Rais Samia ndio Magareth Thatcher wa leo, Mwanamapinduzi na Mwanamageuzi wa kweli

Tafakari yetu

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2021
Posts
1,510
Reaction score
4,431
Mihula mitatu ya uongozi wa mwanamama shupavu aliyekuwa Waziri mkuu wa Uingereza Magareth Thatcher kutoka 1979-1990 ilihitimishwa kwa mabadiliko makubwa nchini Uingereza. Ni misimamo yake mikali iliyopelekea akapewa jina la 'The iron Lady'

Historia ya Margareth Thatcher ni ya kusisimua sana, kutoka watu kufikiri ataweza kweli mpaka kuwa kiongozi wa kuheshimika sana nchini Uingereza kwa kuleta mabadiliko na mageuzi makubwa mno kwenye Elimu, serikali za mitaa na Afya na hayo yalishuhudiwa kwenye muhula wa tatu wa uongozi wake ulioanza 1987 mpaka 1990. Kwa kifupi, ni kiongozi aliyeacha alama ya utumishi.

Kabla na baada ya kumaliza utumishi wake mijadala ilikuwa mingi juu ya sera za Margareth Thatcher kama ilikuwa ni muafaka kwa Uingereza, kuna waliombeza lakini leo hii kumbukumbu inayoishi juu ya Thatcher ni ya mazuri tu.

Baada ya kuisoma historia fupi ya Margareth Thatcher hususani juu ya mageuzi makubwa aliyofanya katika Elimu, afya na uongozi serikali za mitaa nimefarijika kwamba Rais Samia anaweza kuwa ni Thatcher wa leo.

Tanzania ya leo inahitaji Mapinduzi na mageuzi makubwa kwenye sekta mbalimbali. Kiu ya mabadiliko aliyokuwa nayo Thatcher kwa Uingereza ipo leo kwa Rais Samia kwa Tanzania.

Mageuzi katika sekta ya Afya kupitia 'bima ya Afya kwa wote' itasaidia upatikanaji wa huduma za Afya bora kwa kila mtanzania. Muswada wa bima ya Afya kwa wote ukipitishwa utawasaidia sana watanzania.

Mageuzi kwe kilimo, kupitia ajenda 10/30 ya kilimo biashara na ukuzaji wa pato la Taifa kupitia kilimi. Mageuzi hayo yatachochea uchumi wa nchi kukua kwa kasi.

Mageuzi katika sekta ya utalii ya kuhamasisha utalii na kufikia lengo la watalii milioni 5 kwa mwaka kufikia mwaka 2025 kutoka watalii milioni 1.4 kwa mwaka kwa idadi ya sasa.

Maboresho ya sheria mbalimbali na panapo Majaliwa ya Mwenyezi Mungu upatikanaji wa Katiba mpya yanasaidia nchi kuwa na utawala bora wa katiba na Sheria nzuri.

Kwa hakika Kuna mageuzi makubwa mno nchini , mageuzi yatakayobadili maisha ya watanzania na mtazamo wao juu ya Rais Samia kwa miaka ya baadae. Kama vile waingereza wa sasa wanavyomkumba Margaret Thatcher ndivyo ambavyo watanzania wa kesho watakavyomkumbuka Rais Samia.

Uongozi wa Rais Samia utakiheshimisha kizazi kijacho na pengine ataitwa 'The iron Lady"
 
Kwako Samia Suluhu CHADEMA watakupenda na kukupamba kwa Mashada na Maua ila 2025 wapishe wengine.
 
Huwezi kumlinganisha Margaret Thatcher "shetani" na Rais Samia Suluhu Hassan.
 
Thatcher
images (14).jpeg
 
Huu Ujuha, upumbavu na ujinga miongoni mwa watanzania waliowengi utaisha lini? Kazi ni kusifia, huu muda ungetumika kuchambua na kuelezea namna ya kuondokana na mgao wa umeme na kujikomboa kiuchumi ungepungukiwa nini?
 
Uasisi wa huu ujinga ulishamiri awamu ya tano!!
 
Shujaa wa vizazi na vizazi

Alipofariki watu wengi huko UK walifurahi badala ya kuhuzunika, kuna dada mmoja aliulizwa anajisikiaje kufuatia kifo cha Margaret Thatcher??, She answered; I see the witch has died.
 
Jiongezeni na ninyi sio kila kitu kumezeshwa tu. Kipindi Thatcher anafariki hakuwa waziri mkuu wala mtu mwenye maamuzi yoyote sasa 'witch' kivipi na wakati pengine hata utawala wa Thatcher hakuhushuhudia ila alisimuliwa tu
 
Mihula mitatu ya uongozi wa mwanamama shupavu aliyekuwa Waziri mkuu wa Uingereza Magareth Thatcher kutoka 1979-1990 ilihitimishwa kwa mabadiliko makubwa nchini Uingereza. Ni misimamo yake mikali iliyopelekea akapewa jina la 'The iron Lady'

Historia ya Margareth Thatcher ni ya kusisimua sana, kutoka watu kufikiri ataweza kweli mpaka kuwa kiongozi wa kuheshimika sana nchini Uingereza kwa kuleta mabadiliko na mageuzi makubwa mno kwenye Elimu, serikali za mitaa na Afya na hayo yalishuhudiwa kwenye muhula wa tatu wa uongozi wake ulioanza 1987 mpaka 1990. Kwa kifupi, ni kiongozi aliyeacha alama ya utumishi.

Kabla na baada ya kumaliza utumishi wake mijadala ilikuwa mingi juu ya sera za Margareth Thatcher kama ilikuwa ni muafaka kwa Uingereza, kuna waliombeza lakini leo hii kumbukumbu inayoishi juu ya Thatcher ni ya mazuri tu.

Baada ya kuisoma historia fupi ya Margareth Thatcher hususani juu ya mageuzi makubwa aliyofanya katika Elimu, afya na uongozi serikali za mitaa nimefarijika kwamba Rais Samia anaweza kuwa ni Thatcher wa leo.

Tanzania ya leo inahitaji Mapinduzi na mageuzi makubwa kwenye sekta mbalimbali. Kiu ya mabadiliko aliyokuwa nayo Thatcher kwa Uingereza ipo leo kwa Rais Samia kwa Tanzania.

Mageuzi katika sekta ya Afya kupitia 'bima ya Afya kwa wote' itasaidia upatikanaji wa huduma za Afya bora kwa kila mtanzania. Muswada wa bima ya Afya kwa wote ukipitishwa utawasaidia sana watanzania.

Mageuzi kwe kilimo, kupitia ajenda 10/30 ya kilimo biashara na ukuzaji wa pato la Taifa kupitia kilimi. Mageuzi hayo yatachochea uchumi wa nchi kukua kwa kasi.

Mageuzi katika sekta ya utalii ya kuhamasisha utalii na kufikia lengo la watalii milioni 5 kwa mwaka kufikia mwaka 2025 kutoka watalii milioni 1.4 kwa mwaka kwa idadi ya sasa.

Maboresho ya sheria mbalimbali na panapo Majaliwa ya Mwenyezi Mungu upatikanaji wa Katiba mpya yanasaidia nchi kuwa na utawala bora wa katiba na Sheria nzuri.

Kwa hakika Kuna mageuzi makubwa mno nchini , mageuzi yatakayobadili maisha ya watanzania na mtazamo wao juu ya Rais Samia kwa miaka ya baadae. Kama vile waingereza wa sasa wanavyomkumba Margaret Thatcher ndivyo ambavyo watanzania wa kesho watakavyomkumbuka Rais Samia.

Uongozi wa Rais Samia utakiheshimisha kizazi kijacho na pengine ataitwa 'The iron Lady"
Hakuna wa kupinga Mama anaupiga mwingi kila sekta haachi gepu
 
Ktk historia alikuwa bonge la failure huyo Mama. Fuatilia vizuri.
 
Jiongezeni na ninyi sio kila kitu kumezeshwa tu. Kipindi Thatcher anafariki hakuwa waziri mkuu wala mtu mwenye maamuzi yoyote sasa 'witch' kivipi na wakati pengine hata utawala wa Thatcher hakuhushuhudia ila alisimuliwa tu

Si ndiye huyo Thatcher aliyekataa katakata kuwawekea vikwazo makaburu wa Africa kusini??, aliitwa Iron lady kwasababu ya ukatili wake na sio vinginevyo.
 
Chickens are coming home to roost.
Huu Ujuha, upumbavu na ujinga miongoni mwa watanzania waliowengi utaisha lini? Kazi ni kusifia, huu muda ungetumika kuchambua na kuelezea namna ya kuondokana na mgao wa umeme na kujikomboa kiuchumi ungepungukiwa nini?
 
Kwanza. Nina Uhakika Wazungu wamenuna huko Ulaya.
Pili. SSH anadai kuwa au anaelekea kutoegemea Uhafidhina. Thatcher alikuwa ni Mhafidhina.

Tatu. Wote ni wanawake wa nguvu. Wote ni Viongozi shupavu na wenye umakini na ujasiri mkubwa, Ila mmoja alichaguliwa na mwingine ni wa Kikatiba.

Binafsi, baada ya 2025 ndio nitaweza kutoa maoni yangu ya dhati, bila mihemuko na ya kuzingatia usawa

Kidumu!.
 
Back
Top Bottom