Rais Samia Nchimbi atakutesa sana. Kwanini usitumie mamlaka yako kama Mwenyekiti wa chama?

Kumbe wote ni zao la Mzumbe! Huenda sifa zao chuoni ziko sawa kwa jinsi mambo yanavyoenda.
 
Nchimbi alikuwa mtiifu hadi 29/10/2025.

Hujui na yeye kapoteza ndugu wangapi katika kadhia hiyo. Ana utu na hisia kama binadamu wengine.
 
Mapambio kwani hapo ni kanisani ?
 
Kama unaponda Elimu ya Nchimbi vipi boss wa Nchimbi?
 
Unataka tu watu wamchambe samia...unatekenya wananchi wenye hasira kali
 
Kwanza unatakiwa kuelewa Nchimbi ni Mtanganyika.

Huyo unayemsifia RAIA kutoka nchi nyingine ambayo wewe Mmatumbi huna ruksa ya kumiliki ardhi wala kuchagua hata balozi wa nyumba 10.
Huyo mleta mada hawezi kuwa mtanganyika.
Amesahau Nchimbi ni mtanganyika.
 
Ramli chonganishi.
1. Alimpatia Ukatibu Mkuu wa Chama ndio aliyekuwa ana muhitaji Nchimbi kwenye Chama .
2. Alimpendejeza kama Mgombea Mwenzake ndio alikuwa ana muhitaji Nchimbi
3. Stori ya ukatoliki ni ramli chonganishi
 
Njia rahisi ni ile aliyoizoea: "am-polepole" tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…