Rais Samia ni kazi kwako kuwaacha au kuwaondoa ‘for the sake of the nation and the party’

Yaani hiyo ni wazi kuwa kodi hiyo haikuwa halali na ya kubumba. Sasa ona mzigo umekaa miezi 8 na hasara kwa mfanya biashara kisa watu kutengeneza miaya ya rushwa tuu.
Kiuhalisia kodi nyingi zilizowekwa kisheria zinalipika lakini sheria inatumika vibaya kuchomekea visivyo wezekana ili wapige rushwa
 
Hiyo ni hasara ya kuishi ki presumptive, fungua kampuni ulipe corporate tax ya 30% ya profit yako.
 
Hiyo ni hasara ya kuishi ki presumptive, fungua kampuni ulipe corporate tax ya 30% ya profit yako.
Nina kampuni zaidi ya 5
Nalipa zaidi ya million 230 kwa mwaka
Nonajua ninachokisema
 
Niliwahi kipewa makadirio ya 54 Million kutokana na ongezeko la Mapato
Nilibishana na TRA kwa miezi miwili
Kwenye rerun ya mwaka unaofata zile tenda sikupata tena kwaoo income ikashuka nikarud TRA kuwauliza wa review kodi yao

Baada ya purukushani sana wakatoa kodi currently 20Million

Kwaio kwa watu ambao Havana uelewa wanaumizwa sana na TRA
 
Ningewaona wamaana wangeandamana kwenda bungeni na kuwawajibisha waliowachagua Kwa kushindwa kitunga sheria ZENYE afya.
 
Hapana ukionana na tax consultant atakuelekeza namna ya kupiga hesebu na ukalipa kodi kwa faida uliyopata. Huo ndio utaratibu kinyume na hapo ni kutokujua au janja janja ya afisa kodi
 
Yaani matatizo yasababishwe na ccm chama kinacho tawala kwa mkono wa chuma toka uhuru halafu uwasifu kuwa waneyatatua.
Hizi Akili au matope
 
Hapana ukionana na tax consultant atakuelekeza namna ya kupiga hesebu na ukalipa kodi kwa faida uliyopata. Huo ndio utaratibu kinyume na hapo ni kutokujua au janja janja ya afisa kodi
Shida naongea na mtu ambaye hafanyi biashara

mimi ni mfanyabiashara na professional accountant
 
Yaani matatizo yasababishwe na ccm chama kinacho tawala kwa mkono wa chuma toka uhuru halafu uwasifu kuwa waneyatatua.
Hizi Akili au matope
Kubadilisha chama sio jambo la kitoto hivo
 
Kwakuangalia tu ni kwamba this is ni kitu ambacho Kiko staged na kwamba yupo mlengwa. Kitu ambacho naweza kusema ni Cha kihuni hata kama kinauhalali
 
Eti wanakadilia😂😂😂
 
Mganga wa Mwigulu yule bikizee mwenye titi moja apewe maua yake jamani yuko vizuri sana.
 
Hujui kitu nyamaza
 
Samia hana huo udhubutu .kwanza ashatu kijaji si mzazibar mwenzake ,halafu yeye na samia wanafanana tu kichwani hawa substance kichwani .tofauti yao mmoja Ana PhD ya kubandikwa mwingne PhD yake amesomea japo sifaham chuo kipi kilochompa hiyo PhD
 
Hongera kwa PM. Hapa tulijua kupata Kiongozi.
 
Samia hana huo udhubutu .kwanza ashatu kijaji si mzazibar mwenzake ,halafu yeye na samia wanafanana tu kichwani hawa substance kichwani .tofauti yao mmoja Ana PhD ya kubandikwa mwingne PhD yake amesomea japo sifaham chuo kipi kilochompa hiyo PhD

Si sawa dharau hizi. Heshimu mtu akifika kile kiti wewe. Si wewe sasa ungekuwa Rais wetu. Ujinga tu[emoji35]..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…