Hakusema kwamba si sheria kuu wala hakusema lazima iandikwe kwenye kitabu, ila Tanzania imeandikwa kwenye kitabu.Basi muelimishe huyo mama mbwa kuwa katiba ni sheria kuu na wala siyo lazima iandikwe kwenye kitabu! Kuandika sheria kwenye kitabu au gazeti ni hiari ya watumiaji wa hiyo sheria!
Hata kuwa Rais wa maisha ni sawa maana Katiba ni kitabu tu. Hii ni dhihaka kubwa kwa Katiba kwa aliyeapa kuilinda.Katiba ni kitabu tu, kitu muhimu zaidi ya katiba kinachokipa kitabu hiki uhai ni utamaduni wa ukatiba.
Ndiyo maana katiba iliruhusu na inaruhusu mikutano ya hadhara, halafu akaja rais Magufuli akapiga marufuku mikutano hiyo.
Ukweli kwamba uhuru wa kufanya mikutano hiyo umo katika katiba haukusaidia kitu, kwa sababu katiba ni kitabu tu, kitu muhimu zaidi ni utamaduni wa kuheshinu katiba miongoni mwa wananchi, ambao haupo, na kama haupo, hata katiba iwe nzuri vipi, haiwezi kuwa na nguvu.
Kwa sababu katiba ni kitabu tu.
Katika hili, namuelewa sana Samia.
Katiba ni kitabu tu. Muhimu zaidi ni utamaduni wa ukatiba.
Hamuelewi wapi?
Hujaelewa somo.Hata kuwa Rais wa maisha ni sawa maana Katiba ni kitabu tu. Hii ni dhihaka kubwa kwa Katiba kwa aliyeapa kuilinda.
Wee chawa kinachovunjwa ni katiba na siyo kitabu! Kwa hiyo huyo mama mbwa mwehu anapaswa kulielewa hilo na kuwa ndiyo iliyomuweka hapo!Hakusema kwamba si sheria kuu wala hakusema lazima iandikwe kwenye kitabu, ila Tanzania imeandikwa kwenye kitabu.
Tanzania katiba ni kijitabu tu. That is a fact.
Ndiyo maana Magufuli kaivunjavunja na hamjamfanya kitu.
Kwanza kabisa huwezi kutenganisha chawa na mtu anayetoa hoja ya kifalsafa.Wee chawa kinachovunjwa ni katiba na siyo kitabu! Kwa hiyo huyo mama mbwa mwehu anapaswa kulielewa hilo na kuwa ndiyo iliyomuweka hapo!
Sasa kwa sababu shetani Magufuli alivunja katiba na hakufanywa kitu siyo kigezo cha kuendelea kutokuheshimu katiba wala sheria. Jana siyo leo!
Siwezi kujibu ujinga wako!Nimekuuliza, unaelewa neno la Kiingereza "Constitutionalism" maana yake nini?
Hujajibu.
Siku ile anadharau katiba tungekuwa wananchi tunajitambua tungeandamana mpk atoke, hakuna dhambi kubwa kama kudharau katiba ya nchi, katiba ndiyo kila kitu huwezi kudharauJana wakati wa maadhimisho ya miaka 60 ya JWTZ ulitutaka wananchi kulinda na kuheshimu katiba katika kulinda nchi.
Kilichonishangaza ni kuwa ni wewe mwenyewe uliwahi kusema katiba ni kitabu tu wakati viongozi wa vyama vya siasa walipokuwa wakijadili umuhimu wa kupata Katiba mpya ili kuendeleza demokrasia na ustawi wa jamii.
Sasa je kwako katiba ni muhimu pale unapotaka kulinda maslahi yako lakini wengine wakihitaji Katiba kwa maslahi mapana ya nchi kinakuwa ni kitabu tu kisicho na umuhimu wo wote?
Kwamba anaruhusiwa kudharau katiba ya nchi?
Hakika Magufuli aliwaf...ra haswaa,kwa dole gumbaKatiba ni kitabu tu, kitu muhimu zaidi ya katiba kinachokipa kitabu hiki uhai ni utamaduni wa ukatiba.
Ndiyo maana katiba iliruhusu na inaruhusu mikutano ya hadhara, halafu akaja rais Magufuli akapiga marufuku mikutano hiyo.
Ukweli kwamba uhuru wa kufanya mikutano hiyo umo katika katiba haukusaidia kitu, kwa sababu katiba ni kitabu tu, kitu muhimu zaidi ni utamaduni wa kuheshinu katiba miongoni mwa wananchi, ambao haupo, na kama haupo, hata katiba iwe nzuri vipi, haiwezi kuwa na nguvu.
Kwa sababu katiba ni kitabu tu.
Katika hili, namuelewa sana Samia.
Katiba ni kitabu tu. Muhimu zaidi ni utamaduni wa ukatiba.
Hamuelewi wapi?
Kwa nini unajibu kwa muhemko sehemu inayotaka mantiki tu?Siwezi kujibu ujinga wako!
Kwa hiyo kwa wehu wako una maana Watanzania hawana utamaduni wa kuheshimu katiba au sheria! Huo ujambazi aliyofanya Shetani Magufuli na CCM kupora ushindi wa uchaguzi ndiyo utamaduni wa Tanzania kuhusu kuheshimu katiba?
Kilaza mkubwa wewe!
Na asimamie kwenye 'katiba ni kijitabu tu'.Kwa hiyo asitulazimishe sisi tuheshimu katiba kwa maslahi yake! Akae kwa kutulia!
Kwani Mkuu ni lini katiba iliwahi kuwa Muziki na sio kitabu?Jana wakati wa maadhimisho ya miaka 60 ya JWTZ ulitutaka wananchi kulinda na kuheshimu katiba katika kulinda nchi.
Kilichonishangaza ni kuwa ni wewe mwenyewe uliwahi kusema katiba ni kitabu tu wakati viongozi wa vyama vya siasa walipokuwa wakijadili umuhimu wa kupata Katiba mpya ili kuendeleza demokrasia na ustawi wa jamii.
Sasa je kwako katiba ni muhimu pale unapotaka kulinda maslahi yako lakini wengine wakihitaji Katiba kwa maslahi mapana ya nchi kinakuwa ni kitabu tu kisicho na umuhimu wo wote?
Kwanza watanzania tutambue kwamba hata viongozi wanapo apa kulinda katiba ule ni usanii,tunaotakiwa kulinda Katiba ni sisi wananchi,mwanasiasa hawezi kulinda katiba wajibu wa kuwawajibisha viongozi umebaki kwetu kiongozi asipoheshimu Katiba ss watanzania ndio tumfukuze kwa njia yoyote tunayoona inafaa aidha ni kwa maandamano kama walivyofanya Kenya ni hilo tu ndio linaloweza kujenga heshima na adabu ktk kujali wenye nchi nje ya hapo hasa kwa Tanzania yetu hii tutaburuzwa sana kama punda na kila mtanzania afahamu hilo.Hakusema kwamba si sheria kuu wala hakusema lazima iandikwe kwenye kitabu, ila Tanzania imeandikwa kwenye kitabu.
Tanzania katiba ni kijitabu tu. That is a fact.
Ndiyo maana Magufuli kaivunjavunja na hamjamfanya kitu.
Naam,Kwanza watanzania tutambue kwamba hata viongozi wanapo apa kulinda katiba ule ni usanii,tunaotakiwa kulinda Katiba ni sisi wananchi,mwanasiasa hawezi kulinda katiba wajibu wa kuwawajibisha viongozi umebaki kwetu kiongozi asipoheshimu Katiba ss watanzania ndio tumfukuze kwa njia yoyote tunayoona inafaa aidha ni kwa maandamano kama walivyofanya Kenya ni hilo tu ndio linaloweza kujenga heshima na adabu ktk kujali wenye nchi nje ya hapo hasa kwa Tanzania yetu hii tutaburuzwa sana kama punda na kila mtanzania afahamu hilo.
Kwa hiyo kutokuheshimu katiba siyo utamaduni wa Tanzania bali ni mtu mmoja mmoja kwa kutumia udhaifu na ujinga wa wananchi!Kwa nini unajibu kwa muhemko sehemu inayotaka mantiki tu?
Watanzania hawana utamaduni wa kuheshimu katiba.
Ndiyo maana rais kavunja katiba waziwazi, right to assembly ni haki ya kikatiba, iliyopo katika katiba ya sasa, wala hatuhitaji katiba mpya kupata haki hii.
Lakini, Magufuli alipiga marufuku mikutano ya hadhara ya siasa, na hakuna mtu aliyemfanya kitu kwa hilo.
Kwa sababu watu walifyata na kukubali katiba kuvunjwa.
Kwa sababu katiba ni kijitabu tu, muhimu zaidi ni utamaduni wa kufuata katiba.
Ambao Tanzania haupo.
Utake, usitake, huo ndio ukweli mchungu.
Hapana.Kwa hiyo kutokuheshimu katiba siyo utamaduni wa Tanzania bali ni mtu mmoja mmoja kwa kutumia udhaifu na ujinga wa wananchi!
Watanzania kwa ujumla wao wanaheshimu katiba na sheria za nchi!
Katiba siyo lazima iandikwe kwenye kitabu!Kwani Mkuu ni lini katiba iliwahi kuwa Muziki na sio kitabu?
Mbona kuna nchi hazina katiba na hazijasambaratika.Mjinga mkubwa! Katiba haiwezi kuwa na utamaduni kwa sababu haina nafsi wala uhai!
Katiba ni sheria kuu inayoongoza jamii na wanajamii wanapaswa kuifuata ili kudumisha umoja. Bila kuwa na katiba madhubuti jamii au Taifa linasambaratika!