Rais Samia Nchimbi atakutesa sana. Kwanini usitumie mamlaka yako kama Mwenyekiti wa chama?

Ila hujasema kwa Watanzania Hali IPO je!
 
huyu ruto alivyotebgwa badae nini kilitokea? sasahivi ni nani?
 
Machadema ni mbwa kabisa ndiyo walikuwa front katika kupinga mradi huu kenge sana hawa watu,si wenzetu katika kuitengeneza Tanzania imara.
 

Machawa mna matatizo kweli kweli.

Pia mjue kwa kadri 2030 inavyokaribia na ndivyo Maza anavyopungukiwa nguvu. Yaani kila siku nguvu zake zinapungua taratibu...

Amuulize ni jinsi gani maCCM walivyomfanyia JK kwenye uteuzi wa mgombea 2015. Na hapo alikuwa na bahati Mkapa alikuwepo.
 
 
Nchimbi akibebwa chuoni Huyo mwenye elimu mbalimbali atafanyaje?
 

Kama sio JPM huu mradi usingekuwepo....tunalazoimisha sana kusema uongo. Miradi ya kufanya ipo mingi. Tuanzishe na kuchukua sifa zake.

JPM ni JPM hata alikolala...Bulldozer
 
Tuko na Mtanganyika na Mkatoliki , Dr.(PhD) Halali , Dr. Emmanuel Nchimbi the successor kabla ya 2030
 
Uchawa utakuua kabla ya wakati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…