Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Ndugu zangu Hivyo ndivyo unavyoweza kusema kuwa Mama Samia Ni Rais wa Ndoto ya watanzania ya muda mrefu, watanzania siku zote walihitaji kiongozi atakaye kuwa msikivu kwa matatizo na kero zao, kiongozi atakaye kuwa na moyo wa kuguswa na shida zao, kiongozi atakayekuwa na moyo na ngozi ya mwanadamu yenye kuguswa na kero za watu, kiongozi mwenye upendo kwa anaowaongoza
Watanzania walihitaji kiongozi mwenye moyo wa damu atakaye guswa na vilio vya watu, kiongozi mwenye kuelewa uongozi unatoka kwa Mwenyezi Mungu hivyo haupaswi kutumia uongozi kuumiza watu wako ,kutesa watu wako, kuwaliza watu ,kuwabubujisha watu machozi muda wote au kukomoa watu.Bali uongozi Ni kazi ya kusaidia watu, kufariji , kuwafuta machozi watu, kuwatia moyo watu, kuwapa faraja watu,kuwaunganisha watu,kuwashika mikono watu walipodondoka, kuwaongoza njia watu, kulia nao wakati wa shida, siyo kuwakatisha tamaa na kuwavunja moyo watu,
Rais Samia amekidhi Mahitaji hayo ya watanzania, amekata kiu hiyo ya watanzania, Rais Samia Ni kiongozi mwenye moyo wa Upendo, huruma na unyenyekevu mkubwa Sana, Ni kiongozi mwenye hofu ya Mungu, Ni kiongozi mwenye kujuwa kuwa madaraka Ni ya kupita tu, Ni kiongozi asiye na makuu,Ni kiongozi aliye katika uanadamu na siyo kujiweka daraja la Mungu na kuhitaji kuabudiwa, Rais Samia Ni kiongozi kwelii kwelii aliyeiva na kujaliwa kipawa Cha uongozi, Ni kiongozi mwenye damu ya uongozi.
Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti
Lucas Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu