binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 16,966
- 47,296
Mna tabia mbovu nyie watu.
Sana yaani. Ntawashikisha adabu.Mna tabia mbovu nyie watu.
Ila hujasema kwa Watanzania Hali IPO je!Emanuel Nchimbi hana utii wala adabu kwa mh. Rais wa JMT, kwamba alishindwa hata kusema maneno machache kumpongeza mh. Rais kwa makubwa aliyoyafanya kufanikisha huo mradi mkubwa sana? Kweli?
Km siyo Samia huyo mradi ungepigwa chini maana aliukuta 30? Na Magu alishaharibu uhusiano na wenye pesa. Huyu Nchimbi Magu kumpa ubalozi hakutaka kuwa karibu naye, Samia ndiyo alimrudisha nchini na akampa ukatibu mkuu wa CCM, nafasi kubwa sana ktk nchi hii.
Akiwa katibu mkuu alikuwa mtiifu sana mpaka mama akaona wacha afanye kazi naye km msaidizi wake mkuu, nafasi ambayo pengine km siyo Samia asingeweza kuipata asilani.
Baada ya kuapishwa Emma alibadilika sana, kwanza alijiona yeye ni mkatoliki zaidi kuliko kuwa mtanzania, mkatoliki? Yaani mfuasi wa Roma? Kuliko kuwa mtanzania?
Akaanza ku-collude ma maaskofu wa kanisa katoliki kumhujumu Rais wetu Samia, kujifanya anajua sana wakati Nchimbi uwezo wako tunaujua pale Mzumbe ulibebwa sana na wahadhiri.
Mh. Rais Nchimbi ni adui yako na atakusumbua sana, kitendo cha leo kushindwa kusema chochote ni makasiriko, chuki, hujuma dhidi yako.
Kwani mh. Rais ni lazima uwe naye ktk shughuli zako? Mbn Uhuru Kenyatta alimtenga Ruto na kumnyanganya ulinzi?
Mh. Samia uwe na wivu na urais wako, wahuni wasikuchezee, Nchimbi alazimishwe na chama ajiuzulu, km hataki tumia nguvu yako kwamba huwezi kuendelea kufanya naye kazi. Vinginevyo historia itakuhumu na watakuja kukutukana kwamba ulikuwa Rais dhaifu sana!
huyu ruto alivyotebgwa badae nini kilitokea? sasahivi ni nani?Emanuel Nchimbi hana utii wala adabu kwa mh. Rais wa JMT, kwamba alishindwa hata kusema maneno machache kumpongeza mh. Rais kwa makubwa aliyoyafanya kufanikisha huo mradi mkubwa sana? Kweli?
Km siyo Samia huyo mradi ungepigwa chini maana aliukuta 30? Na Magu alishaharibu uhusiano na wenye pesa. Huyu Nchimbi Magu kumpa ubalozi hakutaka kuwa karibu naye, Samia ndiyo alimrudisha nchini na akampa ukatibu mkuu wa CCM, nafasi kubwa sana ktk nchi hii.
Akiwa katibu mkuu alikuwa mtiifu sana mpaka mama akaona wacha afanye kazi naye km msaidizi wake mkuu, nafasi ambayo pengine km siyo Samia asingeweza kuipata asilani.
Baada ya kuapishwa Emma alibadilika sana, kwanza alijiona yeye ni mkatoliki zaidi kuliko kuwa mtanzania, mkatoliki? Yaani mfuasi wa Roma? Kuliko kuwa mtanzania?
Akaanza ku-collude ma maaskofu wa kanisa katoliki kumhujumu Rais wetu Samia, kujifanya anajua sana wakati Nchimbi uwezo wako tunaujua pale Mzumbe ulibebwa sana na wahadhiri.
Mh. Rais Nchimbi ni adui yako na atakusumbua sana, kitendo cha leo kushindwa kusema chochote ni makasiriko, chuki, hujuma dhidi yako.
Kwani mh. Rais ni lazima uwe naye ktk shughuli zako? Mbn Uhuru Kenyatta alimtenga Ruto na kumnyanganya ulinzi?
Mh. Samia uwe na wivu na urais wako, wahuni wasikuchezee, Nchimbi alazimishwe na chama ajiuzulu, km hataki tumia nguvu yako kwamba huwezi kuendelea kufanya naye kazi. Vinginevyo historia itakuhumu na watakuja kukutukana kwamba ulikuwa Rais dhaifu sana!
Utii wa nini wakati ipo wazi kajipachika pale , huwezi ongoza watu wako wakati wanajua umepata nafasi kwa ku forceUchawa uliotukuka. Mambo ya bibi anaupiga mwingi ndio yanaoiharibu hii nchi.
Machadema ni mbwa kabisa ndiyo walikuwa front katika kupinga mradi huu kenge sana hawa watu,si wenzetu katika kuitengeneza Tanzania imara.duh, yaani mtu aliyefanya mradi from 0 to 30% i.e kuanzia kupambana na watu wa mazingira dunia nzima wakiwemo wa ndani pia walioupinga mradi na vitisho vingi, kufanya upembuzi yakinifu, kutafuta mjenzi na kukubaliana kwa mikataba, fedha, logistics za kufikisha vifaa site mpaka kuanza kujenga msingi kufikisha 30% anadharauliwa halafu aliyeukuta mradi umefikia 30% na kuendeleza vile vile anasifiwa? kweli wewe inaelekea hata nyumba haujawahhi kujenga isitoshe umesema E.Nchimbi (PhD) alibebwa chuoni (ambapo ni serious accusations) labda pia ungeweka hapa cv ya raisi samia ili tuilinganishe elimu zao ...
Emanuel Nchimbi hana utii wala adabu kwa mh. Rais wa JMT, kwamba alishindwa hata kusema maneno machache kumpongeza mh. Rais kwa makubwa aliyoyafanya kufanikisha huo mradi mkubwa sana? Kweli?
Km siyo Samia huyo mradi ungepigwa chini maana aliukuta 30? Na Magu alishaharibu uhusiano na wenye pesa. Huyu Nchimbi Magu kumpa ubalozi hakutaka kuwa karibu naye, Samia ndiyo alimrudisha nchini na akampa ukatibu mkuu wa CCM, nafasi kubwa sana ktk nchi hii.
Akiwa katibu mkuu alikuwa mtiifu sana mpaka mama akaona wacha afanye kazi naye km msaidizi wake mkuu, nafasi ambayo pengine km siyo Samia asingeweza kuipata asilani.
Baada ya kuapishwa Emma alibadilika sana, kwanza alijiona yeye ni mkatoliki zaidi kuliko kuwa mtanzania, mkatoliki? Yaani mfuasi wa Roma? Kuliko kuwa mtanzania?
Akaanza ku-collude ma maaskofu wa kanisa katoliki kumhujumu Rais wetu Samia, kujifanya anajua sana wakati Nchimbi uwezo wako tunaujua pale Mzumbe ulibebwa sana na wahadhiri.
Mh. Rais Nchimbi ni adui yako na atakusumbua sana, kitendo cha leo kushindwa kusema chochote ni makasiriko, chuki, hujuma dhidi yako.
Kwani mh. Rais ni lazima uwe naye ktk shughuli zako? Mbn Uhuru Kenyatta alimtenga Ruto na kumnyanganya ulinzi?
Mh. Samia uwe na wivu na urais wako, wahuni wasikuchezee, Nchimbi alazimishwe na chama ajiuzulu, km hataki tumia nguvu yako kwamba huwezi kuendelea kufanya naye kazi. Vinginevyo historia itakuhumu na watakuja kukutukana kwamba ulikuwa Rais dhaifu sana!
Emanuel Nchimbi hana utii wala adabu kwa mh. Rais wa JMT, kwamba alishindwa hata kusema maneno machache kumpongeza mh. Rais kwa makubwa aliyoyafanya kufanikisha huo mradi mkubwa sana? Kweli?
Km siyo Samia huyo mradi ungepigwa chini maana aliukuta 30? Na Magu alishaharibu uhusiano na wenye pesa. Huyu Nchimbi Magu kumpa ubalozi hakutaka kuwa karibu naye, Samia ndiyo alimrudisha nchini na akampa ukatibu mkuu wa CCM, nafasi kubwa sana ktk nchi hii.
Akiwa katibu mkuu alikuwa mtiifu sana mpaka mama akaona wacha afanye kazi naye km msaidizi wake mkuu, nafasi ambayo pengine km siyo Samia asingeweza kuipata asilani.
Baada ya kuapishwa Emma alibadilika sana, kwanza alijiona yeye ni mkatoliki zaidi kuliko kuwa mtanzania, mkatoliki? Yaani mfuasi wa Roma? Kuliko kuwa mtanzania?
Akaanza ku-collude ma maaskofu wa kanisa katoliki kumhujumu Rais wetu Samia, kujifanya anajua sana wakati Nchimbi uwezo wako tunaujua pale Mzumbe ulibebwa sana na wahadhiri.
Mh. Rais Nchimbi ni adui yako na atakusumbua sana, kitendo cha leo kushindwa kusema chochote ni makasiriko, chuki, hujuma dhidi yako.
Kwani mh. Rais ni lazima uwe naye ktk shughuli zako? Mbn Uhuru Kenyatta alimtenga Ruto na kumnyanganya ulinzi?
Mh. Samia uwe na wivu na urais wako, wahuni wasikuchezee, Nchimbi alazimishwe na chama ajiuzulu, km hataki tumia nguvu yako kwamba huwezi kuendelea kufanya naye kazi. Vinginevyo historia itakuhumu na watakuja kukutukana kwamba ulikuwa Rais dhaifu sana!
Hiyo jumuiya yako mtakuwa na matatizo ninyi wenyewe wala msihusishe mtu asiyehusikaMi mkatoliki kwenye hizi jumuiya zetu za kila Jumamosi asubuhi sala zao ufe Nchimbi awe Rais,
Nchimbi akibebwa chuoni Huyo mwenye elimu mbalimbali atafanyaje?Emanuel Nchimbi hana utii wala adabu kwa mh. Rais wa JMT, kwamba alishindwa hata kusema maneno machache kumpongeza mh. Rais kwa makubwa aliyoyafanya kufanikisha huo mradi mkubwa sana? Kweli?
Km siyo Samia huyo mradi ungepigwa chini maana aliukuta 30% tu? Na Magu alishaharibu uhusiano na wenye pesa. Huyu Nchimbi Magu kumpa ubalozi hakutaka kuwa karibu naye, Samia ndiyo alimrudisha nchini na akampa ukatibu mkuu wa CCM, nafasi kubwa sana ktk nchi hii.
Akiwa katibu mkuu alikuwa mtiifu sana mpaka mama akaona wacha afanye kazi naye km msaidizi wake mkuu, nafasi ambayo pengine km siyo Samia asingeweza kuipata asilani.
Baada ya kuapishwa Emma alibadilika sana, kwanza alijiona yeye ni mkatoliki zaidi kuliko kuwa mtanzania, mkatoliki? Yaani mfuasi wa Roma? Kuliko kuwa mtanzania?
Akaanza ku-collude ma maaskofu wa kanisa katoliki kumhujumu Rais wetu Samia, kujifanya anajua sana wakati Nchimbi uwezo wako tunaujua pale Mzumbe alibebwa sana na wahadhiri. Masters yake na PhD aliandikiwa iko siku nitawataja kwa majina wako pale School of Public Administration.
Mh. Rais Nchimbi ni adui yako na atakusumbua sana, kitendo cha leo kushindwa kusema chochote ni makasiriko, chuki, hujuma dhidi yako.
Kwani mh. Rais ni lazima uwe naye ktk shughuli zako? Mbn Uhuru Kenyatta alimtenga Ruto na kumnyanganya ulinzi?
Mh. Samia uwe na wivu na urais wako, wahuni wasikuchezee, Nchimbi alazimishwe na chama ajiuzulu, km hataki tumia nguvu yako kwamba huwezi kuendelea kufanya naye kazi. Vinginevyo historia itakuhukumu na watakuja kukutukana kwamba ulikuwa Rais dhaifu sana! HATA MWAKA HAUJAISHA HIYO MIAKA 4 MTAIMALIZAJE? Basi km vp jiuzulu wewe Samia! Kimsingi waliokushauri walikuingiza kingi, makamu wa Rais bora kutokea ni Dr. Philip Mpango msomi wa uhakika, mnyenyekevu, mwenye utumishi uliotukuka, Nchimbi ana rekodi gani nchi hii? Mi mkatoliki kwenye hizi jumuiya zetu za kila Jumamosi asubuhi sala zao ufe Nchimbi awe Rais, kimsingi walishakuzushia kifo miezi ya Januari na Februari mwaka huu kuna kipindi ulikuwa kimya sana! We ni Mkuu wa nchi, kiongozi mkuu wa serikali na Amiri jeshi mkuu acha kuwa mnyonge!

Tuko na Mtanganyika na Mkatoliki , Dr.(PhD) Halali , Dr. Emmanuel Nchimbi the successor kabla ya 2030Emanuel Nchimbi hana utii wala adabu kwa mh. Rais wa JMT, kwamba alishindwa hata kusema maneno machache kumpongeza mh. Rais kwa makubwa aliyoyafanya kufanikisha huo mradi mkubwa sana? Kweli?
Km siyo Samia huyo mradi ungepigwa chini maana aliukuta 30% tu? Na Magu alishaharibu uhusiano na wenye pesa. Huyu Nchimbi Magu kumpa ubalozi hakutaka kuwa karibu naye, Samia ndiyo alimrudisha nchini na akampa ukatibu mkuu wa CCM, nafasi kubwa sana ktk nchi hii.
Akiwa katibu mkuu alikuwa mtiifu sana mpaka mama akaona wacha afanye kazi naye km msaidizi wake mkuu, nafasi ambayo pengine km siyo Samia asingeweza kuipata asilani.
Baada ya kuapishwa Emma alibadilika sana, kwanza alijiona yeye ni mkatoliki zaidi kuliko kuwa mtanzania, mkatoliki? Yaani mfuasi wa Roma? Kuliko kuwa mtanzania?
Akaanza ku-collude ma maaskofu wa kanisa katoliki kumhujumu Rais wetu Samia, kujifanya anajua sana wakati Nchimbi uwezo wako tunaujua pale Mzumbe alibebwa sana na wahadhiri. Masters yake na PhD aliandikiwa iko siku nitawataja kwa majina wako pale School of Public Administration.
Mh. Rais Nchimbi ni adui yako na atakusumbua sana, kitendo cha leo kushindwa kusema chochote ni makasiriko, chuki, hujuma dhidi yako.
Kwani mh. Rais ni lazima uwe naye ktk shughuli zako? Mbn Uhuru Kenyatta alimtenga Ruto na kumnyanganya ulinzi?
Mh. Samia uwe na wivu na urais wako, wahuni wasikuchezee, Nchimbi alazimishwe na chama ajiuzulu, km hataki tumia nguvu yako kwamba huwezi kuendelea kufanya naye kazi. Vinginevyo historia itakuhukumu na watakuja kukutukana kwamba ulikuwa Rais dhaifu sana! HATA MWAKA HAUJAISHA HIYO MIAKA 4 MTAIMALIZAJE? Basi km vp jiuzulu wewe Samia! Kimsingi waliokushauri walikuingiza kingi, makamu wa Rais bora kutokea ni Dr. Philip Mpango msomi wa uhakika, mnyenyekevu, mwenye utumishi uliotukuka, Nchimbi ana rekodi gani nchi hii? Mi mkatoliki kwenye hizi jumuiya zetu za kila Jumamosi asubuhi sala zao ufe Nchimbi awe Rais, kimsingi walishakuzushia kifo miezi ya Januari na Februari mwaka huu kuna kipindi ulikuwa kimya sana! We ni Mkuu wa nchi, kiongozi mkuu wa serikali na Amiri jeshi mkuu acha kuwa mnyonge!
Uchawa utakuua kabla ya wakati.Emanuel Nchimbi hana utii wala adabu kwa mh. Rais wa JMT, kwamba alishindwa hata kusema maneno machache kumpongeza mh. Rais kwa makubwa aliyoyafanya kufanikisha huo mradi mkubwa sana? Kweli?
Km siyo Samia huyo mradi ungepigwa chini maana aliukuta 30% tu? Na Magu alishaharibu uhusiano na wenye pesa. Huyu Nchimbi Magu kumpa ubalozi hakutaka kuwa karibu naye, Samia ndiyo alimrudisha nchini na akampa ukatibu mkuu wa CCM, nafasi kubwa sana ktk nchi hii.
Akiwa katibu mkuu alikuwa mtiifu sana mpaka mama akaona wacha afanye kazi naye km msaidizi wake mkuu, nafasi ambayo pengine km siyo Samia asingeweza kuipata asilani.
Baada ya kuapishwa Emma alibadilika sana, kwanza alijiona yeye ni mkatoliki zaidi kuliko kuwa mtanzania, mkatoliki? Yaani mfuasi wa Roma? Kuliko kuwa mtanzania?
Akaanza ku-collude ma maaskofu wa kanisa katoliki kumhujumu Rais wetu Samia, kujifanya anajua sana wakati Nchimbi uwezo wako tunaujua pale Mzumbe alibebwa sana na wahadhiri. Masters yake na PhD aliandikiwa iko siku nitawataja kwa majina wako pale School of Public Administration.
Mh. Rais Nchimbi ni adui yako na atakusumbua sana, kitendo cha leo kushindwa kusema chochote ni makasiriko, chuki, hujuma dhidi yako.
Kwani mh. Rais ni lazima uwe naye ktk shughuli zako? Mbn Uhuru Kenyatta alimtenga Ruto na kumnyanganya ulinzi?
Mh. Samia uwe na wivu na urais wako, wahuni wasikuchezee, Nchimbi alazimishwe na chama ajiuzulu, km hataki tumia nguvu yako kwamba huwezi kuendelea kufanya naye kazi. Vinginevyo historia itakuhukumu na watakuja kukutukana kwamba ulikuwa Rais dhaifu sana! HATA MWAKA HAUJAISHA HIYO MIAKA 4 MTAIMALIZAJE? Basi km vp jiuzulu wewe Samia! Kimsingi waliokushauri walikuingiza kingi, makamu wa Rais bora kutokea ni Dr. Philip Mpango msomi wa uhakika, mnyenyekevu, mwenye utumishi uliotukuka, Nchimbi ana rekodi gani nchi hii? Mi mkatoliki kwenye hizi jumuiya zetu za kila Jumamosi asubuhi sala zao ufe Nchimbi awe Rais, kimsingi walishakuzushia kifo miezi ya Januari na Februari mwaka huu kuna kipindi ulikuwa kimya sana! We ni Mkuu wa nchi, kiongozi mkuu wa serikali na Amiri jeshi mkuu acha kuwa mnyonge!
Mamkwe siku hizi unapiga spana sana 😂Sana yaani. Ntawashikisha adabu.