Ni ukweli usio pingika kuwa Samia ni mtu mzuri ukiyatazama haya:-
Ni mwenye heshima na anajiheshimu mwenyewe mfano utumia kauli za staha,
Uongozi ni mzuri zaidi ya mmoja analizingatia ilo mfano amewaagiza viongozi kuwajibika.
Anaheshimu sheria na anazifuata mfano ameagiza mara kadhaa polisi kutowabambikizia watu kesi.
Anajali maslahi ya watumishi mfano madaraja yamepandishwa sasa kila mtumishi kimya.
Nadhani hata kesi ya Mbowe hapendi iwepo ila kwakua imeishatokea ameacha sheria ifuate mkondo wake.
Ni mtu mkweli mfano aliiambia tume ya uchaguzi namna ilivyo shughulikia upinzani uchaguzi ulopita na ijirekebishe.
Nina imani na Rais Samia kazi iendelee