Katika Kuelekea kilele cha Siku ya wanawake Duniani, Rais Samia Suluhu Hassan atakuwa Mgeni Rasmi Siku ya Maadhimisho hayo Yaliyoandaliwa na Bawacha (CHADEMA).
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe alisema Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia kuwa mgeni rasmi katika mkutano wa maadhimisho hayo.
Kwa kukubali kuwa mgeni rasmi katika siku ya wanawake duniani iliyoandaliwa na BAWACHA inaonyesha ni jinsi gani Rais Samia Suluhu ni Rais wa watu wote, habagui dini, kabila wala Chama hakika Rais Samia Suluhu ni kiongozi wa ndoto za watanzania wengi maana anaendelea kudumisha umoja na mshikamano kama alivyosema sisi ni taifa moja lazima tuungane kuijenga Tanzania na yeye amekuwa mfano kwa kuungana na Chadema.
Rais Samia Suluhu ni mwanademocrasia namba East Africa.