Rais Samia: Naona aibu kuwachukulia hatua viongozi Walionizidi Umri

Asalam,

Msiopenda utaratibu wa mimi kufuatilia na kusoma kwa makini hotuba za Rais wangu Mpendwa mtanisamehe.
M
Anajifanya kukwepa lawama hasa Kwa wakubwa wenzie na marafiki.

Kiufupi sio powa kabisa
 
Asalam,

Msiopenda utaratibu wa mimi kufuatilia na kusoma kwa makini hotuba za Rais wangu Mpendwa mtanisamehe.
Mwaka 2021 Fatma Karume (Shangazi wa Taifa ) aliandika andiko moja muhimu sana juu ya namna ya kumfahamu vema Rais wetu, naomba kumnukuu "Ukitaka kumwelewa Rais Samia na Hotuba Zake sikiliza anapoongea yale ambayo hayako katika hotuba rasmi anayoisoma, msikilize yale anayotupia katikati ya hotuba lakini nje ya yaliyoandikwa"

Tokea hapo nimekuwa makini sana kumsikiliza Rais kila ninapopata muda ajiwa mubashara na kama sina muda basi naitafuta recorded na maandishi. Huwa ninapita pia katika vyanzo mbali mbali kujaribu kuelewa alichosema, hasa kama sikumsikiliza mubashara.

Leo Asbh nimeamka na kupitia hotuba na maongezi ya Rais akiwa Arusha kwenye kikao cha wakuu wa mashirika ya Umma na Wenyeviti wa Bodi wa Mashirika husika. Kwa ujumla Mh. Rais ameongea mambo mazuri sana, amekemea sana matumizi mabaya ya mali za Umma katika mashirika ya Umma. Lkn katika hotuba na maongezi yake mengi, kuna kipengelee kimenigusa, anasema

"NAONA (nawaonea) AIBU KUWACHUKULIA HATUA WALIONIZIDI UMRI"

Ktika maongezi hayo wanaonekana Wazee wengi wastaafu wakifurahi na kutabasamu.

Sasa, Maongezi haya ya Rais dhidi ya wanaotapanya mali za umma yanatuweka katika muktadha gani dhidi ya mapambano ya Rushwa, Uongozi Bora, Uzalishaji na nidhamu katika kusimamia maendeleo ya Taifa.

Je, kama Rais anaona AIBU, anawatazama na kuwaacha TAKUKURU, POLISI, WATAWAWEZA KWELI HAWA?

Kesho nitapitia hotuba zake nyingine. Asalam
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Asalam,

Msiopenda utaratibu wa mimi kufuatilia na kusoma kwa makini hotuba za Rais wangu Mpendwa mtanisamehe.
Mwaka 2021 Fatma Karume (Shangazi wa Taifa ) aliandika andiko moja muhimu sana juu ya namna ya kumfahamu vema Rais wetu, naomba kumnukuu "Ukitaka kumwelewa Rais Samia na Hotuba Zake sikiliza anapoongea yale ambayo hayako katika hotuba rasmi anayoisoma, msikilize yale anayotupia katikati ya hotuba lakini nje ya yaliyoandikwa"

Tokea hapo nimekuwa makini sana kumsikiliza Rais kila ninapopata muda ajiwa mubashara na kama sina muda basi naitafuta recorded na maandishi. Huwa ninapita pia katika vyanzo mbali mbali kujaribu kuelewa alichosema, hasa kama sikumsikiliza mubashara.

Leo Asbh nimeamka na kupitia hotuba na maongezi ya Rais akiwa Arusha kwenye kikao cha wakuu wa mashirika ya Umma na Wenyeviti wa Bodi wa Mashirika husika. Kwa ujumla Mh. Rais ameongea mambo mazuri sana, amekemea sana matumizi mabaya ya mali za Umma katika mashirika ya Umma. Lkn katika hotuba na maongezi yake mengi, kuna kipengelee kimenigusa, anasema

"NAONA (nawaonea) AIBU KUWACHUKULIA HATUA WALIONIZIDI UMRI"

Ktika maongezi hayo wanaonekana Wazee wengi wastaafu wakifurahi na kutabasamu.

Sasa, Maongezi haya ya Rais dhidi ya wanaotapanya mali za umma yanatuweka katika muktadha gani dhidi ya mapambano ya Rushwa, Uongozi Bora, Uzalishaji na nidhamu katika kusimamia maendeleo ya Taifa.

Je, kama Rais anaona AIBU, anawatazama na kuwaacha TAKUKURU, POLISI, WATAWAWEZA KWELI HAWA?

Kesho nitapitia hotuba zake nyingine. Asalam
Asipochukulia hatua hao watu haoni kama pesa na rasilimali za watanzania zinapotea bure?
 
Anayewachukulia hatua ni Samia au Rais! Urais ni taasisi haina umri! Basi aache kuwaapisha kumtii anaowateua.
17/3/2021 Tulipoteza mara 2.
Tulipoteza aliyeenda zake, tukapoteza na aliyekuja zake
 
Asalam,

Msiopenda utaratibu wa mimi kufuatilia na kusoma kwa makini hotuba za Rais wangu Mpendwa mtanisamehe.
Mwaka 2021 Fatma Karume (Shangazi wa Taifa ) aliandika andiko moja muhimu sana juu ya namna ya kumfahamu vema Rais wetu, naomba kumnukuu "Ukitaka kumwelewa Rais Samia na Hotuba Zake sikiliza anapoongea yale ambayo hayako katika hotuba rasmi anayoisoma, msikilize yale anayotupia katikati ya hotuba lakini nje ya yaliyoandikwa"

Tokea hapo nimekuwa makini sana kumsikiliza Rais kila ninapopata muda ajiwa mubashara na kama sina muda basi naitafuta recorded na maandishi. Huwa ninapita pia katika vyanzo mbali mbali kujaribu kuelewa alichosema, hasa kama sikumsikiliza mubashara.

Leo Asbh nimeamka na kupitia hotuba na maongezi ya Rais akiwa Arusha kwenye kikao cha wakuu wa mashirika ya Umma na Wenyeviti wa Bodi wa Mashirika husika. Kwa ujumla Mh. Rais ameongea mambo mazuri sana, amekemea sana matumizi mabaya ya mali za Umma katika mashirika ya Umma. Lkn katika hotuba na maongezi yake mengi, kuna kipengelee kimenigusa, anasema

"NAONA (nawaonea) AIBU KUWACHUKULIA HATUA WALIONIZIDI UMRI"

Ktika maongezi hayo wanaonekana Wazee wengi wastaafu wakifurahi na kutabasamu.

Sasa, Maongezi haya ya Rais dhidi ya wanaotapanya mali za umma yanatuweka katika muktadha gani dhidi ya mapambano ya Rushwa, Uongozi Bora, Uzalishaji na nidhamu katika kusimamia maendeleo ya Taifa.

Je, kama Rais anaona AIBU, anawatazama na kuwaacha TAKUKURU, POLISI, WATAWAWEZA KWELI HAWA?

Kesho nitapitia hotuba zake nyingine. Asalam
Sasa uliona wapi nyani akamhukumu Ngedere?!
 
Hapa Rais hatuna. Samia kwa sasa ana miaka 70 halafu anatuambia eti kuna viongozi wanamzidi umri (70+). Kwani alilazimishwa kuwateua hao wazee wenzake mbona taifa hili lina vijana wengi tu? Aache kutupotezea muda ilhali suala la DPW halijapata ufumbuzi. Hii nchi ya kijinga sana.
Ana 63 pekeyake
 
Asalam,

Msiopenda utaratibu wa mimi kufuatilia na kusoma kwa makini hotuba za Rais wangu Mpendwa mtanisamehe.
Mwaka 2021 Fatma Karume (Shangazi wa Taifa ) aliandika andiko moja muhimu sana juu ya namna ya kumfahamu vema Rais wetu, naomba kumnukuu "Ukitaka kumwelewa Rais Samia na Hotuba Zake sikiliza anapoongea yale ambayo hayako katika hotuba rasmi anayoisoma, msikilize yale anayotupia katikati ya hotuba lakini nje ya yaliyoandikwa"

Tokea hapo nimekuwa makini sana kumsikiliza Rais kila ninapopata muda ajiwa mubashara na kama sina muda basi naitafuta recorded na maandishi. Huwa ninapita pia katika vyanzo mbali mbali kujaribu kuelewa alichosema, hasa kama sikumsikiliza mubashara.

Leo Asbh nimeamka na kupitia hotuba na maongezi ya Rais akiwa Arusha kwenye kikao cha wakuu wa mashirika ya Umma na Wenyeviti wa Bodi wa Mashirika husika. Kwa ujumla Mh. Rais ameongea mambo mazuri sana, amekemea sana matumizi mabaya ya mali za Umma katika mashirika ya Umma. Lkn katika hotuba na maongezi yake mengi, kuna kipengelee kimenigusa, anasema

"NAONA (nawaonea) AIBU KUWACHUKULIA HATUA WALIONIZIDI UMRI"

Ktika maongezi hayo wanaonekana Wazee wengi wastaafu wakifurahi na kutabasamu.

Sasa, Maongezi haya ya Rais dhidi ya wanaotapanya mali za umma yanatuweka katika muktadha gani dhidi ya mapambano ya Rushwa, Uongozi Bora, Uzalishaji na nidhamu katika kusimamia maendeleo ya Taifa.

Je, kama Rais anaona AIBU, anawatazama na kuwaacha TAKUKURU, POLISI, WATAWAWEZA KWELI HAWA?

Kesho nitapitia hotuba zake nyingine. Asalam
Kunamwengine aliona AIBU kwa Tanzania kutokuwa na ndege ivyo a akanunua nunua kwa cash ilikuondoa aibu
 
Hamna kitu hapo! Ukiwa Rais kinachoangaliwa sio umri nani kakuzidi na nani umemzidi. Ukiwa 35yrs ukamtumbua mtu wa 55yrs hatsemi mtoto amemtumbua mzee ila Rais wa nchi amemtumbua.
 
Back
Top Bottom