Rais Samia naomba umfariji Tundu Lissu

Mungu ambariki na kumlinda lissu
Chadema ina vilaza watupu kabisa hawawezi kubadilisha chochote kuanzia Mbowe ni kilaza na katili namba moja dikteta hatari kabisa kuwahi kutokea Lema naye kwanza ana nn hata hajasoma mnyika naye zero tu its a failed CHADEMA Lichama limekufa vibaya hili kwa tamaa za kipumbavu
 
yaani Rais aache kushughulika na mambo ya msingi aanze kushughulika na huya kichaa wa ubeligiji apambane na hali yake
Kujitambulisha hadharani kuwa ni juha inataka uwe na moyo mgumu sana.
Nakupongeza sana kwa hilo
 
Kwa hiyo huko alipo anatangatanga tu.Yaan wamfariji cheo.Huu nao ni uzi kweli.
Hata kuambiwa pole na Rais wako ni kitu kikubwa, lakini aliumia akiwa kazini pia.
 
Vyama vingi vipo kwa mujibu wa katiba. Tulikubali vyama vingi kwa shinikizo LA wazungu na Nyerere. Ndio maana hata Rais Nzasa alisema walihakikisha kuwa vyama haviungani kuitoa ccm. Hivyo serikali haitaki vyama vingi tangu siku ya kwanza. Mimi sishangai wewe kutamka hivyo, ni mwendelezo tu wa walichokianzisha tangu siku ya kwanza wanaruhusu vyuo vingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…