Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
Propaganda zote zilizofanywa na vyama vya upinzani toka 2008 enzi za Lowasa, mpaka 2020 enzi za Magufuli hazikuzaa matunda yoyote kwenye nchi hii zaidi ya kuwatia aibu tu waeneza propaganda hao. Angalia watu waliofanya propaganda zaidi ya miaka kumi walivyoambulia aibu ktk mikutano yao. Ila ww endelea tu ili watoto wako waende chooni mkuu, hata hilo bando la buku utalotumiwa kwa siku sio dogo.Dec 25 tena saa 4 asubuhi!
Ebu rudi kule kwenye uzi wakoXafi xana.
Mnaanzisha maneno ya majungu na umbeya. Leo ni tarehe 25 saa sita kasoro dakika tatu,mnasemaje kuwa Rais apigiwe kelele!.Nimeamini hawa Viongozi husoma jf kwa hakika.
Rais Samia kwa mfano baada ya kupigiwa kelele humu kwa kutotoa salamu za kheri ya Noel katika kurasa zake za mitandao ya kijamii hatmaye kama dakika 30 zilizopita amewatakiwa Noel njema Watanzania jambo ambalo ni zuri na ni utamaduni uliozoeleka tokea enzi kufanywa na Viongozi wetu.
Kaxi iendelee.Haya ndiyo mambo xaxa
Hahaaaaaaa
Kama muda huo alikuwa anafanya shughuli za kutafuta pesa kwa ajili ya Tanzania?. Acheni nongwa za kipumbavu.Bado amechemka. Angalau hata angesema jana muda wowote hata asubuhi jana,mchana,jioni au usiku wa kabla ya saa 6 jana
Acha vurugu mkuu leo kirithimathiEbu rudi kule kwenye uzi wako
[emoji1787][emoji1787][emoji2936]Acha vurugu mkuu leo kirithimathi
Kama hakuna cha kuandika muwe mnatulia tu sio kuandika upuuzi kama huu.Ungekuwa na hizo akili angalau ungelitambua kuandika kwa mpangilio sahihi
Huyo ni Rais wa nchi anayo majukumu mengi mno usifikiri anakuwa amekaa tu akisubiri muda ufike ili azitume hizo salam. Anayo mengi ya kufanya kama wewe huna majukumu usidhani yeye hana.Hatulilii salamu bali tunamkumbusha aendelee kuiga utamaduni ulioasisiwa na watangulizi wake ili kuepuka hizo sintofahamu.
Mfano Noel ilianza jana jioni ajabu yeye anakuja kutoa salamu saa 4 asubuhi leo tena baada ya watu kuhoji!
Na wewe pia!Kiinglish pia kinawatakia heri ya krimas๐๐๐
View attachment 2056712
Yani hapa nimelalia upaja wa mtoto mzuri halafu unaniambia uzi wangu!! Uzi gani..?[emoji1787][emoji1787][emoji2936]
Ni jambo jema wote tukiwa kitu kimojaNimeamini hawa Viongozi husoma jf kwa hakika.
Rais Samia kwa mfano baada ya kupigiwa kelele humu kwa kutotoa salamu za kheri ya Noel katika kurasa zake za mitandao ya kijamii hatmaye kama dakika 30 zilizopita amewatakiwa Noel njema Watanzania jambo ambalo ni zuri na ni utamaduni uliozoeleka tokea enzi kufanywa na Viongozi wetu.
Uzi wa chumviYani hapa nimelalia upaja wa mtoto mzuri halafu unaniambia uzi wangu!! Uzi gani..?
Nipo na bapa la konyagi nasubiri pilau na hichi kimwana kinavyonikonyeza aisee,punguza maugomvi mkuu.
Kweli kabixchaKaxi iendelee.
Ile chumvi ndo nailambalamba sahivi.. mkuu chukua jibapa usheherekee mi nasheherekea coz Kuna mtu kaninong'oneza kuwa mimi ni anko yake na kirithimathi..๐Uzi wa chumvi
Kula vinono
Wakati wako huu