Rais Samia Nchimbi atakutesa sana. Kwanini usitumie mamlaka yako kama Mwenyekiti wa chama?

Preciousvision

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2026
Posts
888
Reaction score
1,205
Emanuel Nchimbi hana utii wala adabu kwa mh. Rais wa JMT, kwamba alishindwa hata kusema maneno machache kumpongeza mh. Rais kwa makubwa aliyoyafanya kufanikisha huo mradi mkubwa sana? Kweli?

Km siyo Samia huyo mradi ungepigwa chini maana aliukuta 30% tu? Na Magu alishaharibu uhusiano na wenye pesa. Huyu Nchimbi Magu kumpa ubalozi hakutaka kuwa karibu naye, Samia ndiyo alimrudisha nchini na akampa ukatibu mkuu wa CCM, nafasi kubwa sana ktk nchi hii.

Akiwa katibu mkuu alikuwa mtiifu sana mpaka mama akaona wacha afanye kazi naye km msaidizi wake mkuu, nafasi ambayo pengine km siyo Samia asingeweza kuipata asilani.

Baada ya kuapishwa Emma alibadilika sana, kwanza alijiona yeye ni mkatoliki zaidi kuliko kuwa mtanzania, mkatoliki? Yaani mfuasi wa Roma? Kuliko kuwa mtanzania?

Akaanza ku-collude ma maaskofu wa kanisa katoliki kumhujumu Rais wetu Samia, kujifanya anajua sana wakati Nchimbi uwezo wako tunaujua pale Mzumbe alibebwa sana na wahadhiri. Masters yake na PhD aliandikiwa iko siku nitawataja kwa majina wako pale School of Public Administration.

Mh. Rais Nchimbi ni adui yako na atakusumbua sana, kitendo cha leo kushindwa kusema chochote ni makasiriko, chuki, hujuma dhidi yako.

Kwani mh. Rais ni lazima uwe naye ktk shughuli zako? Mbn Uhuru Kenyatta alimtenga Ruto na kumnyanganya ulinzi?

Mh. Samia uwe na wivu na urais wako, wahuni wasikuchezee, Nchimbi alazimishwe na chama ajiuzulu, km hataki tumia nguvu yako kwamba huwezi kuendelea kufanya naye kazi. Vinginevyo historia itakuhukumu na watakuja kukutukana kwamba ulikuwa Rais dhaifu sana! HATA MWAKA HAUJAISHA HIYO MIAKA 4 MTAIMALIZAJE? Basi km vp jiuzulu wewe Samia! Kimsingi waliokushauri walikuingiza kingi, makamu wa Rais bora kutokea ni Dr. Philip Mpango msomi wa uhakika, mnyenyekevu, mwenye utumishi uliotukuka, Nchimbi ana rekodi gani nchi hii? Mi mkatoliki kwenye hizi jumuiya zetu za kila Jumamosi asubuhi sala zao ufe Nchimbi awe Rais, kimsingi walishakuzushia kifo miezi ya Januari na Februari mwaka huu kuna kipindi ulikuwa kimya sana! We ni Mkuu wa nchi, kiongozi mkuu wa serikali na Amiri jeshi mkuu acha kuwa mnyonge!
 
duh, yaani mtu aliyefanya mradi from 0 to 30% i.e kuanzia kupambana na watu wa mazingira dunia nzima wakiwemo wa ndani pia walioupinga mradi na vitisho vingi, kufanya upembuzi yakinifu, kutafuta mjenzi na kukubaliana kwa mikataba, fedha, logistics za kufikisha vifaa site mpaka kuanza kujenga msingi kufikisha 30% anadharauliwa halafu aliyeukuta mradi umefikia 30% na kuendeleza vile vile anasifiwa? kweli wewe inaelekea hata nyumba haujawahhi kujenga isitoshe umesema E.Nchimbi (PhD) alibebwa chuoni (ambapo ni serious accusations) labda pia ungeweka hapa cv ya raisi samia ili tuilinganishe elimu zao ...
 
Emanuel Nchimbi hana utii wala adabu kwa mh. Rais wa JMT, kwamba alishindwa hata kusema maneno machache kumpongeza mh. Rais kwa makubwa aliyoyafanya kufanikisha huo mradi mkubwa sana? Kweli? Km siyo Samia huyo mradi ungepigwa chini maana aliukuta 30? Na Magu alishaharibu uhusiano na wenye pesa. Huyu Nchimbi Magu kumpa ubalozi hakutaka kuwa karibu naye, Samia ndiyo alimrudisha nchini na akampa ukatibu mkuu wa CCM, nafasi kubwa sana ktk nchi hii.
Akiwa katibu mkuu alikuwa mtiifu sana mpaka mama akaona wacha afanye kazi naye km msaidizi wake mkuu, nafasi ambayo pengine km siyo Samia asingeweza kuipata asilani.
Baada ya kuapishwa Emma alibadilika sana, kwanza alijiona yeye ni mkatoliki zaidi kuliko kuwa mtanzania, mkatoliki? Yaani mfuasi wa Roma? Kuliko kuwa mtanzania? Akaanza ku-collude ma maaskofu wa kanisa katoliki kumhujumu Rais wetu Samia, kujifanya anajua sana wakati Nchimbi uwezo wako tunaujua pale Mzumbe ulibebwa sana na wahadhiri.
Mh. Rais Nchimbi ni adui yako na atakusumbua sana, kitendo cha leo kushindwa kusema chochote ni makasiriko, chuki, hujuma dhidi yako.
Kwani mh. Rais ni lazima uwe naye ktk shughuli zako? Mbn Uhuru Kenyatta alimtenga Ruto na kumnyanganya ulinzi? Na Ruto baadaye akamwondoa makamu wake baada ya kuona anamhujumu wazi×2. We Samia ni dhaifu kiasi hicho? Kwamba huwezi kutumia madaraka yako? Hata mwaka haujaisha mtafikaje 2030?
Mh. Samia uwe na wivi na urais wako, wahuni wasikuchezee, Nchimbi alazimishwe na chama ajiuzulu, km hataki tumia nguvu yako kwamba huwezi kuendelea kufanya naye kazi. Vinginevyo historia itakuhumu na watakuja kukutukana kwamba ulikuwa Rais dhaifu sana!
Chawa bana, sasa Nchimbi amsifie rais kwani ni mradi wa mshahara wake?
 
duh, yaani mtu aliyefanya mradi from 0 to 30% i.e kufanya upembuzi yakinifu, kutafuta mjenzi na kukubaliana kwa mikataba, fedha, logistics ya kufikisha vifaa site, kuanza kujenga msingi mpaka 30% anadharauliwa halafu aliyeukuta mradi umefikia 30% na kuendeleza vile vile anasifiwa? kweli wewe inaelekea hata nyumba haujawahhi kujenga isitoshe umesema E.Nchimbi (PhD) alibebwa chuoni (ambapo ni serious accusations) labda pia ungeweka hapa cv ya raisi samia ili tuilinganishe elimu zao ...
Hahahahaahahaah daaaaha
 
Sio afya kaka sizani kama una Nia njema mana hoja Yako imekaa kiuchonganishi sana, nchimbi ni makamu na mama ni rais kila mtu ana nafasi yake, siasa za KUKARIRI kila mtu amsifu mama ndo zilipelekea kulitumia jina la mama vibaya naye aliliona Hilo akalikataa, unaenda kuhamisha machinga sehemu unasema agizo katoa mama na si kweli hii mbaya mnamjengea chuki na wanancho wake jina lake litumike vizuri, yani Leo hii kila kitu mama mama mama, mnaharibu uko ukibanwa unasema umetumwa na mama masikini ye hana hata taarifa, tujitafakari
 
Emanuel Nchimbi hana utii wala adabu kwa mh. Rais wa JMT, kwamba alishindwa hata kusema maneno machache kumpongeza mh. Rais kwa makubwa aliyoyafanya kufanikisha huo mradi mkubwa sana? Kweli? Km siyo Samia huyo mradi ungepigwa chini maana aliukuta 30? Na Magu alishaharibu uhusiano na wenye pesa. Huyu Nchimbi Magu kumpa ubalozi hakutaka kuwa karibu naye, Samia ndiyo alimrudisha nchini na akampa ukatibu mkuu wa CCM, nafasi kubwa sana ktk nchi hii.
Akiwa katibu mkuu alikuwa mtiifu sana mpaka mama akaona wacha afanye kazi naye km msaidizi wake mkuu, nafasi ambayo pengine km siyo Samia asingeweza kuipata asilani.
Baada ya kuapishwa Emma alibadilika sana, kwanza alijiona yeye ni mkatoliki zaidi kuliko kuwa mtanzania, mkatoliki? Yaani mfuasi wa Roma? Kuliko kuwa mtanzania? Akaanza ku-collude ma maaskofu wa kanisa katoliki kumhujumu Rais wetu Samia, kujifanya anajua sana wakati Nchimbi uwezo wako tunaujua pale Mzumbe ulibebwa sana na wahadhiri.
Mh. Rais Nchimbi ni adui yako na atakusumbua sana, kitendo cha leo kushindwa kusema chochote ni makasiriko, chuki, hujuma dhidi yako.
Kwani mh. Rais ni lazima uwe naye ktk shughuli zako? Mbn Uhuru Kenyatta alimtenga Ruto na kumnyanganya ulinzi? Na Ruto baadaye akamwondoa makamu wake baada ya kuona anamhujumu wazi×2. We Samia ni dhaifu kiasi hicho? Kwamba huwezi kutumia madaraka yako? Hata mwaka haujaisha mtafikaje 2030?
Mh. Samia uwe na wivi na urais wako, wahuni wasikuchezee, Nchimbi alazimishwe na chama ajiuzulu, km hataki tumia nguvu yako kwamba huwezi kuendelea kufanya naye kazi. Vinginevyo historia itakuhumu na watakuja kukutukana kwamba ulikuwa Rais dhaifu sana!
Bado hujasema😂
 
Ndio maana machawa mnadharaulika sana, ni kama mmetolewa ubongo mkawekewa Kinyesi cha nguruwe
 
Emanuel Nchimbi hana utii wala adabu kwa mh. Rais wa JMT, kwamba alishindwa hata kusema maneno machache kumpongeza mh. Rais kwa makubwa aliyoyafanya kufanikisha huo mradi mkubwa sana? Kweli?

Km siyo Samia huyo mradi ungepigwa chini maana aliukuta 30? Na Magu alishaharibu uhusiano na wenye pesa. Huyu Nchimbi Magu kumpa ubalozi hakutaka kuwa karibu naye, Samia ndiyo alimrudisha nchini na akampa ukatibu mkuu wa CCM, nafasi kubwa sana ktk nchi hii.

Akiwa katibu mkuu alikuwa mtiifu sana mpaka mama akaona wacha afanye kazi naye km msaidizi wake mkuu, nafasi ambayo pengine km siyo Samia asingeweza kuipata asilani.

Baada ya kuapishwa Emma alibadilika sana, kwanza alijiona yeye ni mkatoliki zaidi kuliko kuwa mtanzania, mkatoliki? Yaani mfuasi wa Roma? Kuliko kuwa mtanzania?

Akaanza ku-collude ma maaskofu wa kanisa katoliki kumhujumu Rais wetu Samia, kujifanya anajua sana wakati Nchimbi uwezo wako tunaujua pale Mzumbe ulibebwa sana na wahadhiri.

Mh. Rais Nchimbi ni adui yako na atakusumbua sana, kitendo cha leo kushindwa kusema chochote ni makasiriko, chuki, hujuma dhidi yako.

Kwani mh. Rais ni lazima uwe naye ktk shughuli zako? Mbn Uhuru Kenyatta alimtenga Ruto na kumnyanganya ulinzi?

Mh. Samia uwe na wivu na urais wako, wahuni wasikuchezee, Nchimbi alazimishwe na chama ajiuzulu, km hataki tumia nguvu yako kwamba huwezi kuendelea kufanya naye kazi. Vinginevyo historia itakuhumu na watakuja kukutukana kwamba ulikuwa Rais dhaifu sana!
 
Attachments

  • 1000020485.jpg
    1000020485.jpg
    12.1 KB · Views: 12

Angekuwa mwepesi wangesha mterminate kitambo sana,nchimbi sio Baba levo
 
duh, yaani mtu aliyefanya mradi from 0 to 30% i.e kuanzia kupambana na watu wa mazingira dunia nzima wakiwemo wa ndani pia walioupinga mradi na vitisho vingi, kufanya upembuzi yakinifu, kutafuta mjenzi na kukubaliana kwa mikataba, fedha, logistics za kufikisha vifaa site mpaka kuanza kujenga msingi kufikisha 30% anadharauliwa halafu aliyeukuta mradi umefikia 30% na kuendeleza vile vile anasifiwa? kweli wewe inaelekea hata nyumba haujawahhi kujenga isitoshe umesema E.Nchimbi (PhD) alibebwa chuoni (ambapo ni serious accusations) labda pia ungeweka hapa cv ya raisi samia ili tuilinganishe elimu zao ...
✍️✍️
 
Emanuel Nchimbi hana utii wala adabu kwa mh. Rais wa JMT, kwamba alishindwa hata kusema maneno machache kumpongeza mh. Rais kwa makubwa aliyoyafanya kufanikisha huo mradi mkubwa sana? Kweli?

Km siyo Samia huyo mradi ungepigwa chini maana aliukuta 30? Na Magu alishaharibu uhusiano na wenye pesa. Huyu Nchimbi Magu kumpa ubalozi hakutaka kuwa karibu naye, Samia ndiyo alimrudisha nchini na akampa ukatibu mkuu wa CCM, nafasi kubwa sana ktk nchi hii.

Akiwa katibu mkuu alikuwa mtiifu sana mpaka mama akaona wacha afanye kazi naye km msaidizi wake mkuu, nafasi ambayo pengine km siyo Samia asingeweza kuipata asilani.

Baada ya kuapishwa Emma alibadilika sana, kwanza alijiona yeye ni mkatoliki zaidi kuliko kuwa mtanzania, mkatoliki? Yaani mfuasi wa Roma? Kuliko kuwa mtanzania?

Akaanza ku-collude ma maaskofu wa kanisa katoliki kumhujumu Rais wetu Samia, kujifanya anajua sana wakati Nchimbi uwezo wako tunaujua pale Mzumbe ulibebwa sana na wahadhiri.

Mh. Rais Nchimbi ni adui yako na atakusumbua sana, kitendo cha leo kushindwa kusema chochote ni makasiriko, chuki, hujuma dhidi yako.

Kwani mh. Rais ni lazima uwe naye ktk shughuli zako? Mbn Uhuru Kenyatta alimtenga Ruto na kumnyanganya ulinzi?

Mh. Samia uwe na wivu na urais wako, wahuni wasikuchezee, Nchimbi alazimishwe na chama ajiuzulu, km hataki tumia nguvu yako kwamba huwezi kuendelea kufanya naye kazi. Vinginevyo historia itakuhumu na watakuja kukutukana kwamba ulikuwa Rais dhaifu sana!
Kwanza unatakiwa kuelewa Nchimbi ni Mtanganyika.

Huyo unayemsifia RAIA kutoka nchi nyingine ambayo wewe Mmatumbi huna ruksa ya kumiliki ardhi wala kuchagua hata balozi wa nyumba 10.
 
Back
Top Bottom