Rais Samia ni kiongozi pekee mpaka sasa aliyefanikiwa kupata uungwaji mkono na kukubalika na makundi yote na vyama vyote

Je umeingia kwenye nafsi za hao watazamaji wa Rais?

Je pengine wanaenda kuangalia mtu anayesimamia taabu dhidi yao? Maana Mtanzania wa leo anahofia kuonesha hisia zake za ukweli hadharani for the love of their nails.....🤣
 
basi mkuu ukwel ni kwamba huku mtaan raia hawamuelw bi mkubwa ...km unabisha ingia ww mwnyw mtaan ufanye taft acha nadharia mkuu
Mimi Ni mkulima nipo mitaani na ninajumuika na kujichanganya na watu wengi Sana ambao wengi wameonyesha namna wanavyomkubali mh Rais, hata Ile uhasama wa kisiasa haupo Zaid ya kubishana kwa hoja, mfano sisi wakulima tunamshukuru Sana mh Rais kwa namna alivyogusa katika suala la pembejeo na soko la mazao yetu ambapo Sasa hatupati hasara Kama zamani,

ukija hata kwa vijana hata walio maliza vyuo Wana matumaini na Imani Sana na kesho iliyo njema , maana kila mtu anaziona juhudi za Rais katika kugusa kila eneo walipo vijana, iwe Ni katika ajira tunaona akitoa ajira kila uchumi unaporuhusu na hata kuimarisha secta binafsi ili isaidie kutengeneza ajira, asiyepata ajira Leo ya ualimu au Afya bado unaona anabaki na matumaini kuwa kesho atapata tu zikitangazwa tena
 
😁😁😁😁 mama mpaka 2025
 
Je umeingia kwenye nafsi za hao watazamaji wa Rais?

Je pengine wanaenda kuangalia mtu anayesimamia taabu dhidi yao? Maana Mtanzania wa leo anahofia kuonesha hisia zake za ukweli hadharani for the love of their nails.....🤣
Nimeona na kusikia kupitia mazungumzo yanayokuwa yanaendelea, unaona watu wakimsifia na kumpongeza kila mtu na lake, unakuta wakulima wanampongeza kwa kuwakumbuka, vijana unakuta wanamshukura kwa namna anavyo jitahidi kutengeneza ajira na kuzitoa kupitia serikali na hata secta binafsi ambapo amejitahidi kuweka mazingira mazuri ya kibiashara na kiuwekezaji, ukienda kwa wazazi wanaosomesha unaona wakimpongeza mh Rais kwa kufanya Elimu kuwa bure Hadi kidato Cha sita, wengine unaona wakimpongeza kwa ujenzi wa Vituo vya Afya, zahanati shule na vitu vingine vingi tu,

ukienda kwa wafanyabiashara unakuta nao wanampongeza kuwa Sasa wanafanya biashara kwa Uhuru na Wala hakuna ukomolewaji wa ukadiliwaji wa kodi, ndio maana unaona biashara zinafunguliwa kila Siku badala ya kufungwa kila siku, watu wanatafuta fremu na vyumba vya biashara badala ya kuuza na kufunga biashara zao, nchi inachanua kimaendeleo kila Kona ya nchi yetu, mama hakika yupo kazini na Amedhamilia kututumikia watanzania
 
Hizo propaganda zenu zina chosha, na za kishamba achieni vyama vya siasa ndo mtajua uhalisia wa watu.
Vitaachiwa tu na Wala havina tishio lolote kwa Rais Samia huyu anayekubalika kila eneo na kila mtu kutokana na kazi kubwa aliyoifanya ya kuwatumikia watanzania wanyonge ndani Ya muda mfupi, kila eneo limeguswa kiutendaji na kuleta matunda
 
Ni kushauri tuu wakati mwingine jitahidi kuficha maradhi iliyonayo
 
Nashukuru kwa kusimamia uongo uliotukuka.
Kesho nayo ni siku
 
Ku
Ina maana anapinga kwamba yeye ni binadamu mwenyewe mawazo huru??

kupinga kila kitu ndiyo dubwasha gani hilo.
Kupinga kila kitu ina maana kutokukubaliana na kila Jambo hata ambalo Ni jema machoni na akilini mwa watu wengi kutokana na faida yake, mfano unakuta humu watu wanapinga hata suala la utolewaji wa Ruzuku katika mbolea kulikofanywa na Rais Samia kwa kusema kuwa halijasaidia kitu chochote ilihali kila mtu mwenye Akili Timamu na mwenye kujuwa ukweli anaona namna uamuzi huo ulivyoleta matumaini kwa wakulima
 
Wewe ni mkulima?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…