Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Ndugu zangu watanzania,
Huo ndio ukweli na uhalisia, kwa Sasa Rais Samia ndiye kiongozi mwenye ushawishi na kiongozi Bora Barani Afrika, Ndiye kiongozi anayefuatiliwa Sana kutokana na utendaji kazi wake uliotukuka na wenye kugusa maisha ya watanzania na waafrika,Rais Samia Ni mwana wa Afrika kwa Sasa anayekubalika kutokana na hoja zake za utetezi juu ya Afrika na waafrika wanyonge,Rais Samia katika majukwaa ya kimataifa amekuwa akilitetea Bara la Afrika na waafrika.
Rais Samia anapigana kuhakikisha kuwa Rasilimali za waafrika zinawanufaisha waafrika kwanza, ndio Sababu ya kuona Tanzania ikiheshimika Sana wakati huu wa Rais Samia,Ndio sababu ya kuona Tanzania ikipata fursa nyingi Sana za kiuchumi,kiuwekezaji,kibiashara na kuimarika kwa diplomasia na mahusiano yetu na nchi mbalimbali na watu mbalimbali wenye ushawishi katika secta tofauti tofauti.
Ni Tanzania ya Samia ambapo Sasa Tanzania Ni Kama ufunguo wenye uwezo wa kufungua kila aina ya kufuli,Ni Tanzania yenye uwezo wa kufungua kila mahali penye fursa,Hakuna mlango usiofunguliwa na Tanzania ya Rais Samia,Hakuna Mahali ambapo Tanzania ya Samia imefungiwa milango,milango yote Ni wazi kwa Rais Samia na Tanzania yetu.
Ndio sababu ya kuona Tanzania imekuwa chaguo namba moja kwa wawekezaji na watalii,Ndio maana ya kuona Tanzania ikiongeza idadi ya watalii ,Ndio sababu ya kuona Tanzania ikipokea wageni mbalimbali wenye kutaka kuimarisha mahusiano ya kibiashara na kiuwekezaji na Tanzania,Ndio sababu ya kuona Tanzania ya Samia ikialikwa maeneo mbalimbali kutoa mawazo yake,Ni Tanzania ya mafanikio yenye ustawi katika kila eneo
Naiona Tanzania ya Samia ikipaa kimaendeleo na kuwa nchi ya mfano Barani Afrika kiuchumi,kisiasa,kiteknolojia n.k,Ni Tanzania itakayomiminisha asali na maziwa,Ni Tanzania itakayo tiririsha fursa za kila aina kwa watanzania.
Kazi Iendeleee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627