Rais Samia ndio Magareth Thatcher wa leo, Mwanamapinduzi na Mwanamageuzi wa kweli

Yani sasa hivi Hapa Tanzania
Baad ya MUNGU anafata samia kwa kusifiwa.

si jambo zuri na ni utamaduni na desturi mbaya sana ya kusifia kila kitu ili hali si kizuri

Ni lini Mitanzania itaamka na kugundua kuwa tupo 2023 ??

Miaka 60 ya uhuru watoto bado wanakaa chini, ukosefu wa vituo vya afya na wauuguzi, Rushwa na ufisadi wa hali ya juu, Mgao wa umeme, ukosefu wa maji, Mfumoko wa bei.

Mitanzania iko bize na kusifia ushubwada every time.

ni mwendo wa warsha, semina, uzinduzi

MAGABUSHI
 
Thatcher na Samia hawafanani kabisa.

Thatcher alichaguliwa kwa kura kama Waziri mkuu haikutokea tu ikawa hivyo.

Thatcher alikuwa na misimamo thabiti kabisa kwenye maamuzi yake ndio maana akaitwa the iron lady.

Huyu wakwetu yeye Huwa anasema na hilo mkalitazame hana misimamo thabiti katika maamuzi ya kitaifa.

Hawana ufanano wowote , mleta mada unatupotosha.
 
Ila nyie watu mnafurahisha sana "The iron lady" hahaha huyu wa kwetu anamisimamo ipi mikali?.
Mihula mitatu ya uongozi wa mwanamama shupavu aliyekuwa Waziri mkuu wa Uingereza Magareth Thatcher kutoka 1979-1990 ilihitimishwa kwa mabadiliko makubwa nchini Uingereza. Ni misimamo yake mikali iliyopelekea akapewa jina la 'The iron Lady'

Historia ya Margareth Thatcher ni ya kusisimua sana, kutoka watu kufikiri ataweza kweli mpaka kuwa kiongozi wa kuheshimika sana nchini Uingereza kwa kuleta mabadiliko na mageuzi makubwa mno kwenye Elimu, serikali za mitaa na Afya na hayo yalishuhudiwa kwenye muhula wa tatu wa uongozi wake ulioanza 1987 mpaka 1990. Kwa kifupi, ni kiongozi aliyeacha alama ya utumishi.

Kabla na baada ya kumaliza utumishi wake mijadala ilikuwa mingi juu ya sera za Margareth Thatcher kama ilikuwa ni muafaka kwa Uingereza, kuna waliombeza lakini leo hii kumbukumbu inayoishi juu ya Thatcher ni ya mazuri tu.

Baada ya kuisoma historia fupi ya Margareth Thatcher hususani juu ya mageuzi makubwa aliyofanya katika Elimu, afya na uongozi serikali za mitaa nimefarijika kwamba Rais Samia anaweza kuwa ni Thatcher wa leo.

Tanzania ya leo inahitaji Mapinduzi na mageuzi makubwa kwenye sekta mbalimbali. Kiu ya mabadiliko aliyokuwa nayo Thatcher kwa Uingereza ipo leo kwa Rais Samia kwa Tanzania.

Mageuzi katika sekta ya Afya kupitia 'bima ya Afya kwa wote' itasaidia upatikanaji wa huduma za Afya bora kwa kila mtanzania. Muswada wa bima ya Afya kwa wote ukipitishwa utawasaidia sana watanzania.

Mageuzi kwe kilimo, kupitia ajenda 10/30 ya kilimo biashara na ukuzaji wa pato la Taifa kupitia kilimi. Mageuzi hayo yatachochea uchumi wa nchi kukua kwa kasi.

Mageuzi katika sekta ya utalii ya kuhamasisha utalii na kufikia lengo la watalii milioni 5 kwa mwaka kufikia mwaka 2025 kutoka watalii milioni 1.4 kwa mwaka kwa idadi ya sasa.

Maboresho ya sheria mbalimbali na panapo Majaliwa ya Mwenyezi Mungu upatikanaji wa Katiba mpya yanasaidia nchi kuwa na utawala bora wa katiba na Sheria nzuri.

Kwa hakika Kuna mageuzi makubwa mno nchini , mageuzi yatakayobadili maisha ya watanzania na mtazamo wao juu ya Rais Samia kwa miaka ya baadae. Kama vile waingereza wa sasa wanavyomkumba Margaret Thatcher ndivyo ambavyo watanzania wa kesho watakavyomkumbuka Rais Samia.

Uongozi wa Rais Samia utakiheshimisha kizazi kijacho na pengine ataitwa 'The iron Lady"
 
Muda utasema lakini ukiniuliza Mimi hata nikiwa ndotoni nitakuambia Rais Samia ni kiongozi atakayeacha alama kubwa mno.
 
Uko sahihi ila Rais Wetu ni Mwanamapinduzi wa Uchumi sio wa vita Bariadi..

Wasioamini na wasiamini lakini siku inakuja kumbukumbu ya Rais Samia itaishi miaka na vizazi vingi sana. Bado naamini Rais Samia ni Thatcher wa leo
 
Back
Top Bottom