Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
- Thread starter
- #141
Hili sina uhakika boss,Vipi ana weledi katika sekta nzima ya ulambaji wa asali?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili sina uhakika boss,Vipi ana weledi katika sekta nzima ya ulambaji wa asali?
Zamani mlikua mnasubiri tu bila kuomba?Zamani enzi zetu ilikua ni ajabu sana kuona mtu anaomba apewe cheo. Lakini enzi hizi za walamba asali watu wamekosa haya wanajitokeza waziwazi kuomba wapewe teuzi. Serikali na chama mnakwama wapi?
Weka CV yake vizuri, hiyo ya Linkedn uliyoweka haifunguki, kama CV ni compitent, watu wanaweza wakamfikiria hata kwa fursa zingine, sio lazima ukuu wa wilaya tu.Zamani mlikua mnasubiri tu bila kuomba?
Aaa boss umejaliwa hekima ya kipekee sana, kwanza hongera kwa comment chanya. Sawa boss ngoja niweke.Weka CV yake vizuri, hiyo ya Linkedn uliyoweka haifunguki, kama CV ni compitent, watu wanaweza wakamfikiria hata kwa fursa zingine, sio lazima ukuu wa wilaya tu.
Uongozi wa umma haufanyiwi kampeni kama hizi. Hii ni dosari kubwa sana! Tuache mamlaka ya uteuzi ifanye kazi na wewe mleta hoja na unayemwombea kila mtu atimize wajibu wake hapo alipo.🙏🙏🙏Kwako mama yetu Samia Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Natumai umzima wa afya njema na unaendelea na shughuli zako za kiofisi.
Mama, ndugu yetu Elia Wilinasi ni kijana safi mwenye weledi na mzalendo anayetamani kukitumikia chama cha mapinduzi katika ngazi za juu na taifa kwa ujumla.
Alichukua fomu ya kugombea ujumbe wa hamshauri kuu ya CCM taifa kama karata yake ya kwanza kulitumikia taifa lake.
Safari hii anasubiria mkeka wa ukuu wa wilaya kwa hamu, bado anatamani kulitumikia taifa katika ngazi ya ukuu wa wilaya.
Ahsante sana.
Kazi iendelee
Ni kweli boss wanguUongozi wa umma haufanyiwi kampeni kama hizi. Hii ni dosari kubwa sana! Tuache mamlaka ya uteuzi ifanye kazi na wewe mleta hoja na unayemwombea kila mtu atimize wajibu wake hapo alipo.🙏🙏🙏
Kuna nafasi za kuomba kuchaguliwa na wanachama na kuna za kuteuliwa baada ya mamlaka kujiridhisha na sifa za mteuliwaji. Chaajabu siku hizi tunashindwa kuelewa nafasi za uteuzi ni zipi na za kuomba ridhaa ya kuchaguliwa ni zipi mfano wewe unaeomba kuteuliwa kuwa DC.Zamani mlikua mnasubiri tu bila kuomba?
Ni kweli boss, lakini boss kuna ubaya gani mtanzania mwenzetu kujinyenyekeza kwa kiongozi wake.Kuna nafasi za kuomba kuchaguliwa na wanachama na kuna za kuteuliwa baada ya mamlaka kujiridhisha na sifa za mteuliwaji. Chaajabu siku hizi tunashindwa kuelewa nafasi za uteuzi ni zipi na za kuomba ridhaa ya kuchaguliwa ni zipi mfano wewe unaeomba kuteuliwa kuwa DC.
Hakuna ubaya lakini kujiridhisha na dhamira yake ndio kazi.Ni kweli boss, lakini boss kuna ubaya gani mtanzania mwenzetu kujinyenyekeza kwa kiongozi wake.
Ni kweli bossHakuna ubaya lakini kujiridhisha na dhamira yake ndio kazi.
Kwa kweli😀😀😀😀😀😀😀😀😀Hicho ndicho kipimo cha maturity boss na ukomavu wa kisiasa.
Nakumbuka zamani wakati najiunga jamii forum. Ilikua nikisoma comment kama hizo napanic. Lakini baada ya kupata uzoefu nikaanza kuona nazo ni comment za kawaida tu zinazotakiwa kupokelewa na kufanyiwa kazi.Kwa kweli
Kabisa,na huo ndo ukomavu kisiasa...u take nega and posiNakumbuka zamani wakati najiunga jamii forum. Ilikua nikisoma comment kama hizo napanic. Lakini baada ya kupata uzoefu nikaanza kuona nazo ni comment za kawaida tu zinazotakiwa kupokelewa na kufanyiwa kazi.
KabisaKabisa,na huo ndo ukomavu kisiasa...u take nega and posi
Kwanini boss, ili abakie kukaa kufanya kazi moja ofisini? Unajua mkuu wa wilaya anasimamia mambo mengi sana. Nadhani hicho nicho anachokitafuta boss.Kwanini asitafutiwe sehemu za TPDC na TANESCO?
Elia Wilinasi (born 25 December 1991) is a Tanzanian with more interest in politics. he was the petroleum engineering researcher 2019 to 2022 at China University of Geosciences, China. He also served as the Natural Gas Process Engineer at Tanzania Petroleum Development Corporation, TPDC, At Madimba natural gas processing plant. from 2019–2022. In 2014 and 2015 he served as a Petroleum Inspector and Petroleum Quality Control and Assurance Officer at Intertek Testing Services Ltd, Dar es Salaam, Tanzania.Weka CV yake vizuri, hiyo ya Linkedn uliyoweka haifunguki, kama CV ni compitent, watu wanaweza wakamfikiria hata kwa fursa zingine, sio lazima ukuu wa wilaya tu.
Jana wakati majina ya teuzi yanatoka uliangalia mara ngapi?Kabisa,na huo ndo ukomavu kisiasa...u take nega and posi
Sawa, CV ni nzuri. Akiwa anasubiria wenye chama wampe teuzi, aendelee na fani yake ya uhandisi. Naamini watamuona!Elia Wilinasi (born 25 December 1991) is a Tanzanian with more interest in politics. he was the petroleum engineering researcher 2019 to 2022 at China University of Geosciences, China. He also served as the Natural Gas Process Engineer at Tanzania Petroleum Development Corporation, TPDC, At Madimba natural gas processing plant. from 2019–2022. In 2014 and 2015 he served as a Petroleum Inspector and Petroleum Quality Control and Assurance Officer at Intertek Testing Services Ltd, Dar es Salaam, Tanzania.
His political interests started when he was class five in 2005 during that period, Elia joined his mother to campaign for parliamentary candidates. His mother always wanted her son to be a politician. His mother started serving the party, CCM 2000. She served the party as chairperson, member and campaign manager of various parliamentary candidates in her territory until December 18, 2015 when she died in a car accident. Elia's mother was buried with CCM flags as an honor she earned for serving the party with great diligence and professionalism throughout her life. 2017 Elia decided to put an interest in politics in order to honor her mother in action as a reward for the work she did for the CCM party.
Education
Between 2000 and 2006 Elia attended Igamba Primary School in Songwe Region. After Primary, Elia attended Igamba Secondary School for his O-level, which took place between 2007 and 2010. Then he moved to Iringa Region studied at the Ifunda Technical High School for his advanced level education taking PCM combination. He graduated from the University of Dar es Salaam in 2017 with a degree in Petroleum (Oil and Gas) Engineering. In 2019 Elia was awarded a scholarship by Tanzania Ministry of Energy and Chinese Government to study Master's of Engineering in Oil and Natural Gas Engineering in China. He graduated from China University of Geosciences in 2022 with a degree in Oil and Natural Gas Engineering.
Elia has written several research papers including A study on the optimization of natural gas production system constraints to extend the plateau rate of Conceptual gasfield, Using Material Balance to Design an Artificial Neural Network Machine Learning Regression Model for Predicting Performance of Tangawizi Dry Gas Reservoir in Tanzania’s Block 2 Offshore Field, Design of a MATLAB kerogen classification toolbox (MKCT) for the characterization of hydrocarbon source rocks in the MATLAB software programming language environment and
Using black oil modeling to build a conceptual hydrocarbon reservoir model for comparing the oil production performance of vertical and horizontal wells
Elia has attended several international conferences, exhibitions and national training. In Dec 2021 he attended 3rd edition on Small Scale LNG (ssLNG) and Storage in Oil and Gas in India by Indian Infrastructure.
In Nov 2021 he attended Tanzania Uganda Oil and Gas Symposium (TUOG), Enhancing Private Sector by Tanzania Ministry of
Energy/Uganda Ministry of Energy and Mineral Development.
In Nov 2021 he attended Earth Energy Environment Conference by Marietta College, Ohio, USA. In May 2012 he attended Architectural Designs by International Symposium on Computer Architecture (ISCA).
In Dec 2020 attended Training Programme for Engineering Science and Technology Development by International Knowledge
Centre for Engineering Sciences and Technology (IKCEST). In Feb 2021 attended Refinery and Petrochemical Training by Petroleum Engineers Association (PEA) in India.
In Feb 2021 he attended Dynamic Reservoir Simulation Modelling using Software Training by PEA in India. In
Oct 2016 he attended 4th Tanzania Oil and Gas Conference and Exhibitions (TOGaCE) by MEM, TPDC, EWURA AND OTHER
Petroleum Companies.
Feb 2016 Elia attended One Subsea Oil and Gas Workshop by One Subsea. In FEB 2015 Elia attended Oil and gas Workshop by Statoil. In
Oct 2014 3rd Elia attended Tanzania Oil and Gas Conference and Exhibitions (TOGaCE) by MEM, TPDC, EWURA AND OTHER Petroleum Companies. In Jul-Sep 2013 Elia attended 50 Years of Nation-Building Army (JKT) “Jul-Sept 13” 821KJ in response to the law by JESHI LA KUJENGA TAIFA (JKT) 821KJ Bulombora, Kigoma
Ni kweli boss,Sawa, CV ni nzuri. Akiwa anasubiria wenye chama wampe teuzi, aendelee na fani yake ya uhandisi. Naamini watamuona!