ yake yeye kuhusu katiba.
Kulingana na kauli zake kuhusu katiba, nadhani yeye ndo hajui katiba ni kitu gani na hivyo anadhani hata wengine nao hawajui katiba ni nini!
Kenya waliandika katiba mpya mwaka 2010 [kama sijakosea].
Afrika Kusini waliandika katiba mpya baada ya kuachana na sheria za ubaguzi wa rangi kwenye miaka ya 90.
Marekani waliandika katiba yao miaka zaidi ya 200 iliyopita na ambayo wameifanyia marekebisho mara 27.
Sehemu nyingi tu duniani zimeandika katiba mpya na zingine kuzifanyia marekebisho katiba zilizopo.
Ni wapi ambako waliielimisha jamii kwanza kabla ya kuandika mpya?
Afrika Kusini walifanya elimu gani kwa wananchi kabla ya kuandika katiba yao mpya?
Waliwakalisha watu madarasani na kuanza kuwafundisha somo la katiba?
Katiba iliyopo sasa hivi wakati inaandikwa elimu ya katiba ilitolewa na nani? Lini? Wapi?
Naona sasa suala la kwamba wananchi hawana elimu ya katiba ndo litakuwa ‘narrative’ ya CCM kukwepa kujadili hoja za katiba mpya.
Kwa nilichokisikia jana, ni dhahiri shahiri kwamba anayehitaji elimu ya kujua katiba ni nini, ni Rais Samia.
Samia hafai kuwa Rais. Alichaguliwa kuwa mgombea mwenza kwa sababu zingine na si kwa sababu alikuwa ni mtu mwenye uwezo unaofaa.
Tuna Rais bomu ambaye hafai kuwepo madarakani hata kwa sekunde moja.
Nadiriki kusema kuwa Samia ndo Rais bomu kushinda marais wote tuliowahi kuwa nao Tanzania.
Kwani wewe kwa akili yako kizibo hiyo unafikiri tungefika hapa kiuchumi mahali tunapopongezwa na Taasisi mbalimbali za kimataifa kama siyo ushupavu na umadhubuti wa Rais samia? Huoni namna tulivyo piga hatua katika kila eneo? Huna akili kabisa wewe.Kwa jinsi alivyokuwa anaongea Napata shida kuelewa mtiririko wake wa fikra ulikuaje. Mwanamke nafasi yake ni jikoni

maneno mengi kazi kidogoTatizo ni mchambaji sana. Ukijumlisha na uswahili uliopitiliza
Ni kweli tumepiga hatua kurudi nyumaKwani wewe kwa akili yako kizibo hiyo unafikiri tungefika hapa kiuchumi mahali tunapopongezwa na Taasisi mbalimbali za kimataifa kama siyo ushupavu na umadhubuti wa Rais samia? Huoni namna tulivyo piga hatua katika kila eneo? Huna akili kabisa wewe.
Wewe ndiye unayeropoka kama mgonjwa wa akili au aliyepandwa na kichaa . watanzania wenye akili Timamu tulimuelewa vyema sana Rais wetu.Dah,jana nimeona aibu,Rais anaropoka mambo ya ajabu alafu mbele ya Mabalozi.Yule Bibi uwezo wa kuongoza nchi hana,amejaa mipasho sana!
Childish,kwani wewe hili swali lako hapa kuna mtu aliyekutafuta na kukuomba uje kuniuliza?