Kumbe wote ni zao la Mzumbe! Huenda sifa zao chuoni ziko sawa kwa jinsi mambo yanavyoenda.Emanuel Nchimbi hana utii wala adabu kwa mh. Rais wa JMT, kwamba alishindwa hata kusema maneno machache kumpongeza mh. Rais kwa makubwa aliyoyafanya kufanikisha huo mradi mkubwa sana? Kweli?
Km siyo Samia huyo mradi ungepigwa chini maana aliukuta 30% tu? Na Magu alishaharibu uhusiano na wenye pesa. Huyu Nchimbi Magu kumpa ubalozi hakutaka kuwa karibu naye, Samia ndiyo alimrudisha nchini na akampa ukatibu mkuu wa CCM, nafasi kubwa sana ktk nchi hii.
Akiwa katibu mkuu alikuwa mtiifu sana mpaka mama akaona wacha afanye kazi naye km msaidizi wake mkuu, nafasi ambayo pengine km siyo Samia asingeweza kuipata asilani.
Baada ya kuapishwa Emma alibadilika sana, kwanza alijiona yeye ni mkatoliki zaidi kuliko kuwa mtanzania, mkatoliki? Yaani mfuasi wa Roma? Kuliko kuwa mtanzania?
Akaanza ku-collude ma maaskofu wa kanisa katoliki kumhujumu Rais wetu Samia, kujifanya anajua sana wakati Nchimbi uwezo wako tunaujua pale Mzumbe alibebwa sana na wahadhiri. Masters yake na PhD aliandikiwa iko siku nitawataja kwa majina wako pale School of Public Administration.
Mh. Rais Nchimbi ni adui yako na atakusumbua sana, kitendo cha leo kushindwa kusema chochote ni makasiriko, chuki, hujuma dhidi yako.
Kwani mh. Rais ni lazima uwe naye ktk shughuli zako? Mbn Uhuru Kenyatta alimtenga Ruto na kumnyanganya ulinzi?
Mh. Samia uwe na wivu na urais wako, wahuni wasikuchezee, Nchimbi alazimishwe na chama ajiuzulu, km hataki tumia nguvu yako kwamba huwezi kuendelea kufanya naye kazi. Vinginevyo historia itakuhukumu na watakuja kukutukana kwamba ulikuwa Rais dhaifu sana! HATA MWAKA HAUJAISHA HIYO MIAKA 4 MTAIMALIZAJE? Basi km vp jiuzulu wewe Samia! Kimsingi waliokushauri walikuingiza kingi, makamu wa Rais bora kutokea ni Dr. Philip Mpango msomi wa uhakika, mnyenyekevu, mwenye utumishi uliotukuka, Nchimbi ana rekodi gani nchi hii? Mi mkatoliki kwenye hizi jumuiya zetu za kila Jumamosi asubuhi sala zao ufe Nchimbi awe Rais, kimsingi walishakuzushia kifo miezi ya Januari na Februari mwaka huu kuna kipindi ulikuwa kimya sana! We ni Mkuu wa nchi, kiongozi mkuu wa serikali na Amiri jeshi mkuu acha kuwa mnyonge!
Nchimbi alikuwa mtiifu hadi 29/10/2025.Emanuel Nchimbi hana utii wala adabu kwa mh. Rais wa JMT, kwamba alishindwa hata kusema maneno machache kumpongeza mh. Rais kwa makubwa aliyoyafanya kufanikisha huo mradi mkubwa sana? Kweli?
Km siyo Samia huyo mradi ungepigwa chini maana aliukuta 30% tu? Na Magu alishaharibu uhusiano na wenye pesa. Huyu Nchimbi Magu kumpa ubalozi hakutaka kuwa karibu naye, Samia ndiyo alimrudisha nchini na akampa ukatibu mkuu wa CCM, nafasi kubwa sana ktk nchi hii.
Akiwa katibu mkuu alikuwa mtiifu sana mpaka mama akaona wacha afanye kazi naye km msaidizi wake mkuu, nafasi ambayo pengine km siyo Samia asingeweza kuipata asilani.
Baada ya kuapishwa Emma alibadilika sana, kwanza alijiona yeye ni mkatoliki zaidi kuliko kuwa mtanzania, mkatoliki? Yaani mfuasi wa Roma? Kuliko kuwa mtanzania?
Akaanza ku-collude ma maaskofu wa kanisa katoliki kumhujumu Rais wetu Samia, kujifanya anajua sana wakati Nchimbi uwezo wako tunaujua pale Mzumbe alibebwa sana na wahadhiri. Masters yake na PhD aliandikiwa iko siku nitawataja kwa majina wako pale School of Public Administration.
Mh. Rais Nchimbi ni adui yako na atakusumbua sana, kitendo cha leo kushindwa kusema chochote ni makasiriko, chuki, hujuma dhidi yako.
Kwani mh. Rais ni lazima uwe naye ktk shughuli zako? Mbn Uhuru Kenyatta alimtenga Ruto na kumnyanganya ulinzi?
Mh. Samia uwe na wivu na urais wako, wahuni wasikuchezee, Nchimbi alazimishwe na chama ajiuzulu, km hataki tumia nguvu yako kwamba huwezi kuendelea kufanya naye kazi. Vinginevyo historia itakuhukumu na watakuja kukutukana kwamba ulikuwa Rais dhaifu sana! HATA MWAKA HAUJAISHA HIYO MIAKA 4 MTAIMALIZAJE? Basi km vp jiuzulu wewe Samia! Kimsingi waliokushauri walikuingiza kingi, makamu wa Rais bora kutokea ni Dr. Philip Mpango msomi wa uhakika, mnyenyekevu, mwenye utumishi uliotukuka, Nchimbi ana rekodi gani nchi hii? Mi mkatoliki kwenye hizi jumuiya zetu za kila Jumamosi asubuhi sala zao ufe Nchimbi awe Rais, kimsingi walishakuzushia kifo miezi ya Januari na Februari mwaka huu kuna kipindi ulikuwa kimya sana! We ni Mkuu wa nchi, kiongozi mkuu wa serikali na Amiri jeshi mkuu acha kuwa mnyonge!
Mapambio kwani hapo ni kanisani ?Emanuel Nchimbi hana utii wala adabu kwa mh. Rais wa JMT, kwamba alishindwa hata kusema maneno machache kumpongeza mh. Rais kwa makubwa aliyoyafanya kufanikisha huo mradi mkubwa sana? Kweli?
Km siyo Samia huyo mradi ungepigwa chini maana aliukuta 30% tu? Na Magu alishaharibu uhusiano na wenye pesa. Huyu Nchimbi Magu kumpa ubalozi hakutaka kuwa karibu naye, Samia ndiyo alimrudisha nchini na akampa ukatibu mkuu wa CCM, nafasi kubwa sana ktk nchi hii.
Akiwa katibu mkuu alikuwa mtiifu sana mpaka mama akaona wacha afanye kazi naye km msaidizi wake mkuu, nafasi ambayo pengine km siyo Samia asingeweza kuipata asilani.
Baada ya kuapishwa Emma alibadilika sana, kwanza alijiona yeye ni mkatoliki zaidi kuliko kuwa mtanzania, mkatoliki? Yaani mfuasi wa Roma? Kuliko kuwa mtanzania?
Akaanza ku-collude ma maaskofu wa kanisa katoliki kumhujumu Rais wetu Samia, kujifanya anajua sana wakati Nchimbi uwezo wako tunaujua pale Mzumbe alibebwa sana na wahadhiri. Masters yake na PhD aliandikiwa iko siku nitawataja kwa majina wako pale School of Public Administration.
Mh. Rais Nchimbi ni adui yako na atakusumbua sana, kitendo cha leo kushindwa kusema chochote ni makasiriko, chuki, hujuma dhidi yako.
Kwani mh. Rais ni lazima uwe naye ktk shughuli zako? Mbn Uhuru Kenyatta alimtenga Ruto na kumnyanganya ulinzi?
Mh. Samia uwe na wivu na urais wako, wahuni wasikuchezee, Nchimbi alazimishwe na chama ajiuzulu, km hataki tumia nguvu yako kwamba huwezi kuendelea kufanya naye kazi. Vinginevyo historia itakuhukumu na watakuja kukutukana kwamba ulikuwa Rais dhaifu sana! HATA MWAKA HAUJAISHA HIYO MIAKA 4 MTAIMALIZAJE? Basi km vp jiuzulu wewe Samia! Kimsingi waliokushauri walikuingiza kingi, makamu wa Rais bora kutokea ni Dr. Philip Mpango msomi wa uhakika, mnyenyekevu, mwenye utumishi uliotukuka, Nchimbi ana rekodi gani nchi hii? Mi mkatoliki kwenye hizi jumuiya zetu za kila Jumamosi asubuhi sala zao ufe Nchimbi awe Rais, kimsingi walishakuzushia kifo miezi ya Januari na Februari mwaka huu kuna kipindi ulikuwa kimya sana! We ni Mkuu wa nchi, kiongozi mkuu wa serikali na Amiri jeshi mkuu acha kuwa mnyonge!
Huyo mleta mada hawezi kuwa mtanganyika.Kwanza unatakiwa kuelewa Nchimbi ni Mtanganyika.
Huyo unayemsifia RAIA kutoka nchi nyingine ambayo wewe Mmatumbi huna ruksa ya kumiliki ardhi wala kuchagua hata balozi wa nyumba 10.
Ramli chonganishi.Emanuel Nchimbi hana utii wala adabu kwa mh. Rais wa JMT, kwamba alishindwa hata kusema maneno machache kumpongeza mh. Rais kwa makubwa aliyoyafanya kufanikisha huo mradi mkubwa sana? Kweli?
Km siyo Samia huyo mradi ungepigwa chini maana aliukuta 30% tu? Na Magu alishaharibu uhusiano na wenye pesa. Huyu Nchimbi Magu kumpa ubalozi hakutaka kuwa karibu naye, Samia ndiyo alimrudisha nchini na akampa ukatibu mkuu wa CCM, nafasi kubwa sana ktk nchi hii.
Akiwa katibu mkuu alikuwa mtiifu sana mpaka mama akaona wacha afanye kazi naye km msaidizi wake mkuu, nafasi ambayo pengine km siyo Samia asingeweza kuipata asilani.
Baada ya kuapishwa Emma alibadilika sana, kwanza alijiona yeye ni mkatoliki zaidi kuliko kuwa mtanzania, mkatoliki? Yaani mfuasi wa Roma? Kuliko kuwa mtanzania?
Akaanza ku-collude ma maaskofu wa kanisa katoliki kumhujumu Rais wetu Samia, kujifanya anajua sana wakati Nchimbi uwezo wako tunaujua pale Mzumbe alibebwa sana na wahadhiri. Masters yake na PhD aliandikiwa iko siku nitawataja kwa majina wako pale School of Public Administration.
Mh. Rais Nchimbi ni adui yako na atakusumbua sana, kitendo cha leo kushindwa kusema chochote ni makasiriko, chuki, hujuma dhidi yako.
Kwani mh. Rais ni lazima uwe naye ktk shughuli zako? Mbn Uhuru Kenyatta alimtenga Ruto na kumnyanganya ulinzi?
Mh. Samia uwe na wivu na urais wako, wahuni wasikuchezee, Nchimbi alazimishwe na chama ajiuzulu, km hataki tumia nguvu yako kwamba huwezi kuendelea kufanya naye kazi. Vinginevyo historia itakuhukumu na watakuja kukutukana kwamba ulikuwa Rais dhaifu sana! HATA MWAKA HAUJAISHA HIYO MIAKA 4 MTAIMALIZAJE? Basi km vp jiuzulu wewe Samia! Kimsingi waliokushauri walikuingiza kingi, makamu wa Rais bora kutokea ni Dr. Philip Mpango msomi wa uhakika, mnyenyekevu, mwenye utumishi uliotukuka, Nchimbi ana rekodi gani nchi hii? Mi mkatoliki kwenye hizi jumuiya zetu za kila Jumamosi asubuhi sala zao ufe Nchimbi awe Rais, kimsingi walishakuzushia kifo miezi ya Januari na Februari mwaka huu kuna kipindi ulikuwa kimya sana! We ni Mkuu wa nchi, kiongozi mkuu wa serikali na Amiri jeshi mkuu acha kuwa mnyonge!
Njia rahisi ni ile aliyoizoea: "am-polepole" tu.Emanuel Nchimbi hana utii wala adabu kwa mh. Rais wa JMT, kwamba alishindwa hata kusema maneno machache kumpongeza mh. Rais kwa makubwa aliyoyafanya kufanikisha huo mradi mkubwa sana? Kweli?