Rais Samia: Nawatakia Heri ya Christmas na Mwaka Mpya Watanzania wote, nawaomba 2022 tuzidi kuwa Wamoja

Rais Samia: Nawatakia Heri ya Christmas na Mwaka Mpya Watanzania wote, nawaomba 2022 tuzidi kuwa Wamoja

Dec 25 tena saa 4 asubuhi!
Propaganda zote zilizofanywa na vyama vya upinzani toka 2008 enzi za Lowasa, mpaka 2020 enzi za Magufuli hazikuzaa matunda yoyote kwenye nchi hii zaidi ya kuwatia aibu tu waeneza propaganda hao. Angalia watu waliofanya propaganda zaidi ya miaka kumi walivyoambulia aibu ktk mikutano yao. Ila ww endelea tu ili watoto wako waende chooni mkuu, hata hilo bando la buku utalotumiwa kwa siku sio dogo.

images (14).jpeg

images (13).jpeg

images (8).jpeg
 
Rais wa JMT mh Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za Heri ya Krismas na Mwaka Mpya 2022 kwa Watanzania wote.

Rais Samia amewaomba wananchi wazidi kuwa wamoja huku wakijituma kwa kufanya kaxi kwa weledi, nidhamu na uzalendo katika mwaka 2022 ili tuxidi kujilete maendeleo.

Rais Samia ametuma salamu hizu kupitia ukurasa wake wa twitter.

Mungu wa mbinguni azidi kumbariki Rais Samia!
 
Nimeamini hawa Viongozi husoma jf kwa hakika.

Rais Samia kwa mfano baada ya kupigiwa kelele humu kwa kutotoa salamu za kheri ya Noel katika kurasa zake za mitandao ya kijamii hatmaye kama dakika 30 zilizopita amewatakiwa Noel njema Watanzania jambo ambalo ni zuri na ni utamaduni uliozoeleka tokea enzi kufanywa na Viongozi wetu.
Mnaanzisha maneno ya majungu na umbeya. Leo ni tarehe 25 saa sita kasoro dakika tatu,mnasemaje kuwa Rais apigiwe kelele!.

Such a stupid statement.
 
Bado amechemka. Angalau hata angesema jana muda wowote hata asubuhi jana,mchana,jioni au usiku wa kabla ya saa 6 jana
Kama muda huo alikuwa anafanya shughuli za kutafuta pesa kwa ajili ya Tanzania?. Acheni nongwa za kipumbavu.
 
Hatulilii salamu bali tunamkumbusha aendelee kuiga utamaduni ulioasisiwa na watangulizi wake ili kuepuka hizo sintofahamu.

Mfano Noel ilianza jana jioni ajabu yeye anakuja kutoa salamu saa 4 asubuhi leo tena baada ya watu kuhoji!
Huyo ni Rais wa nchi anayo majukumu mengi mno usifikiri anakuwa amekaa tu akisubiri muda ufike ili azitume hizo salam. Anayo mengi ya kufanya kama wewe huna majukumu usidhani yeye hana.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji2936]
Yani hapa nimelalia upaja wa mtoto mzuri halafu unaniambia uzi wangu!! Uzi gani..?
Nipo na bapa la konyagi nasubiri pilau na hichi kimwana kinavyonikonyeza aisee,punguza maugomvi mkuu.
 
Nimeamini hawa Viongozi husoma jf kwa hakika.

Rais Samia kwa mfano baada ya kupigiwa kelele humu kwa kutotoa salamu za kheri ya Noel katika kurasa zake za mitandao ya kijamii hatmaye kama dakika 30 zilizopita amewatakiwa Noel njema Watanzania jambo ambalo ni zuri na ni utamaduni uliozoeleka tokea enzi kufanywa na Viongozi wetu.
Ni jambo jema wote tukiwa kitu kimoja
 
Yani hapa nimelalia upaja wa mtoto mzuri halafu unaniambia uzi wangu!! Uzi gani..?
Nipo na bapa la konyagi nasubiri pilau na hichi kimwana kinavyonikonyeza aisee,punguza maugomvi mkuu.
Uzi wa chumvi

Kula vinono

Wakati wako huu
 
Uzi wa chumvi

Kula vinono

Wakati wako huu
Ile chumvi ndo nailambalamba sahivi.. mkuu chukua jibapa usheherekee mi nasheherekea coz Kuna mtu kaninong'oneza kuwa mimi ni anko yake na kirithimathi..😁
 
Back
Top Bottom