Rais Samia: Nazunguka Ulimwengu Mzima Kutafuta Fedha Kuwawezesha wanawake Wa Afrika Wapate Nishati Bora ya Kupikia

Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu mpendwa amesema ya kuwa ajenda ya nishati bora ya kupikia ni ajenda ya Afrika na ni ajenda ambayo ameianzisha yeye na yeye ndio champion katika kuchochea ajenda hiyo. Amesema ya kuwa anazunguka Ulimwenguni kwote kutafuta fedha kwa ajili ya kuwawezesha wanawake wa Afrika kupata nishati safi na bora ya kupikia.

Amesema ndio sababu hapa Nyumbani Tanzania serikali imefanya kazi kubwa sana katika suala zima la usambazaji wa umeme mpaka vijijini na kushuka kwenye vitongoji,ili kuhakikisha kuwa umeme unafika haraka haraka.

Amesema kuwa lengo ni kuachana na matumizi ya nishati ya kuni ambayo imeathiri mabibi zetu na Mama zetu kutokana na matumizi yake.lakini pia matumizi ya kuni yameathiri sana na kuchochea mabadiliko ya tabia ya nchi kutokana na ukataji wa miti kwa ajili ya kuni za kupikia.

Rai yangu kwa watanzania ni kuendelea kumuunga mkono Mheshimiwa Rais katika jitihada zake za kuhakikisha kuwa tunahamia katika matumizi ya nishati safi ya kupikia badala ya kutumia kuni na mkaa kupikia vitu ambavyo vimekuwa vikisababisha uteketezaji wa maelfu kwa maelfu ya miti kila Mwaka, na hivyo kuharibu mazingira na uoto wa asili.

Lakini pia kwa upande wa serikali ningependa kuishauri kuwa ifanye jitihada kubwa za kuhakikisha kuwa nishati hizi safi na bora kwa ajili ya kupikia ,yaani umeme na gas vinapatikana kwa bei nzuri na ya chini ambayo hata mwananchi wa kule Isalalo wilayani Mbozi Mkoani Songwe ataweza kumudu gharama zake. Mfano kama mtungi mdogo ukajazwa kwa shilingi Elfu kumi au elfu 15 itavutia na kuwashawishi watu wengi sana kutumia nishati ya gas katika kupikia.

Kwa sababu ikiwa bei ya kujaza mitungi ya gas itakuwa juu,maana yake ni kuwa mwamko wa watu kutumia nishati safi kupikia nao utakuwa mdogo , hususani kwa watu wa vipato vya chini.na hivyo kukwamisha juhudi na ndoto za Mheshimiwa Rais kuona Taifa na wananchi wanatumia nishati safi na bora kupikia . Vile vile bei ya umeme kwa unit nayo ikipungua na kushuka maana yake watu watavutika wenyewe kutumia katika kupikia pasipo hata kutumia nguvu.

Kikubwa ni kuweka mazingira ambayo yatawashawishi na kuwahamasisha watu kutumia nishati safi badala ya kuni na mkaa. Na vishawishi hivyo ni kupunguza bei ya nishati hizi ambazo ni umeme na gas .bei iwe ni ile ambayo wengi watamudu kununua na kugharamia.

Kwa sababu hata ikitokea serikali ikawagawia watanzania wote mitungi ya gas bure kabisa nakuwajazia gas ya kuanzia .lakini bei ya kujaza mitungi hiyo ikawa juu bado utaona watanzania wengi wakirejea katika matumizi ya kuni na mkaa baada ya kuisha kwa gas ile ya bure waliyokuwa wamejaziwa awali. Hii ni kutokana na kushindwa kumudu gharama za kujaza mitungi ya gas tena au kununua umeme na kuutumia kupikia.View attachment 3074836

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

😂 😂 Change your strategy kijana

Unaona wenzako wanaongea mambo ya kawaida kabisa but mpaka Rais anawaita ikulu

Hahaha ww kazi yako ni kukesha hapa na copy and paste zako for nothing

Unapata matusiiiiiiiii weeee for nothing

Badilika kijana

Umemuona Doto magari Leo? Haha

Wala hatumiii nguvu nyingi
 
Shahawa nyingine heri zingemwagwa nje tu
 
Bata wa wapi hao? Rais wetu mpendwa anafanya kazi kubwa sana .ndio maana unaona kila kitu kinaenda vizuri hapa nchini pasipo kukwama wala kusuasua .ukiona wawekezaji watalii wanamiminika na kufurika hapa nchini lazma ufahamu ni kazi ya mama hiyo.
Kilimanjaro Ngorongoro nk simali ya Znz😥😥
 
Naona mama yetu huenda amechanganyikiwa vibaya.
Tanzania tangu lini tumekuwa na uhaba wa nishati bora ya kupikia?
Tuna bwawa la Nyerere lenye kuzalisha umeme wa kupitiliza, tuna gesi ya Mtwara, tuna gesi asilia, tuna jua, tuna upepo, makaa ya mawe nk.
Mama anataka nishati gani tena? Anataka nyuklia?
 
Anazunguka yeye baada yakuzungusha bidhaa zetu zitupe hizo pesa
 
Nani alimpa hilo jukumu la kuzunguka duniani kuomba omba nishati kwa niaba ya Afrika nzima?
Hiyo mizunguko yake ya kuzunguka duniani imewasaidia nini wanawake wa Kenya, Uganda, Rwanda, Somalia, Eritrea, Ethiopia, Nigeria, Ghana, Misri nk?
 
Anatumia pesa za umma hovyo tofauti na kwao Zanzibar
Acha ujinga dogo.bwawa la mwalimu Nyerere pamoja na SGR ambavyo amevikamilisha vizuri vipo ni wapi? Vipo Bara au visiwani? Mahospitali anayo jenga kila wilaya na mkoa vipo wapo? Shule za sekondari zinazojengwa kila sehemu vipo ni wapi? Acha mawazo ya kibaguzi na kijinga
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu mpendwa amesema ya kuwa ajenda ya nishati bora ya kupikia ni ajenda ya Afrika na ni ajenda ambayo ameianzisha yeye na yeye ndio champion katika kuchochea ajenda hiyo. Amesema ya kuwa anazunguka Ulimwenguni kwote kutafuta fedha kwa ajili ya kuwawezesha wanawake wa Afrika kupata nishati safi na bora ya kupikia.

Amesema ndio sababu hapa Nyumbani Tanzania serikali imefanya kazi kubwa sana katika suala zima la usambazaji wa umeme mpaka vijijini na kushuka kwenye vitongoji,ili kuhakikisha kuwa umeme unafika haraka haraka.

Amesema kuwa lengo ni kuachana na matumizi ya nishati ya kuni ambayo imeathiri mabibi zetu na Mama zetu kutokana na matumizi yake.lakini pia matumizi ya kuni yameathiri sana na kuchochea mabadiliko ya tabia ya nchi kutokana na ukataji wa miti kwa ajili ya kuni za kupikia.

Rai yangu kwa watanzania ni kuendelea kumuunga mkono Mheshimiwa Rais katika jitihada zake za kuhakikisha kuwa tunahamia katika matumizi ya nishati safi ya kupikia badala ya kutumia kuni na mkaa kupikia vitu ambavyo vimekuwa vikisababisha uteketezaji wa maelfu kwa maelfu ya miti kila Mwaka, na hivyo kuharibu mazingira na uoto wa asili.

Lakini pia kwa upande wa serikali ningependa kuishauri kuwa ifanye jitihada kubwa za kuhakikisha kuwa nishati hizi safi na bora kwa ajili ya kupikia ,yaani umeme na gas vinapatikana kwa bei nzuri na ya chini ambayo hata mwananchi wa kule Isalalo wilayani Mbozi Mkoani Songwe ataweza kumudu gharama zake. Mfano kama mtungi mdogo ukajazwa kwa shilingi Elfu kumi au elfu 15 itavutia na kuwashawishi watu wengi sana kutumia nishati ya gas katika kupikia.

Kwa sababu ikiwa bei ya kujaza mitungi ya gas itakuwa juu,maana yake ni kuwa mwamko wa watu kutumia nishati safi kupikia nao utakuwa mdogo , hususani kwa watu wa vipato vya chini.na hivyo kukwamisha juhudi na ndoto za Mheshimiwa Rais kuona Taifa na wananchi wanatumia nishati safi na bora kupikia . Vile vile bei ya umeme kwa unit nayo ikipungua na kushuka maana yake watu watavutika wenyewe kutumia katika kupikia pasipo hata kutumia nguvu.

Kikubwa ni kuweka mazingira ambayo yatawashawishi na kuwahamasisha watu kutumia nishati safi badala ya kuni na mkaa. Na vishawishi hivyo ni kupunguza bei ya nishati hizi ambazo ni umeme na gas .bei iwe ni ile ambayo wengi watamudu kununua na kugharamia.

Kwa sababu hata ikitokea serikali ikawagawia watanzania wote mitungi ya gas bure kabisa nakuwajazia gas ya kuanzia .lakini bei ya kujaza mitungi hiyo ikawa juu bado utaona watanzania wengi wakirejea katika matumizi ya kuni na mkaa baada ya kuisha kwa gas ile ya bure waliyokuwa wamejaziwa awali. Hii ni kutokana na kushindwa kumudu gharama za kujaza mitungi ya gas tena au kununua umeme na kuutumia kupikia.View attachment 3074836

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Na ulivyo na mbichwa kama unakwepa panga,ukaamini?😂😂😂
 
Eti jamani Fedha inatafutwa kwa kuzunguka?😂😂

We zunguka siku utakuta mwana si wako.
 
Nani alimpa hilo jukumu la kuzunguka duniani kuomba omba nishati kwa niaba ya Afrika nzima?
Hiyo mizunguko yake ya kuzunguka duniani imewasaidia nini wanawake wa Kenya, Uganda, Rwanda, Somalia, Eritrea, Ethiopia, Nigeria, Ghana, Misri nk?
Huwezi ukaelewa kwa kuwa akili yako ipo ndani ya box
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu mpendwa amesema ya kuwa ajenda ya nishati bora ya kupikia ni ajenda ya Afrika na ni ajenda ambayo ameianzisha yeye na yeye ndio champion katika kuchochea ajenda hiyo. Amesema ya kuwa anazunguka Ulimwenguni kwote kutafuta fedha kwa ajili ya kuwawezesha wanawake wa Afrika kupata nishati safi na bora ya kupikia.

Amesema ndio sababu hapa Nyumbani Tanzania serikali imefanya kazi kubwa sana katika suala zima la usambazaji wa umeme mpaka vijijini na kushuka kwenye vitongoji,ili kuhakikisha kuwa umeme unafika haraka haraka.

Amesema kuwa lengo ni kuachana na matumizi ya nishati ya kuni ambayo imeathiri mabibi zetu na Mama zetu kutokana na matumizi yake.lakini pia matumizi ya kuni yameathiri sana na kuchochea mabadiliko ya tabia ya nchi kutokana na ukataji wa miti kwa ajili ya kuni za kupikia.

Rai yangu kwa watanzania ni kuendelea kumuunga mkono Mheshimiwa Rais katika jitihada zake za kuhakikisha kuwa tunahamia katika matumizi ya nishati safi ya kupikia badala ya kutumia kuni na mkaa kupikia vitu ambavyo vimekuwa vikisababisha uteketezaji wa maelfu kwa maelfu ya miti kila Mwaka, na hivyo kuharibu mazingira na uoto wa asili.

Lakini pia kwa upande wa serikali ningependa kuishauri kuwa ifanye jitihada kubwa za kuhakikisha kuwa nishati hizi safi na bora kwa ajili ya kupikia ,yaani umeme na gas vinapatikana kwa bei nzuri na ya chini ambayo hata mwananchi wa kule Isalalo wilayani Mbozi Mkoani Songwe ataweza kumudu gharama zake. Mfano kama mtungi mdogo ukajazwa kwa shilingi Elfu kumi au elfu 15 itavutia na kuwashawishi watu wengi sana kutumia nishati ya gas katika kupikia.

Kwa sababu ikiwa bei ya kujaza mitungi ya gas itakuwa juu,maana yake ni kuwa mwamko wa watu kutumia nishati safi kupikia nao utakuwa mdogo , hususani kwa watu wa vipato vya chini.na hivyo kukwamisha juhudi na ndoto za Mheshimiwa Rais kuona Taifa na wananchi wanatumia nishati safi na bora kupikia . Vile vile bei ya umeme kwa unit nayo ikipungua na kushuka maana yake watu watavutika wenyewe kutumia katika kupikia pasipo hata kutumia nguvu.

Kikubwa ni kuweka mazingira ambayo yatawashawishi na kuwahamasisha watu kutumia nishati safi badala ya kuni na mkaa. Na vishawishi hivyo ni kupunguza bei ya nishati hizi ambazo ni umeme na gas .bei iwe ni ile ambayo wengi watamudu kununua na kugharamia.

Kwa sababu hata ikitokea serikali ikawagawia watanzania wote mitungi ya gas bure kabisa nakuwajazia gas ya kuanzia .lakini bei ya kujaza mitungi hiyo ikawa juu bado utaona watanzania wengi wakirejea katika matumizi ya kuni na mkaa baada ya kuisha kwa gas ile ya bure waliyokuwa wamejaziwa awali. Hii ni kutokana na kushindwa kumudu gharama za kujaza mitungi ya gas tena au kununua umeme na kuutumia kupikia.View attachment 3074836

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Umesahau kuweka namba Yako ya simu
 
Back
Top Bottom