Rais Samia ndio Magareth Thatcher wa leo, Mwanamapinduzi na Mwanamageuzi wa kweli

Yani sasa hivi Hapa Tanzania
Baad ya MUNGU anafata samia kwa kusifiwa.

si jambo zuri na ni utamaduni na desturi mbaya sana ya kusifia kila kitu ili hali si kizuri

Ni lini Mitanzania itaamka na kugundua kuwa tupo 2023 ??

Miaka 60 ya uhuru watoto bado wanakaa chini, ukosefu wa vituo vya afya na wauuguzi, Rushwa na ufisadi wa hali ya juu, Mgao wa umeme, ukosefu wa maji, Mfumoko wa bei.


Mitanzania iko bize na kusifia ushubwada every time.

ni mwendo wa warsha, semina, uzinduzi

MAGABUSHI
 
Thatcher na Samia hawafanani kabisa.

Thatcher alichaguliwa kwa kura kama Waziri mkuu haikutokea tu ikawa hivyo.

Thatcher alikuwa na misimamo thabiti kabisa kwenye maamuzi yake ndio maana akaitwa the iron lady.

Huyu wakwetu yeye Huwa anasema na hilo mkalitazame hana misimamo thabiti katika maamuzi ya kitaifa.

Hawana ufanano wowote , mleta mada unatupotosha.
 
Ila nyie watu mnafurahisha sana "The iron lady" hahaha huyu wa kwetu anamisimamo ipi mikali?.
 
Ila nyie watu mnafurahisha sana "The iron lady" hahaha huyu wa kwetu anamisimamo ipi mikali?.
Muda utasema lakini ukiniuliza Mimi hata nikiwa ndotoni nitakuambia Rais Samia ni kiongozi atakayeacha alama kubwa mno.
 
Uko sahihi ila Rais Wetu ni Mwanamapinduzi wa Uchumi sio wa vita Bariadi..

 
Wasioamini na wasiamini lakini siku inakuja kumbukumbu ya Rais Samia itaishi miaka na vizazi vingi sana. Bado naamini Rais Samia ni Thatcher wa leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…