Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Je umeingia kwenye nafsi za hao watazamaji wa Rais?N
Mimi nimeona na kushuhudia kabisa namna watu wanavyokwenda kumsikiliza Rais kwa hiyari yao kabisa inayochagizwa na upendo mkubwa walio nayo kwa mama samia, lakini pia napenda nikutaarifu tu kuwa Kama mtu hakupendi na hakukubali watu wasingeweza kwenda kumsikiliza hata Kama wangeletewa gari la bure milangoni mwao, hivyo mafuriko yanayojitokeza kumlaki na kumpokea mh Rais wetu Ni ushahidi wa namna anavyokubalika na kupendwa na watanzania, ndio sababu watu wanakuwa tayari kusafiri umbali mrefu kwenda kumpokea mh Rais
Je pengine wanaenda kuangalia mtu anayesimamia taabu dhidi yao? Maana Mtanzania wa leo anahofia kuonesha hisia zake za ukweli hadharani for the love of their nails.....🤣