Rais Samia: Ni dhambi kubwa kupata cheo ukavimba mabega, ukapandisha ukawa untouchable, 'Wewe unanijua mimi nani? Who are you?'

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akiapisha viongozi aliowateua leo Mei 6, 2026, Ikulu ya Chamwino Dodoma, ametoa onyo kali kwa viongozi wa umma dhidi ya tabia ya ujeuri na majivuno mara baada ya kupata madaraka. Akizungumza katika hafla iliyofanyika Ikulu, Rais Samia amesisitiza kuwa uongozi ni fursa ya kutumikia wananchi na si jukwaa la kujikuza binafsi.

"Vyeo ni dhamana na ni dhambi kubwa kupata cheo ukavimba mabega, ukapandishwa ukawa untouchable, 'Wewe unanijua mimi nani? Who are you?' Narudia tena, 'Wewe nani?' 'Wewe nani?'.

Wewe ni kiumbe kama mwingine, ila Mungu ameamua ushike hapo uliposhika. Na amekupa hapo ili uwatumikie watu kama ni sadaka yako ukiwa duniani. Hutumikii watu, Mungu anajua ana punishment zake, kama nilivyosema serikali inapita tu, lakini mambo yote ni mwenyewe Mungu"

Imekua ghafla sana sijazoea Kama kutoka kutupiga mikwaju mpaka kujua cheo dhamana
 
Huyu mama nina mashaka na afya yake ya Akili

Si Jana tu alisema atawapiga ukwaju gen Z
 
Amasema chochote kuhusu utekaji na mauaji ya wananchi yanayozidi kushika kasi??

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akiapisha viongozi aliowateua leo Mei 6, 2026, Ikulu ya Chamwino Dodoma, ametoa onyo kali kwa viongozi wa umma dhidi ya tabia ya ujeuri na majivuno mara baada ya kupata madaraka. Akizungumza katika hafla iliyofanyika Ikulu, Rais Samia amesisitiza kuwa uongozi ni fursa ya kutumikia wananchi na si jukwaa la kujikuza binafsi.

"Vyeo ni dhamana na ni dhambi kubwa kupata cheo ukavimba mabega, ukapandishwa ukawa untouchable, 'Wewe unanijua mimi nani? Who are you?' Narudia tena, 'Wewe nani?' 'Wewe nani?'.

Wewe ni kiumbe kama mwingine, ila Mungu ameamua ushike hapo uliposhika. Na amekupa hapo ili uwatumikie watu kama ni sadaka yako ukiwa duniani. Hutumikii watu, Mungu anajua ana punishment zake, kama nilivyosema serikali inapita tu, lakini mambo yote ni mwenyewe Mungu"

Hata mimi simuamini huyu Maza. Kila siku anaongea lugha tofauti kutegemea na jukwaa alilopo. Yah right .... WHO A U...!!?
 
Leo mikwaju inaelekezwa kwa viongozi ,,, wana masikio ? Binafsi sidhani maana kiungo pekee wanachokithamini ni Matumbo yao.
 
Unajua bro,binadamu tunatofautiana kila kitu,na kama wewe ni binadamu kamili basi usishangae watu kupenda kitu usichokupenda wewe,vinginevyo wewe utakuwa sio binadamu kamili
Hivi kuna watu bado mnamsikiliza na kumuamini huyu Bi Mkubwa! Binafsi siamini kama ana uchungu wowote ule au huruma kwa wananchi wa kawaida.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akiapisha viongozi aliowateua leo Mei 6, 2026, Ikulu ya Chamwino Dodoma, ametoa onyo kali kwa viongozi wa umma dhidi ya tabia ya ujeuri na majivuno mara baada ya kupata madaraka. Akizungumza katika hafla iliyofanyika Ikulu, Rais Samia amesisitiza kuwa uongozi ni fursa ya kutumikia wananchi na si jukwaa la kujikuza binafsi.

"Vyeo ni dhamana na ni dhambi kubwa kupata cheo ukavimba mabega, ukapandishwa ukawa untouchable, 'Wewe unanijua mimi nani? Who are you?' Narudia tena, 'Wewe nani?' 'Wewe nani?'.

Wewe ni kiumbe kama mwingine, ila Mungu ameamua ushike hapo uliposhika. Na amekupa hapo ili uwatumikie watu kama ni sadaka yako ukiwa duniani. Hutumikii watu, Mungu anajua ana punishment zake, kama nilivyosema serikali inapita tu, lakini mambo yote ni mwenyewe Mungu"
Kulikuwa na nini leo huko ikulu?
 
Na ku ua watanganyika zaidi y elfu 10 sio zambi?
Kazi ni kipimo cha utu
 
Back
Top Bottom