Rais Samia ni Kiongozi wa ndoto ya Watanzania

Rais Samia ni Kiongozi wa ndoto ya Watanzania

Ndi
Uongozi unatoka kwa Mwenyezi Mungu muumba wa mbingu na Dunia

Ndio unyamaze uache kupiga kelele kila siku, usubiri wakati wa Bwana Mungu. Kuendelea kufanya uchawa ndio kunaleta hisia unataka uongozi kwa nguvu.
 
Ndi

Ndio unyamaze uache kupiga kelele kila siku, usubiri wakati wa Bwana Mungu. Kuendelea kufanya uchawa ndio kunaleta hisia unataka uongozi kwa nguvu.
Maana naona unaandika habari za uongozi kana kwamba hapa nimezungumzia uteuzi hapa. Kazi yangu ni kuzungumza na kuyasema mazuri ya mh Rais wetu
 
Siyo upambe Bali Ni ukweli, ndio maana unaona hata Mbowe amekubali utendaji kazi wa Rais Samia

Mbowe ndio nani, au unadhani kila mtu anamsujudia Mbowe? Si ndio huyo alienda kujikomba ikulu tukamwambia aache kujipendekeza?
 
Mwafa!! temeko lenu ,njaa yenu ,hivi kiliongezwa kitu gani?.

Naomba unikumbushe kwanza , nakuja kuchangia.
 
Mbowe ndio nani, au unadhani kila mtu anamsujudia Mbowe? Si ndio huyo alienda kujikomba ikulu tukamwambia aache kujipendekeza?
Uongozi siyo uhasama Bali Ni maridhiano, kwa hiyo hata wewe ujifunze kuwa Kuna wakati unatakiwa uwe muungwana kupongeza pale mazuri yanapokuwa yamefanyika Kama ilivyo kwa mh Rais ambapo amefanya mengi mazuri kwa nchi yetu. Usiwe mtu wa kupinga pinga tu kila kitu
 
Huyu siyo rais. Yupo tu kwa mujibu wa katiba. Rais tutachagua 2025 siyo huyu[/QUOTE said:
Huo uchaguzi unafanyika kwa mjibu wa katiba.
Unapo sema yupo kwa mjibu wakatiba uko sahihi kabisa.
Nakushangaa unapo sio Rais!
 
Ipo siku mama atakuona akupe cheo ili upunguze kelele.
icon_mrgreen.gif
 
Hakuna Jambo zuri kama kuamka ukijua unaenda wapi kufanya nini kiasi kwamba huwezi ambiwa nisaidie hiki au fanya kile ukubali kumfanyia alokuagiza!
Ni kweli ajira hamna Tanzania ila shughuli zingine hasa za kushusha heshima yako na utu wako zikatae please!
 
Back
Top Bottom