Rais Samia ni mpango wa Mungu kuwavusha Watanzania

Mazuri lazima yapongezwe
 
Mpango wa MUNGU ni Kutenda HAKI kwa Watu wote bila Kubagua Wapinzani na KUWABAMBIKIZIWA KESI kuwaweka Magereza kwa Makosa ya Kuwabambikizia
MBOWE SIO GAIDI
 
Mpango wa MUNGU ni Kutenda HAKI kwa Watu wote bila Kubagua Wapinzani na KUWABAMBIKIZIWA KESI kuwaweka Magereza kwa Makosa ya Kuwabambikizia
MBOWE SIO GAIDI

Mbowe si malaika kumsemea juu ya mashtaka yake acheni mahakama itende kazi
 
Mimi naona CCM ni laana ya Mungu kwa watanzania ni lazima watanzania watubie
 
Hivi nyie ccm ni kipi kizuri na kibaya kwenu?
Hadi ujinga huwa mnasifia? upuuzi mnapiga vigelegele!
Nahisi mna utapia mlo wa akili na sio bure!
Mwendazake mlisema ni chaguo la Mungu lkn aliyofanya yalikuwa ya yule 'aliye kinyume' na Mungu!
Mama mnasema pia ni chaguo la Mungu, hivi mnakaa wapi na Mungu anawaambia ni chaguo lake?
 
Kwani nyie kwenye ilo saccos lenu mnaposema mmeanza na Mungu na Mtamaliza na Mungu anakuwa Mungu yupi na mmeanza nae wapi ?
 
Ni kufuru kubwa kumhusisha Mungu na matendo ya Ibilisi. Huyu ni tunda la ibilisi.

Yeye ni zao la ushetani uliofanyika mwaka 2020. Alishiriki matendo yote ya kishetani. Alifikia mpaka kunena, hata mkipigia kura upande mwingine, sisi tutaunda serikali.

Siku zote Mungu hana ushirika na shetani. Sifa kubwa ya shetani ni hadaa. Huyu aliwahadaa watu kwa kumtoa mahabusu Mdude, halafu akamweka Mbowe ndani, na wengine zaidi ya 100.

Baada ya muda si mrefu, watu watajua kuwa huyu ni shetani zaidi kwa matendo ya gizani, tofauti na kauli zake za hadharani.
 
Reactions: BAK
Nani sasa ni mpango wa Mungu, Magu ama maza mbona hamueleweki.?
 
Reactions: BAK
Ahsante sana Mkuu. Umeandika ukweli MTUPU!!!
πŸ‘πŸΎπŸ‘πŸΎπŸ‘πŸΎπŸ‘πŸΎπŸ‘πŸΎπŸ‘πŸΎπŸ‘πŸΎπŸ‘πŸΎπŸ‘πŸΎπŸ‘πŸ½

Mkuu mpango wa Mwenyezi Mungu hawezi KAMWE kuminya UHURU, HAKI na USAWA wa raia, vyama vya siasa na vyombo vya habari pia hawezi kuwa muongo ALIYEKUBUHU kudanganya dunia kwamba Tanzania kuna vibrant democracy na haki za binadamu.

Nani sasa ni mpango wa Mungu, Magu ama maza mbona hamueleweki.?
 
Mkuu mpango wa Mwenyezi Mungu hawezi KAMWE kuminya UHURU, HAKI na USAWA wa raia, vyama vya siasa na vyombo vya habari pia hawezi kuwa muongo ALIYEKUBUHU kudanganya dunia kwamba Tanzania kuna vibrant democracy na haki za binadamu.

Hakuna haki bila wajibu wa kufuata sheria ziheshimuni mamlaka za Dunia kama Mbinguni...!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…