heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 6,736
- 10,669
Napenda kulipa kodi ila sipendi inavyotumika vibaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endelea kusubiriNitakuwa wa mwisho kuamini kuwa hawezi kuchukua hatua
Ungetulia umsikilize huyu mama ungemuelewa, Kodi yake halali ni hyo 150m, hizo zingine ni wizi mkubwa! Jana wamempigia simu akachukue kontena zake, kwanini Jana na siyo siku zingine? TRA NI UOZO MKUBWA+MWIGULUKodi halali ya Serikali lazima tulipe, tusitegemee kuonewa huruma kwenye mapato ya Serikali.
Kama yule mama anadaiwa Kodi ya billioni 3 halafu anataka kukwepa eti alipe milioni 150!!!
hili haliwezekani, Kodi halali lazima ilipwe.
Nasema wakwepa Kodi wa kubwa ni wafanyabiashara wakubwa hawa ndio wanaongoza kukwepa Kodi na kutoa rushwa kwa TRA
Sheria zenyewe ni wizi mtupu na dhulmaSimtetei mtu ila binafsi sioni kosa so Hakuna wa kuondoa na waondoke Kwa lipi? Kodi zote zimetungwa na Bunge ,hapo ni kubadili mechanism au approach ya kukusanya ila sio ishu ya Waziri hapo.
Ukiona watu wanamtaka mama maana yake hawasikikizwi! Nikuambie tu watanzania wetu tumechoka, TRA wamekuwa wezi wakubwa na rushwa mingi, acheni watu wagomeHao Wafanyabiashara walimkataa Hadi Mkuu wa Mkoa walidai Rais huu ni utoto wa Nidhamu na kuyumbisha Nchi..
Rais atafanya kazi ngapi? Nini maana ya kuwa na wasaidizi?
Mwisho ndio maana katika mchango Fulani nilisema Kuna madai geguine mfano unaenda Polisi kumshitaki afisa wa TRA ,then wewe unakuja kugeuziwa kibao ,hii inatakiwa kuwa addressed..
Mojawapo ya njia za kutatua Hilo ni Kwa Mkuu wa Mkoa pamoja na maofisa wa TRA walau kuwa na mkutano mara 1 Kila baada ya miezi 3 kujadili kero na utatuzi wake,ikifanyika hivyo hatutafikia Kwa PM au Waziri..
Kama Kuna mambo ya kisera ndio Waziri anaweza kuja kutoa ufafanuzi au kuchukua kuyapeleka huko Baraza la Mawaziri Kwa hatua zaidi..
Basi Kuna mfumo mbovu sana wa uwajibikaji.Ukiona watu wanamtaka mama maana yake hawasikikizwi! Nikuambie tu watanzania wetu tumechoka, TRA wamekuwa wezi wakubwa na rushwa mingi, acheni watu wagome
Huyo mama ndio mwizi, anataka kuiba Serikali mapato, eti anadai "tukae mezani tuzungumze"Ungetulia umsikilize huyu mama ungemuelewa, Kodi yake halali ni hyo 150m, hizo zingine ni wizi mkubwa! Jana wamempigia simu akachukue kontena zake, kwanini Jana na siyo siku zingine? TRA NI UOZO MKUBWA+MWIGULU
Wewe unaona sawa kutakiwa kulipa 30 billions kwa Kontena 15 za Vitenge!?Sasa anajikadiria Kodi mwenyewe eti alipe 150millioni!!!!!
Huyu ni mkwepaji mkubwa wa kulipa Kodi halali na anataka kutumia kichaka Cha mazungumzo haya, alipe anacho daiwa aache janjanjanja
Una maana wakiapa ndio hawadai rushwa?Kwani wafanyakazi wa TRA wanakulaga kiapo? Wasingefanyaga haya
Asipokuelewa hapa basi atakuwa hana ubongoNikuulize unafanya biashara ..?
TRA wanachukua VAT kwenye mtaji sio mapato. Hawaangalii tofauti ya revenue na profit bali annual income
Kama mimi nimefanya biashara ya 100 Million na nikapatq Faida ya 20 M kwa nini nilipe kodi kwenye 120 M badala ya 20 M ambayo ni profit..?
Kuna mjumbe wa Tanga kasema watasoma albadiri na pia kamtaja Adam Malima kuwa alimsweka ndani kwa siku 10 baada ya kuripoti kwake kuwa kuna rushwa kwa watu wa TRA. Nadhani mama kayasikia yote yaliyosemwa kwenye huo mkutano, na hapo ni tone tu la machafu yanayoshamiri kila kukicha wasaidizi badala ya kumsaidia mheshimiwa raisi wamekuwa kikwazo, hata raisi akisema utawasikia ah hayo ni maneno ya wanasiasa tunasubiri waraka! nadhani leo watakuwa wamemsikia Waziri Mkuu kuhusu matamshi ambayo raisi,makamu wa raisi, raisi wa Zanzibar na waziri mkuu wakiagiza kufanyika jambo mambo ya hatujapata barua yakome.Kipekee nakushukuru kwa kuchukua hatua za dhati za kunusuru soko la kariakoo kwa kumtuma Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa. Kwa kweli amefanya kazi kubwa ya kunusuru uchumi wetu.
Pamoja na yote yaliyojadiliwa kuna kiu cha uwajibikaji. Imedhihirika baadhi ya watendaji wako wana uwezo mdogo na wengine ni wazembe na wenye zarau
Ni ombi letu na kama itakupendeza wachukulie hatua au wahamishe au wasimamishe kazi wote walioonekana ni kikwazo kwa wafanyabiashara na uchumi wetu. Na katika hili usiwaache kambare ukaondoa dagaa utakua haujafanya kitu.
Kwa macho yako umeona kiu cha wale ambao wanalalamikiwa ni kazi kwako kuwaondoa au kuendelea kuwafuga.
Nakukumbusha Mh. Jakaya alimuondoa Kalamagi, Nchimbi, Lowasa. Pia Chuma JPM aliwaondoa Kangi Lugola, Mwigulu, Simbachawene nk ili kuleta ustawi na kuonesha uwajibikaji kwa watanzania
Sasa kama hautakuwa na serikali ya uwajibikaji au hata kuhamisha watendaji na mawaziri au hata kuwaondoa basi madhara yatakayotokea ni juu yako na utawala wako.
Chukua hatua
Mkuu umenisemea niliwahi kumuuuliza afsa wa TRA kwanini unakata hela ya kuendesha biashara pamoja faida na kibaya ni kuwa mimi ni mtoa huduma na sio mfanya biashara halafu huu mchezo wa risiti kuwa ziandikwe Jina na tin no kwa kila matumizi ya mwenye VAT wakati huko ninakotoa huduma hata mashine ya EFD hawana, lakini tunachoambiwa eti sheria ndivyo zinavyosema na wao wanadai wanafuata sheria, sasa ndio nimeanza kuelewa udhaifu wa wanaopitisha sheria hizi ambao ni wabunge wetu, si ajabu wana PhD za kuwa promoter wa Diamond na wengine za uchumi wa tozo!Nikuulize unafanya biashara ..?
TRA wanachukua VAT kwenye mtaji sio mapato. Hawaangalii tofauti ya revenue na profit bali annual income
Kama mimi nimefanya biashara ya 100 Million na nikapatq Faida ya 20 M kwa nini nilipe kodi kwenye 120 M badala ya 20 M ambayo ni profit..?
Alisema atoe 150m halafu wakae waangalie kodi halali alipe taratibu.Sasa anajikadiria Kodi mwenyewe eti alipe 150millioni!!!!!
Huyu ni mkwepaji mkubwa wa kulipa Kodi halali na anataka kutumia kichaka Cha mazungumzo haya, alipe anacho daiwa aache janjanjanja
Hapa upo kwenye kampeni uijuayo mwenyewe.Kipekee nakushukuru kwa kuchukua hatua za dhati za kunusuru soko la kariakoo kwa kumtuma Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa. Kwa kweli amefanya kazi kubwa ya kunusuru uchumi wetu.