Prof Griff
JF-Expert Member
- Aug 29, 2008
- 6,772
- 5,258
Kwahiyo CCM leo hii ndiyo wanataka kupitia huyo mama wa nyumbani eti "elimu ya katiba" ianze kutolewa tena kwa miaka mitatu, kabla ya yoyote?. Kwanini siyo miaka ya nyuma, wakati Serikali na wenye madaraka ni CCM tokea uhuru? Nilipokuwa O-level enzi hizo miaka ya 80 nakumbuka wakati wa kipindi cha Siasa, katiba iliyokuwa kwenye mtaala ni ile ya CCM na siyo ya JMT.