Rais Samia ni lini Katiba ikakoma kuwa kitabu tu?

Basi muelimishe huyo mama mbwa kuwa katiba ni sheria kuu na wala siyo lazima iandikwe kwenye kitabu! Kuandika sheria kwenye kitabu au gazeti ni hiari ya watumiaji wa hiyo sheria!
Hakusema kwamba si sheria kuu wala hakusema lazima iandikwe kwenye kitabu, ila Tanzania imeandikwa kwenye kitabu.

Tanzania katiba ni kijitabu tu. That is a fact.

Ndiyo maana Magufuli kaivunjavunja na hamjamfanya kitu.
 
Katiba ni kitabu tu, kitu muhimu zaidi ya katiba kinachokipa kitabu hiki uhai ni utamaduni wa ukatiba.

Ndiyo maana katiba iliruhusu na inaruhusu mikutano ya hadhara, halafu akaja rais Magufuli akapiga marufuku mikutano hiyo.

Ukweli kwamba uhuru wa kufanya mikutano hiyo umo katika katiba haukusaidia kitu, kwa sababu katiba ni kitabu tu, kitu muhimu zaidi ni utamaduni wa kuheshinu katiba miongoni mwa wananchi, ambao haupo, na kama haupo, hata katiba iwe nzuri vipi, haiwezi kuwa na nguvu.

Kwa sababu katiba ni kitabu tu.

Katika hili, namuelewa sana Samia.

Katiba ni kitabu tu. Muhimu zaidi ni utamaduni wa ukatiba.

Hamuelewi wapi?
Hata kuwa Rais wa maisha ni sawa maana Katiba ni kitabu tu. Hii ni dhihaka kubwa kwa Katiba kwa aliyeapa kuilinda.
 
Hujaelewa somo.

Kuwa rais wa maisha katika nchi ya kidemokrasia ambayo watu wanekubaliana urais uwe na mwisho si sawa.

Lakini, si sawa kwa sababu ya misingi ya kidemokrasia waliyokubaliana watu na kuiheshimu.

Si kwa sababu imeandikwa katika katiba.

Uki argue kitu ni sawa au si sawa kwa sababu kipo katika katiba, unafanya logical fallacy. Argument from authority.

Watu ndio wanaipa nguvu katiba, katiba ni kitabu tu.
 
Hakusema kwamba si sheria kuu wala hakusema lazima iandikwe kwenye kitabu, ila Tanzania imeandikwa kwenye kitabu.

Tanzania katiba ni kijitabu tu. That is a fact.

Ndiyo maana Magufuli kaivunjavunja na hamjamfanya kitu.
Wee chawa kinachovunjwa ni katiba na siyo kitabu! Kwa hiyo huyo mama mbwa mwehu anapaswa kulielewa hilo na kuwa ndiyo iliyomuweka hapo!

Sasa kwa sababu shetani Magufuli alivunja katiba na hakufanywa kitu siyo kigezo cha kuendelea kutokuheshimu katiba wala sheria. Jana siyo leo!
 
Kwanza kabisa huwezi kutenganisha chawa na mtu anayetoa hoja ya kifalsafa.

Samia jishamchana sana hapa, hivyo mimi si chawa.

Tatizo wewe huna uwezo wa kuchambua hoja ya kifaksafa.

Mtu akija na kusema hapa Samia alikuwa sawa, kifalsafa, unamuonchawa, huna uwezo wa kuchambua hoja kifalsafa.

Kusema katiba ni kitabu tu maana yake si kwamba katiba ivunjwe.

That is a logical fallacy, non sequitur.

Katiba ni kutabu tu, maana yake ni.

1. Msipokuwa na utamaduni wa kuheshimu katiba na kufuatikia utekelezaji wake, katiba iliyopo itavunjwa tu na hamtafanya lolote.

2. Msipokuwa na utamaduni wa kuheshimu katiba na kufuatilia utekelezaji wake, hata mkipewa hiyo katiba mpya mnayoidai, viongozi wasipoifuata, hamtafanya lolite.

Katiba ni kitabu tu.

Huelewi wapi?
 
Nimekuuliza, unaelewa neno la Kiingereza "Constitutionalism" maana yake nini?

Hujajibu.
Siwezi kujibu ujinga wako!

Kwa hiyo kwa wehu wako una maana Watanzania hawana utamaduni wa kuheshimu katiba au sheria! Huo ujambazi aliyofanya Shetani Magufuli na CCM kupora ushindi wa uchaguzi ndiyo utamaduni wa Tanzania kuhusu kuheshimu katiba?

Kilaza mkubwa wewe!
 
Jana wakati wa maadhimisho ya miaka 60 ya JWTZ ulitutaka wananchi kulinda na kuheshimu katiba katika kulinda nchi.

Kilichonishangaza ni kuwa ni wewe mwenyewe uliwahi kusema katiba ni kitabu tu wakati viongozi wa vyama vya siasa walipokuwa wakijadili umuhimu wa kupata Katiba mpya ili kuendeleza demokrasia na ustawi wa jamii.

Sasa je kwako katiba ni muhimu pale unapotaka kulinda maslahi yako lakini wengine wakihitaji Katiba kwa maslahi mapana ya nchi kinakuwa ni kitabu tu kisicho na umuhimu wo wote?
Siku ile anadharau katiba tungekuwa wananchi tunajitambua tungeandamana mpk atoke, hakuna dhambi kubwa kama kudharau katiba ya nchi, katiba ndiyo kila kitu huwezi kudharau
 
Katiba ni kitabu tu, kitu muhimu zaidi ya katiba kinachokipa kitabu hiki uhai ni utamaduni wa ukatiba.

Ndiyo maana katiba iliruhusu na inaruhusu mikutano ya hadhara, halafu akaja rais Magufuli akapiga marufuku mikutano hiyo.

Ukweli kwamba uhuru wa kufanya mikutano hiyo umo katika katiba haukusaidia kitu, kwa sababu katiba ni kitabu tu, kitu muhimu zaidi ni utamaduni wa kuheshinu katiba miongoni mwa wananchi, ambao haupo, na kama haupo, hata katiba iwe nzuri vipi, haiwezi kuwa na nguvu.

Kwa sababu katiba ni kitabu tu.

Katika hili, namuelewa sana Samia.

Katiba ni kitabu tu. Muhimu zaidi ni utamaduni wa ukatiba.

Hamuelewi wapi?
Hakika Magufuli aliwaf...ra haswaa,kwa dole gumba
 
Siwezi kujibu ujinga wako!

Kwa hiyo kwa wehu wako una maana Watanzania hawana utamaduni wa kuheshimu katiba au sheria! Huo ujambazi aliyofanya Shetani Magufuli na CCM kupora ushindi wa uchaguzi ndiyo utamaduni wa Tanzania kuhusu kuheshimu katiba?

Kilaza mkubwa wewe!
Kwa nini unajibu kwa muhemko sehemu inayotaka mantiki tu?

Watanzania hawana utamaduni wa kuheshimu katiba.

Ndiyo maana rais kavunja katiba waziwazi, right to assembly ni haki ya kikatiba, iliyopo katika katiba ya sasa, wala hatuhitaji katiba mpya kupata haki hii.

Lakini, Magufuli alipiga marufuku mikutano ya hadhara ya siasa, na hakuna mtu aliyemfanya kitu kwa hilo.

Kwa sababu watu walifyata na kukubali katiba kuvunjwa.

Kwa sababu katiba ni kijitabu tu, muhimu zaidi ni utamaduni wa kufuata katiba.

Ambao Tanzania haupo.

Utake, usitake, huo ndio ukweli mchungu.
 
Jana wakati wa maadhimisho ya miaka 60 ya JWTZ ulitutaka wananchi kulinda na kuheshimu katiba katika kulinda nchi.

Kilichonishangaza ni kuwa ni wewe mwenyewe uliwahi kusema katiba ni kitabu tu wakati viongozi wa vyama vya siasa walipokuwa wakijadili umuhimu wa kupata Katiba mpya ili kuendeleza demokrasia na ustawi wa jamii.

Sasa je kwako katiba ni muhimu pale unapotaka kulinda maslahi yako lakini wengine wakihitaji Katiba kwa maslahi mapana ya nchi kinakuwa ni kitabu tu kisicho na umuhimu wo wote?
Kwani Mkuu ni lini katiba iliwahi kuwa Muziki na sio kitabu?
 
Hakusema kwamba si sheria kuu wala hakusema lazima iandikwe kwenye kitabu, ila Tanzania imeandikwa kwenye kitabu.

Tanzania katiba ni kijitabu tu. That is a fact.

Ndiyo maana Magufuli kaivunjavunja na hamjamfanya kitu.
Kwanza watanzania tutambue kwamba hata viongozi wanapo apa kulinda katiba ule ni usanii,tunaotakiwa kulinda Katiba ni sisi wananchi,mwanasiasa hawezi kulinda katiba wajibu wa kuwawajibisha viongozi umebaki kwetu kiongozi asipoheshimu Katiba ss watanzania ndio tumfukuze kwa njia yoyote tunayoona inafaa aidha ni kwa maandamano kama walivyofanya Kenya ni hilo tu ndio linaloweza kujenga heshima na adabu ktk kujali wenye nchi nje ya hapo hasa kwa Tanzania yetu hii tutaburuzwa sana kama punda na kila mtanzania afahamu hilo.
 
Naam,

Na hiyo ndiyo maana ya "katiba ni kijitabu tu".

Kama watu hawawezi kutetea misingi ya katiba, katiba yenyewe haiwezi kutetea misingi hiyo, kwa sababu katiba ni kijitabu tu.

Watu ndio wanaoipa uhai katiba kwa kuisimamia.

Watu hawaelewi nini hapo?
 
Kwa nini unajibu kwa muhemko sehemu inayotaka mantiki tu?

Watanzania hawana utamaduni wa kuheshimu katiba.

Ndiyo maana rais kavunja katiba waziwazi, right to assembly ni haki ya kikatiba, iliyopo katika katiba ya sasa, wala hatuhitaji katiba mpya kupata haki hii.

Lakini, Magufuli alipiga marufuku mikutano ya hadhara ya siasa, na hakuna mtu aliyemfanya kitu kwa hilo.

Kwa sababu watu walifyata na kukubali katiba kuvunjwa.

Kwa sababu katiba ni kijitabu tu, muhimu zaidi ni utamaduni wa kufuata katiba.

Ambao Tanzania haupo.

Utake, usitake, huo ndio ukweli mchungu.
Kwa hiyo kutokuheshimu katiba siyo utamaduni wa Tanzania bali ni mtu mmoja mmoja kwa kutumia udhaifu na ujinga wa wananchi!

Watanzania kwa ujumla wao wanaheshimu katiba na sheria za nchi!
 
Hapana.

Rais akivunja katiba halafu nchi nzima isimuwajibishe, hapo kutoheshimu katiba ni tatizo la nchi nzima.

Kwa sababu aliyevunja katiba ni rais wa nchi.
 
Mjinga mkubwa! Katiba haiwezi kuwa na utamaduni kwa sababu haina nafsi wala uhai!

Katiba ni sheria kuu inayoongoza jamii na wanajamii wanapaswa kuifuata ili kudumisha umoja. Bila kuwa na katiba madhubuti jamii au Taifa linasambaratika!
Mbona kuna nchi hazina katiba na hazijasambaratika.
 
Back
Top Bottom