Rais Samia ni kiongozi pekee mpaka sasa aliyefanikiwa kupata uungwaji mkono na kukubalika na makundi yote na vyama vyote

Malizia kusifu then usiku utarudi kwenye nyumba ya babako ya tembe kulala
 
Wanaosimamia ni wajibu wao maana wanalipwa mshahara kutokana na malipo tuyafanyayo sisi watumiaji. Inapaswa wao ndio watupongeze sisi maana wao hata kodi hawalipi, na wanatumia huduma zote za serikali bure.
UNafikiri walioanzisha hata tuzo walikuwa wajinga?
Maisha yalivyo magumu mtaani,Yan ww unaweza kupata ujasiri wa kusifia?
Nampongeza kwa kuwa juhudi za mh Rais Samia zinaonekana kabisa katika kuimarisha uchumi wetu, kwani nchi gani wanakoishi maisha ya starehe Kama wapo paradiso?
 
Inawezakuwa kweli sababu nilimuona zito Jana wenzake wametulia wanaskiliza kwa makini yeye anatingisha kichwa kama vile anaitikia mudawote kuashiria anaelewa haswaaaaa kilaneno.
 
Inawezakuwa kweli sababu nilimuona zito Jana wenzake wametulia wanaskiliza kwa makini yeye anatingisha kichwa kama vile anaitikia mudawote kuashiria anaelewa haswaaaaa kilaneno.
Ni sahihi kabisa maana Rais Samia anaeleweka vizuri maneno ayatoayo yaliyojaa uzalendo na upendo mkubwa Sana kwa Tanzania na watanzania
 
Naona siasa zile zile za Magu zimerudi kwa nguvu Chawa bana mmekosa kazi, Mwacheni Rais achape kazi mkitaka kujua anakubalika fanyeni fare election akipita kweli hicho kitakuwa kigezo mahususi cha kupima kukubalika kwake. Do not just give sweeping statements.
 
Kumbe ulianza zamani kusifia upumbavu na bado mpaka leo hujala shavu la uteuzi hata la kuwa mtendaji wa kata!!!! Laana ya kusifia ujinga itaendelea kukuandama hadi kwa vizazi vyako,hujui hii serikali inavyowaumiza watanzania.watu wamefunga biashara zinazotegemea umeme kwa sababu ya kuleta undugu kwenye serikali mmemkabidhi wizara mwizi anatuhenyesha raia
 
Kwani wapi nimeandika uteuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…