Rais Samia: Nani kasema Maendeleo yanaletwa na Kitabu? Mbona Vitabu vya Dini tunavikiuka?

Kwahiyo CCM leo hii ndiyo wanataka kupitia huyo mama wa nyumbani eti "elimu ya katiba" ianze kutolewa tena kwa miaka mitatu, kabla ya yoyote?. Kwanini siyo miaka ya nyuma, wakati Serikali na wenye madaraka ni CCM tokea uhuru? Nilipokuwa O-level enzi hizo miaka ya 80 nakumbuka wakati wa kipindi cha Siasa, katiba iliyokuwa kwenye mtaala ni ile ya CCM na siyo ya JMT.
 
Wewe nae tuwachie porojo zisizo na mpango, UK katiba yao iko wapi? Israel katiba yao iko wapi?

Hizo nchi mbili nilizokuwekea hazina maendeleo?

Nyie wasukuma mnajulikana mila zenu, kuwadunisha wanawake, hiyo ilikuwa babu zenu, siyo karne hii.
Mwanamke ni kiumbe duni tangu kuumbwa kwa ulimwengu kama unabisha nenda kasalishe masjid uone moto
 


Eeh?!

Maendeleo hayaletwi na Katiba? Kwani Katiba ni nini?

Kumbe anakiuka vitabu vya dini yake?

Kwahiyo hiyo inampa sababu ya kukiuka Katiba ya nchi aliyoapa kwa kutumia kitabu cha dini yake kuilinda na kuisimamia?

Inawezekana kile kiapo huwa ni maigizo?
 
To cut the story short, mother ni zero brain! Mods na nyie msinipige ban! Msema kweli mpenzi wa Mungu. Sijui kwa nini Magu hakukomaa kumchafua Mwinyi kama running mate! Ametuletea kadhia kwenye nchi yetu!
Wewe kichaa unatakiwa kufungiwa maana ni aibu kuacha vichaa aina yako kuendelea kutumia jukwaa hili
 
Mama kalijambia taifa, kaongea pumba mwanzo mwisho
 


Itabidi azungumze tena na waandishi kutoa maelezo na kusawazisha hii kauli yake.

Haina afya ki roho wala kimwili kwa taifa.



Kisiasa sishangai maana kuna mtu alishafananishwa na Yesu.
 
Huyu mama amewahi kuwa makamu mwenyekiti wa bunge la katiba. Kama anadhani katiba siyo muhimu, alifata nini huko?. Au alifuata posho tu?

Aliapa kulinda na kutetea katiba, iliyopo kwa mujibu wa sheria, kama katiba siyo muhimu aliapa kuilinda na kuitetea ya nini?.

Kwa hiyo anatuona sisi sooote tulioshiriki kutoa maoni ya katiba mpya mwaka 2012/13 hatuna akili?

Huyu mama katudharau sana, yaani katuonyesha dharau ya kufa mtu.

Anazungumza jambo zito kama katiba kwa hoja dhaifu zisizo na mashiko kabisa. Yaani nimemshusha vibaya sana.

Hafai, hafai hata kulumangia!
 
"Kijitabu tu"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…