- Thread starter
- #21
Karibu Mkuranga.Uteuzi umeshakupita.Ulikuwa wPi ukachelewa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu Mkuranga.Uteuzi umeshakupita.Ulikuwa wPi ukachelewa.
Haa TehKaribu Mkuranga.
Kwenda Ugunjakuwavusha kwenda wapi
Wameshampoteza tayariMmeanza, nyie huwa sio.watu.wqzuri.nyie. mlianzaga hivi hivi awamu iliyopita. Kwani kuna kiongozi ambaye ni mpango wa shetani? Acheni mambo yenu ninyi ndio mnaompoteza ramani Rais
Mazuri lazima yapongezweHii Aibu Mpaka Mwaka Gani
Wakati Wa Jiwe Haijapata Kutokea
Awamu Ya Sita Mnasema Haijawahi Kutokea
Haa Teh
Acheni Kutumika Hadharani, Vice President Kaenda Kwenye Bwawa Kasema Wazi Mradi Upo Nyuma Ya Muda
Mkandarasi Hana Uzoefu, Lakini Zamani Mlisema Upo Sawa
Panatosha kama ikiwa ni matarajio yetu...!!Kwenda Ugunja
Mpango wa MUNGU ni Kutenda HAKI kwa Watu wote bila Kubagua Wapinzani na KUWABAMBIKIZIWA KESI kuwaweka Magereza kwa Makosa ya KuwabambikiziaTazama ni siku nyingi zimepita miongo na karne zimebadilika toka Uhuru Hadi hapa tulipo.
Mvua ya Chama kimoja hadi Mvua za Demokrasia tumekutana na masika za Utawala bora neema ya kuijenga nchi.
Tangu Awamu ya Mwl. Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli na sasa ni Mhe Samia Suluhu Hassan.
Nenda sasaPanatosha kama ikiwa ni matarajio yetu...!!
Mpango wa MUNGU ni Kutenda HAKI kwa Watu wote bila Kubagua Wapinzani na KUWABAMBIKIZIWA KESI kuwaweka Magereza kwa Makosa ya Kuwabambikizia
MBOWE SIO GAIDI
Kwani nyie kwenye ilo saccos lenu mnaposema mmeanza na Mungu na Mtamaliza na Mungu anakuwa Mungu yupi na mmeanza nae wapi ?Hivi nyie ccm ni kipi kizuri na kibaya kwenu?
Hadi ujinga huwa mnasifia? upuuzi mnapiga vigelegele!
Nahisi mna utapia mlo wa akili na sio bure!
Mwendazake mlisema ni chaguo la Mungu lkn aliyofanya yalikuwa ya yule 'aliye kinyume' na Mungu!
Mama mnasema pia ni chaguo la Mungu, hivi mnakaa wapi na Mungu anawaambia ni chaguo lake?
Naunga mkono hoja
P
Ni kufuru kubwa kumhusisha Mungu na matendo ya Ibilisi. Huyu ni tunda la ibilisi.
Yeye ni zao la ushetani uliofanyika mwaka 2020. Alishiriki matendo yote ya kishetani. Alifikia mpaka kunena, hata mkipigia kura upande mwingine, sisi tutaunda serikali.
Siku zote Mungu hana ushirika na shetani. Sifa kubwa ya shetani ni hadaa. Huyu aliwahadaa watu kwa kumtoa mahabusu Mdude, halafu akamweka Mbowe ndani, na wengine zaidi ya 100.
Baada ya muda si mrefu, watu watajua kuwa huyu ni shetani zaidi kwa matendo ya gizani, tofauti na kauli zake za hadharani.
Nani sasa ni mpango wa Mungu, Magu ama maza mbona hamueleweki.?
Mkuu mpango wa Mwenyezi Mungu hawezi KAMWE kuminya UHURU, HAKI na USAWA wa raia, vyama vya siasa na vyombo vya habari pia hawezi kuwa muongo ALIYEKUBUHU kudanganya dunia kwamba Tanzania kuna vibrant democracy na haki za binadamu.