Rais Samia ndiye Profesa halisi wa Demokrasia na Utawala Bora Afrika

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Wapo watakaokubali na watakaopinga hoja hii ila ukweli halisi Rais Samia anastahili kabisa kupewa hadhi ya kuwa Profesa wa Demokrasia na Utawala Bora Afrika

Unapozungumzia Viongozi walioleta mabadiliko makubwa ya kisiasa kwenye nchi zao duniani nina hakika jina la Kiongozi wetu Rais Dkt Samia Suluhu Hassan litakuwa la kwanza

Rais Samia ameleta maridhiano makubwa ya Kitaifa na sasa Wapinzani kila kona ya nchi yetu wapo huru, wakifanya maandamano & mikutano ya hadhara kwa uhuru mkubwa bila kubughuziwa.

Rais Samia amefanya makubwa na ambayo hayakutarajiwa na wengi na hivyo tuna kila sababu ya kumpongeza na kumpa heshima anayostahili.

Hongera sana Rais Samia kwani wewe ndiye Profesa wa Demokrasia na Utawala Bora Afrika

1709467783493.jpg

KaziIendelee
 
Either umejitoa ufahamu which is Sad au Uelewa wako una walakini jambo ambalo sio baya; unaweza ukajifunza...

He who does not travel, thinks his mother is the best cook....
 
View attachment 2934350

KaziIendelee
Praise team
 
Ni miongoni mwa wanawake si tu madhubuti lakini pia ni shupavu, makini na jasiri zaidi , mwenye kukubalika zaidi Tanzania, Africa na Duniani nzima 🐒
 
Huyu mama mpumzisheni, msimchoshe na hizo academic recognitions zenu fake.
 
Either umejitoa ufahamu which is Sad au Uelewa wako una walakini jambo ambalo sio baya; unaweza ukajifunza...

He who does not travel, thinks his mother is the best cook....
Umetishamzee
 
Ni miongoni mwa wanawake si tu madhubuti lakini pia ni shupavu, makini na jasiri zaidi , mwenye kukubalika zaidi Tanzania, Africa na Duniani nzima 🐒
Afu mtu mzima kujitoa akili haifai.Punguza unafki unazeeka bro
 
badala ujikite kwenye hoja unababaika na maoni ya nionavyo mim, kulingana na motion mezani..

that perfection sense uko nayo dhidi ya utofauti wa maoni dhidi yako, is completely none sense and useless 🐒
 
Ila wanangu hizo pesa ndogo ndogo mnazolipwa inaonyesha mkizikusanya zinakuwa nyingi knoma mana sio kwa post hizi za kipuuzi kila siku mtadhani dozi ya dawa ya ukimwi
 
badala ujikite kwenye hoja unababaika na maoni ya nionavyo mim, kulingana na motion mezani..

that perfection sense uko nayo dhidi ya utofauti wa maoni dhidi yako, is completely none sense and useless 🐒
Anapata wapi ujasiri wa kusema katiba ni karatasi tuu.Then awe prof wa democracy africa?

Katiba iliyomuweka madarakani baada ya mtangulizi wake kufariki? Ni upuuzi

Bunge la Samia sio bunge huru hata kidogo.Tazama utoaji maoni wa wabunge.
Ndani ya chama tayari kampeni zimeanza na kusema mnatoa form moja ya mgombea Urais je huyo ndio prof wa democracy?

Akiekua na kesi za ugaidi na Rais kusema madharani ghafla anaibuka ikuru na kesi zinafutwa.Ni kesi za kisiasa bado anakua prof wa democracy?

Unashindwa kuwajibisha wafujaji wa pesa za Uma kupitia riport ya CAG.
Ukiwa kama kuongizi na msimamizi namba moja wa mali ya umma.Upo kimya ,Instead unasema kila mtu anakula urefu wa kamba yake.
Is that democracy?

Next time usije na ushuzi wako hapa kabla ya kufikiria.
Afu wewe ni mwandamizi kabisa sikutarajia ungekuja na ujinga huu.
 
Maendeleo ya kisiasa huwanufaisha wanasiasa, bali maendeleo ya kiuchumi na kijamii huwanufaisha wananchi kwa ujumla. Sasa mleta hoja huo uprofesa wa kisiasa una faida gani kwa wananchi waliokuwa wengi?

Sasa hivi imegeuka kuwa tabia kwamba kila nchi ambayo inamtunukia PhD ya heshima basi huambatana na zigo zaidi la deni la taifa. Ugumu wa maisha unazidi kila siku iitwayo leo. Na bado kuna watu kama nyie mnazidi kila siku kusifu na kuabudu mbele yake.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Wapo watakaokubali na watakaopinga hoja hii ila ukweli halisi Rais Samia anastahili kabisa kupewa hadhi ya kuwa Profesa wa Demokrasia na Utawala Bora Afrika

Unapozungumzia Viongozi walioleta mabadiliko makubwa ya kisiasa kwenye nchi zao duniani nina hakika jina la Kiongozi wetu Rais Dkt Samia Suluhu Hassan litakuwa la kwanza

Rais Samia ameleta maridhiano makubwa ya Kitaifa na sasa Wapinzani kila kona ya nchi yetu wapo huru, wakifanya maandamano & mikutano ya hadhara kwa uhuru mkubwa bila kubughuziwa.

Rais Samia amefanya makubwa na ambayo hayakutarajiwa na wengi na hivyo tuna kila sababu ya kumpongeza na kumpa heshima anayostahili.

Hongera sana Rais Samia kwani wewe ndiye Profesa wa Demokrasia na Utawala Bora Afrika

View attachment 2934350

KaziIendelee
Topic kama hizi ndiyo zinadhihirisha kuwa nchi ni ya vilaza sana; yaani, ujima, yaani watu wenye Single digit IQ! Sijui utasoma mabandiko gani tena? Maana hii nchi hakuna waandishi kabisa; kwishne, tungojee kurudi kwa yesu tu
 
Wapo watakaokubali na watakaopinga hoja hii
Ni kweli, wanaokubali wakubali kwa hoja, na wanaopinga, wapinge kwa hoja.
Rais Samia ameleta maridhiano makubwa ya Kitaifa na sasa Wapinzani kila kona ya nchi yetu wapo huru, wakifanya maandamano & mikutano ya hadhara kwa uhuru mkubwa bila kubughuziwa.
Ni kweli kabisa, hili hata sisi tulipongeza ila pia tulitia neno kwaza tulipongeza Asante Rais kuruhusu mikutano, tunakuomba uruhusu haki nyingine ambayo imeporwa ya Watanzania wote kuchagua na kuchaguliwa kisha Anayekuja pasi na hodi, huondoka pasi kuaga. Kuzuiwa bila kifungu, kuruhusu bila Kifungu. Ni hisani ya Rais Samia. Haki kuhisaniwa hadi lini?
Rais Samia amefanya makubwa na ambayo hayakutarajiwa na wengi na hivyo tuna kila sababu ya kumpongeza na kumpa heshima anayostahili.
Naunga mkono hoja
Hongera sana Rais Samia kwani wewe ndiye Profesa wa Demokrasia na Utawala Bora Afrika

KaziIendelee
Naunga mkono hoja, ila nashauri tusiishie kumpongeza Rais Samia kwa makubwa mazuri aliyoyafanya, tumsaidie kumuonyesha mapungufu kwenye yale aliyoyafanya ambayo yamefanywa in a wrong way Ombi kwa Rais Samia: Sheria Mpya ya Uchaguzi Bado ina Ubatili. Haki ya Kuchagua na Kuchaguliwa imeporwa! Irejeshwe kwa Mujibu wa Katiba! yarekebishwe kuwa right, tusonge mbele.
P
 
Anapata wapi ujasiri wa kusema katiba ni karatasi tuu.Then awe prof wa democracy africa?

Katiba iliyomuweka madarakani baada ya mtangulizi wake kufariki? Ni upuuzi

Bunge la Samia sio bunge huru hata kidogo.Tazama utoaji maoni wa wabunge.
Ndani ya chama tayari kampeni zimeanza na kusema mnatoa form moja ya mgombea Urais je huyo ndio prof wa democracy?

Akiekua na kesi za ugaidi na Rais kusema madharani ghafla anaibuka ikuru na kesi zinafutwa.Ni kesi za kisiasa bado anakua prof wa democracy?

Unashindwa kuwajibisha wafujaji wa pesa za Uma kupitia riport ya CAG.
Ukiwa kama kuongizi na msimamizi namba moja wa mali ya umma.Upo kimya ,Instead unasema kila mtu anakula urefu wa kamba yake.
Is that democracy?

Next time usije na ushuzi wako hapa kabla ya kufikiria.
Afu wewe ni mwandamizi kabisa sikutarajia ungekuja na ujinga huu.
hayo ni maoni na mtazamo wako huru ambao ni haki yako, siwezi kukuita nyumbu wala hujielewe. huo ndio uelewa na ufahamu wako ulipoishia kulingana na uonavyo mambo yanavyokwenda enjoy it, sio akija mtu tofauti na mtazamo wako unamzodoa sijui kwa kumuita nini, hiyo ni useless kabisa 🐒

and for your information katiba is just a document iliyosheheni makaratasi tu yenye maandishi ambayo tunaweza change anytime, na ile iliyobadilishwa tukaifungia maandazi kama makaratasi mengine tu 🐒

hayo mengine sijui bunge, mahakama na ugaidi, Demokrasia na report ya CAG unaburuzwa na kufuata mkumbo tu na hakuna utakachobadili 🐒

nchi hii mihimili yote ya dollar iko huru kufanya wajibu, kazi na majukumu yake kulingana na kanuni, taratibu, sheria na katiba ya nchi. Na kazi zote zinafanyika kwa uwazi, bidii na weledi makubwa sana...

mpka sasa mambo yanafanyika vizuri sana chini ya Dr Samia Suluhu Hassan, na kama hujaridhika, hiyo ni hulka ya binadamu si kitu mbaya, ni kawaaida....

muhimu zaid huna haja ya kujitambulisha na kujionyesha jinsi ulivyo kwa matusi ambayo hayana maana wala kusaidia chochote..mmefundishwa jambo la hovyo sana aise 🐒
 
Back
Top Bottom