MtuHabari
JF-Expert Member
- Oct 16, 2020
- 321
- 1,019
Yaani hiyo ni wazi kuwa kodi hiyo haikuwa halali na ya kubumba. Sasa ona mzigo umekaa miezi 8 na hasara kwa mfanya biashara kisa watu kutengeneza miaya ya rushwa tuu.Kasema mwanzo alikadiliwa kodi 30 billions, baada ya kulalamika wakampungizia ikabaki 10 Billions....!
Akashindwa kulipa akayaacha na Makontena yenyewe...!
Cha ajabu usiku wa jana kuamkia kikao cha leo, wamempigia simu aende kuchukua Mankotena yake.
Kiuhalisia kodi nyingi zilizowekwa kisheria zinalipika lakini sheria inatumika vibaya kuchomekea visivyo wezekana ili wapige rushwa